Una ushahidi gani Kikeke alikuwa anangoja hiyo nafasi?Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile)...
Kikeke ni mtangazaji mzuri, lakini Ile nafasi ni zaidi ya utangazaji, hivyo Basi aliyeteuliwa amestahili.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
A LOTTiss is overrated
Mbona mnapenda ku exaggerate watu kiasi hiki, utashangaa ana under perform ilihali mlimsifia weeee. Mliwahi msifia sana Kipilimba ooh TISS sijui nini wakati vitambulisho vya NIDA tu alifeli kusambaza, unabaki unajiuliza lipi wanaloweza hawa mnaowaita vipanga?Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile
C'mon zitto kazi ya Kipilimba haikuwa kusambaza National ID cards.Mbona mnapenda ku exaggerate watu kiasi hiki, utashangaa ana under perform ilihali mlimsifia weeee. Mliwahi msifia sana Kipilimba ooh TISS sijui nini wakati vitambulisho vya NIDA tu alifeli kusambaza, unabaki unajiuliza lipi wanaloweza hawa mnaowaita vipanga?
Matinyi na Kikeke?Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile) ...
na Ndg. Salim Kikeke (with due respect, Mshereheshaji na Chawa Mkuu wa Makolo FC kwa sasa) nani alipaswa kuaminiwa kuwa Mkurugenzi wa Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali???
Nafasi nyeti hizi wazee, Kikeke asubiri bahati yake sehemu nyingine
ALAMSIKI💤💤
Ukiwa out of the system. Unadhani km ni watu fulani invicibleTiss is overrated
Tatizo kubwa mfumo una uswahili mwingi.Hasa
Ukiwa out of the system. Unadhani km ni watu fulani invicible
NIDA ni moja ya taasisi zinazo under perform zaidi Tanzania. Sasa kitendo cha jasusi mkuu kufanya kazi NIDA na hakusaidia lolote unadhani kuna faida gani ya kuwasifia hawa majasusi kuwa ni vipanga kama they can't make basic contributions.C'mon zitto kazi ya Kipilimba haikuwa kusambaza National ID cards.
Ilikuwa ni kazi ya Maimu ambae aliingia Wapigaji FC.
Hiyo nafasi ina unyeti gani kulinganisha na utangazi kwenye shirika kubwa kama BBC?Huyo kikeke alivyo na mambo ya kitoto hivyo ndio apewe nafasi nyeti hivyo?afu ni kama ameanza kuchanganyikiwa flani hivi
Nnavyofahamu mimi ni kwamba yule mzee pale NIDA alikwenda kwa kazi ingine na si ilokusudiwa.NIDA ni moja ya taasisi zinazo under perform zaidi Tanzania. Sasa kitendo cha jasusi mkuu kufanya kazi NIDA na hakusaidia lolote unadhani kuna faida gani ya kuwasifia hawa majasusi kuwa ni vipanga kama they can't make basic contributions.
C'mon Lanlady huwezi kuwa msemaji wa serikali bila sifa maalum yaani kwamba hata foreign media utaweza kuwajibu ipasavyo na si kubahatisha.Hiyo nafasi ina unyeti gani kulinganisha na utangazi kwenye shirika kubwa kama BBC?
Nadhani usemaji wa ikulu kila mtanzania mwenye uwezo wa kuzungumza anaweza kupewa! Muhimu ni kufuata maelekezo!
Kwani msigwa alikuwa na maajabu gani zaidi ya kufanya ziara za mikoani na kuita waandishi wa habari? Alichoeleza ni kilekile kinasemwa na mawaziri na watendaji wengine!