Penye wengi hakukosi mengi. Nashiriki marathon sana na haya mambo yapo na ni ya kawaida. Msiseme Kili marathon tu mkumbuke hata makanisani haya mambo yapo.
Tukiendelea kuhukumu makusanyiko ya wanawake na wanaume ipo siku tutaambiana msiruhusu wake/waume zenu waende kanisani wataliwa.
Kama mtu una nia ya dhati ya mbio kakimbie, kama umefuata mboga/madanga akili kumkichwa. Tukumbushane tu umakini ila hamna cha ajabu kinachofanyika kwenye marathon na wengine wanasema gym hakifanyiki sehemu nyingine.
Btw Kili Marathon ilikua nzuri
Wakimbiaji wenzangu tukutane BIMA MARATHON [emoji6][emoji6][emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wengine mnajikuta watakatifu! Kazi kuhukumu wenzenu.
Nilikuwepo, nilifikia nje ya mji nilikuja town siku ya mbio tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulikiwepo? Mbona sikukuona[emoji1745]
Auntie tuanze mazoezi hata ya kuzunguka nyumba mwakani tuunge tela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana aisee mimi na hizo mambo tofauti acha niwe muangaliaji tu kwa WhatsApp stts za watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Doooh!! Sio kwa tangazo hilo!
Hukupanda bodaboda kama Manara?Nilikuwepo, nilifikia nje ya mji nilikuja town siku ya mbio tu
Unakwenda kushangaa wakimbiaji?Kila mwaka nahudhuria ila sijawah kukimbia, napenda tu kuwa moshi wakati huo....!
Sent using Jamii Forums mobile app
@Mzigua90 marathon yako ya goba usikute simara anakuona uko ukikimbiaMarathon zote za Goba zinaishia na bata wanaweza wakaishia Joy eslava au Tripple B.
Hata hii ya trh 02/02 ilikua na bata mwisho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Auntie mimi na mambo za kukimbia siwezi hata acha niwe shabiki wako tuAuntie tuanze mazoezi hata ya kuzunguka nyumba mwakani tuunge tela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana nawaambia watu kama umeoa kahaba ataliwa tu hata aende gengeni,sokoni,n.k swala lakuliwa ni akili ya mtu tu hata akiwa mazingira shawishi.
Huwezi kuchukua maamuzi yakumuoa mtu halafu unaishi nae kwa wasi wasi kama upo na kiongozi wa al shabab....
2022 mama inafikaa utaruhusiwa kwenda hadi mars[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
@Mzigua90 marathon yako ya goba usikute simara anakuona uko ukikimbia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Auntie mimi na mambo za kukimbia siwezi hata acha niwe shabiki wako tu
Joy pale pana mbuzi mtamuu balaa...Marathon zote za Goba zinaishia na bata wanaweza wakaishia Joy eslava au Tripple B.
Hata hii ya trh 02/02 ilikua na bata mwisho.
[emoji123][emoji123] creativity is everything. Baada ya vyuma kukaza wadangaji wamekuwa wabunifu[emoji81][emoji81]na kwenye mpiraa na gym yaan muamko umekuwa ni wa grade A kwa wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app