Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo wanawashobokea sana haoMbona mnapenda ku exaggerate watu kiasi hiki, utashangaa ana under perform ilihali mlimsifia weeee. Mliwahi msifia sana Kipilimba ooh TISS sijui nini wakati vitambulisho vya NIDA tu alifeli kusambaza, unabaki unajiuliza lipi wanaloweza hawa mnaowaita vipanga?
kikeke amerudi kwabkazi nyingine kabisa,sasa hivi anasubiriwa mtu kustaafu ndio apewe yeyeNauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile).
na Ndg. Salim Kikeke (with due respect, Mshereheshaji na Chawa Mkuu wa Makolo FC kwa sasa) nani alipaswa kuaminiwa kuwa Mkurugenzi wa Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali?
Nafasi nyeti hizi wazee, Kikeke asubiri bahati yake sehemu nyingine
ALAMSIKI[emoji99][emoji99]
Kwani Kazi siku hizi inatolewa kwa mtanzania anayestahili au kwa masharti ya mtu kuwa jasusi?Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile).
na Ndg. Salim Kikeke (with due respect, Mshereheshaji na Chawa Mkuu wa Makolo FC kwa sasa) nani alipaswa kuaminiwa kuwa Mkurugenzi wa Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali?
Nafasi nyeti hizi wazee, Kikeke asubiri bahati yake sehemu nyingine
ALAMSIKI💤💤
Nachojua ukipewa majukumu ya ujasusi ni lazima primary goal utimize on top of lile jukumu la siri. Haiwezekani TISS apelekwe kuwa jasusi huko NIDA ila kazini hauonekani kila siku and you underperform, huoni utaleta suspicion au pengine kutumbuliwa mapema kabla hujafika lengoNnavyofahamu mimi ni kwamba yule mzee pale NIDA alikwenda kwa kazi ingine na si ilokusudiwa.
Tofautisha utangazaji na usemaji wa serikali! Kutangaza hata mtu asiye mwandishi anaweza. Kutangaza habari maana yake ni kusoma habari ambayo imeandikwa!Hiyo nafasi ina unyeti gani kulinganisha na utangazi kwenye shirika kubwa kama BBC?
Nadhani usemaji wa ikulu kila mtanzania mwenye uwezo wa kuzungumza anaweza kupewa! Muhimu ni kufuata maelekezo!
Kwani msigwa alikuwa na maajabu gani zaidi ya kufanya ziara za mikoani na kuita waandishi wa habari? Alichoeleza ni kilekile kinasemwa na mawaziri na watendaji wengine!
Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi na Ndg. Salim Kikeke nani alipaswa kuaminiwa kuwa Mkurugenzi wa Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali?
Unafeli sana wewe . Ukule mshahara wa serikali alafu unyee serikali . Hii ofisi dunia nzima inafanya kazi ki pro serikali.Kazi ya msemaji wa serikali ya tz ni propaganda tu za kuficha failure za serikali...
It is not even worth the debate on this platform
Inaonekana exposure yako ya tawala za kidunia iko chini sana.Unafeli sana wewe . Ukule mshahara wa serikali alafu unyee serikali . Hii ofisi dunia nzima inafanya kazi ki pro serikali.
Hiyo nafasi ilififishwa na Kikwete alipokuwa blackmailed na wakona Salva Rweyemamu na Magufuli ndio akaja kuizika kabisa Kwa teuzi ya a junior TBC mkoa with very little if any exposure na mengineyo, utashangaa kujua kuwa Jana alitweet kumkaribisha Msemaji mpya kuwa huru kuwasiliana Kwa ushauri🥸 akijuaminisha kuwa Kwa kuwa alipita hapo kabla basi yeye ni senior to the new holder. Hii ndiyo arrogance ya wengi wetu kudhani kuwa position power inatosha bila capacity to fit in the position. Namtakia msemaji mpya heri na fanaka Kwa kweli kurejesha heshima kwenye nafasi na kazi hiyo ya kuunganisha umma na serikali
Nchi hii hakuna anayejua halafu yuko serikalini. Kwasabb serikalini kumejaa unafiki na uzandiki.unajiuliza lipi wanaloweza hawa mnaowaita vipanga?
Kwahiyo msemaji wa serikali anazungumza yanayotoka kwenye ubongo wake?Tofautisha utangazaji na usemaji wa serikali! Kutangaza hata mtu asiye mwandishi anaweza. Kutangaza habari maana yake ni kusoma habari ambayo imeandikwa!
Ikulu gani tena? Hapa tunasema msemaji mkuu wa serikali, siyo msemaji wa Ikulu! Tofautisha kwanza kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali na Msemaji wa Ikulu kisha rudi tujadili.Kwahiyo msemaji wa ikulu anazungumza yanayotoka kwenye ubongo wake?
Ndio mana nimesema haina hadhi ya kuwa debated humuUnafeli sana wewe . Ukule mshahara wa serikali alafu unyee serikali . Hii ofisi dunia nzima inafanya kazi ki pro serikali.
Kikeke SI ni mwingereza??Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile).
na Ndg. Salim Kikeke (with due respect, Mshereheshaji na Chawa Mkuu wa Makolo FC kwa sasa) nani alipaswa kuaminiwa kuwa Mkurugenzi wa Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali?
Nafasi nyeti hizi wazee, Kikeke asubiri bahati yake sehemu nyingine
ALAMSIKI[emoji99][emoji99]