airmax
JF-Expert Member
- Oct 14, 2022
- 870
- 965
Musiba.Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile).
na Ndg. Salim Kikeke (with due respect, Mshereheshaji na Chawa Mkuu wa Makolo FC kwa sasa) nani alipaswa kuaminiwa kuwa Mkurugenzi wa Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali?
Nafasi nyeti hizi wazee, Kikeke asubiri bahati yake sehemu nyingine
ALAMSIKI💤💤