Tufikirie science kidogo The theory of relativity says that the faster the speed, the slower time passes by Albert Einstein

Maana ukiwafufua watu waliokufa miaka ya zamani ukawaambia leo watu wanapaa na ndege hewani wanatoka dar mpaka new york wakiwa mawinguni.. watakugomea
Watakuona wewe Mwehu
 
Hapa nimetoka kapa
 
Hivi!! mvutano kati ya mwezi na dunia nao unaegemea kwenye hiyo nadharia au
 
Hakika nakubaliana nawe kwenye hilo la G-limit
 
This is what I wanted from people like you! Hapo ndipo tunahitaji kufikiri zaidi kama Albert kuweza ku overcome forces zote hizo ili tusife..................................................... the greater the gravity, the slower the time...vikikamatana basi magnitude of slowing ageing itaongezeka πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„
 
Asante Nshomile wa Muleba
 
Hamna kiumbe chochote kitakachoweza kusurvive kweny speed ya sawa na mwanga...labda kama ni kukuwahisha ahera hapo sawa
Sasa hapo ndipo tuwe kama Albert, tufikiri kama yeye kupata solution ya ku overcome that obstacle... kuweze kua attain hiyo speed but still we are live!
 
Gradual acceleration to attain the speed of light!
 
Hatuwezi kusema mwanadamu hatafikia uwezo wa kupunguza ukuwaji ili kuchelewa kuzeeka na kukomeshwa kwa kifo.
Huo uwezo siku za mbele utakuwepo ila tu aina ya binadamu nayo itakuwa ni tofauti na sisi.
Kila zama au nyakati fulani kunakuwepo na mabadiliko ya viumbe akiwepo mwanadamu.
Mtu wa leo na wa miaka 1000 nyuma hawawezi kukaa kwenye mizani moja kadhalika mtu wa leo na wa miaka 1000 mbele hawata lingana, kuanzia mwonekano umbo fikra ufahamu akili na mitazamo ubunifu nk.

Albert Einstein aliona mbali sana hakueleweka kipindi chake wala hawezi kueleka kipindi chetu hiki ila kesho ataeleweka na kuzidi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…