tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Watanzania, hasa akina baba, tunao wajibu wa kuwalea watoto wetu kwa kutowapa kila kitu, hata kama tumejaliwa utajiri wa kutosha.
Tunapaswa kuwafanya watoto wetu wa hustle ili wajue kuwa mali zinapatikana kwa uchungu. Sio kila akiomba hela unampa halafu anaenda kuspend na girlfriend wake. Anapaswa afahamu kuwa pesa zinapatikana kwa ugumu sio kilelemama. Turejee malezi ya wazazi wetu wa zamani.