Tufunge mjadala: Mobhare Matinyi vs Salim Kikeke nani alistahili kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali?

Musiba.
 
Mkuu, Kapilimba alikwenda pale na baadae akatoka baada ya kumaliza kazi ya kutathmini hasara ilofanywa pale.

Baadae tukasikia watu fulani wa NIDA wakipata matatizo.

Nafikiri alikuwa ni Maimu na wenzie.
 

Kama walivyokuwa wanamsifia Membe. Yani watu wa humu kwa chumvi!!! Na huyu Kikeke atulizane. Nyuzi kama hizi hazimsaidii na utoto wake wa kurukaruka huko mitandaoni.
 
Huyo kikeke alivyo na mambo ya kitoto hivyo ndio apewe nafasi nyeti hivyo?afu ni kama ameanza kuchanganyikiwa flani hivi

I’m glad kila mtu anaona uchildish wake. Abadilike na yeye, hii tabia inamshusha sana.
 
Mnakikuza sana kitengo wakati villazza wa uvccm wamejaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…