Tufundishane namna ya kuwa watu wabaya, wanafiki na wabinafsi?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
2,188
Reaction score
4,116
Inaonekana kuwa mbaya ni kigezo kimojawapo cha kupata mafanikio. Kama una mbinu yoyote inayoweza saidia mtu kuwa mbaya, mbinafsi na mnafiki, mbinu zitakazo mfaidisha na kumuepusha na madhara ya ubaya wake fanya utujuze. Huu ni ujuzi muhimu sana.
images (23).jpeg
 
Inaonekana kuwa mbaya ni kigezo kimojawapo cha kupata mafanikio. Kama una mbinu yoyote inayoweza saidia mtu kuwa mbaya, mbinafsi na mnafiki, mbinu zitakazo mfaidisha na kumuepusha na madhara ya ubaya wake fanya utujuze. Huu ni ujuzi muhimu sana.View attachment 3591506
Kanuni ya kwanza: jisajili kuwa mwanachama wa chama cha majambazi
Kanuni ya pili: kuwa chawa
Kanuni ya tatu: wafanyie lolote baya wapinzani
 
Mtaji unao kwanza? Sio uanze ubinafsi hata biashara huna! Anza kwanza vingine vitakukuta hukohuko! Unavyozidi kuchangamana na watu utajifunza mwenyewe hakuna haja ya kufunzwa na mtu! Raha ya ngoma ingia mwenyewe ucheze, pia kuna watu wnaafanikiwa tu bila hayo yote! Cheza kete zako vizuri!
 
Nadhani tunakosea kufikiri kuwa kuwa mbaya ni mpaka uwe na pesa. Kwa nini hatuoni kuwa wabaya ndiyo wanchance kubwa ya kupata pesa. Tunadhani pesa zimefanya mtu kuwa mbaya kumbe ubaya ndiyo umemsaidia kupata pesa.
 
Siamini katika hili! Or else unataka kujipatia pesa za watu kwa njia isiyo sahihi! Mimi ninavyoelewa wengi wanamaanisha ukiwa na pesa au mradi fulani unaokuingizia pesa hutakiwi kuwa na huruma na mtu iwe ndugu,kazini au kivyovyote vile biashara itakufia! Kuna wale wanyonyaji anasubiri upambane kwa jasho na damu ili yeye aje kula tu ukimnyima anatangaza una roho mbaya, kuna wale wafanyakazi wezi na wazembe inakubidi kukaza roho wasikuletee mchezo kwenye kazi! Hivi vitu ndio vinaleta hayo majina sijui mchoyo, roho mbaya!

Ila nafikiri wewe upo upande wa pili kwamba mtu umfanyie figisu ili wewe upate labda nfasi yake, au ndio uwe mwizi na utoe kafara au sijakuelewa?
 
Ndiyo. Namaanisha ufanye figisu, uibe, utapeli, udhulumu, uwe mchoyo, mbinafsi na kutumia wengine kujinufaisha. Kikubwa jinsi ya kuwa na hizo tabia na jinsi ya kuepuka au kuminimize madhara yake.
 
Inaonekana kuwa mbaya ni kigezo kimojawapo cha kupata mafanikio. Kama una mbinu yoyote inayoweza saidia mtu kuwa mbaya, mbinafsi na mnafiki, mbinu zitakazo mfaidisha na kumuepusha na madhara ya ubaya wake fanya utujuze. Huu ni ujuzi muhimu sana.View attachment 3591506
Kuna animation movie nilikuwa natazama majuzi nilimuona huyu samaki, aliigiza kama ana upendo na wema sana kwa wenzake lakini lengo lake likiwa kuwaangamiza wenzake.. Nimesahau jina la hio movie lakini imetoka hivi karibuni..
 
Back
Top Bottom