Walikufanya nini huko? Ila harakati yako ni nzuri maana baada ya elimu hakuna maisha private wote tunatud public.Ndio maana huwaga nawaambia kila siku watoeni watoto wenu shule za English Mediums warudisheni Kayumba ndo kuna malezi halisi
Umeongea jambo la msingi lakini unaweza kumsomesha mtoto wako private na wakati huohuo ukawa unamfanyisha kazi ngumu ili ajue pesa haipatikani kindezi.Ndio maana huwaga nawaambia kila siku watoeni watoto wenu shule za English Mediums warudisheni Kayumba ndo kuna malezi halisi
Bro bado uko mtwara au ulirudi kimya kimya sijakuona kitambo hapa ....Ndio maana huwaga nawaambia kila siku watoeni watoto wenu shule za English Mediums warudisheni Kayumba ndo kuna malezi halisi
Umeona eehWalikufanya nini huko? Ila harakati yako ni nzuri maana baada ya elimu hakuna maisha private wote tunatud public.
HakikaUmeona eeh