GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,465
sipati picha vidume nyuma yake..kudadeki hakuna kumpita..akisimama tunasimama wote kuvuta pumzi nia ni kumu inkareji tumalize wote mbio hata kwa kutembea...
Unaongea ukweli mtupu huwa nashangaa huku Goba Marathon wakitoka kukimbia ni bata pombe kwa kwenda mbele, naona wamefanya kama sehemu ya kuenjoy
Hivyo ni Vilabu vya kutakatisha ufuska...watoto wa mjini ndio wanazitumia kuopoa madanga yani mtu anaishi magomeni ila anakimbia jogging club za Masaki na Oysterbay akifikiria kwamba Mabaharia hatutausoma mchezo.🤣🤣🤣Ninapokaa Mimi wakati Kikundi cha Jogging kikianza kulikuwa hakuna Kesi za Usaliti ila hivi karibuni tu nimeshuhudia Wake za Watu kama 5 hivi wakija Kugombana na Wanawake waliopo Kikundini lakini pia nimeweza Kushuhudia Waume za Watu kama 3 hivi wakija Kugombana na Viongozi wa Kikundi na Wanaume baadhi Wakimbiaji. Na hata Maambukizi ya VVU / UKIMWI katika hicho Kikundi kwa sasa yanaongezeka kutokana na Ufuska unaoendelea ila unafichwa kwa Kisingizio cha Jogging Club. Najua Dada yangu kwa hili wengi hawatakuelewa na wanaweza hata Kukudhihaki ila nakubaliana na ulichokiandika hapa kwa 99.9% kwani nakiishi na nayaona 24/7.
Hapana aisee mimi na hizo mambo tofauti acha niwe muangaliaji tu kwa WhatsApp stts za watu
Eti mm ndio mumeo halaf unanijia na uoimbavu huo kuwa unaenda marathon sijui kili au bagamoyo..ahahahahha..
Dah..kwel mungu alimaanisha aliposema atakuoa wa kufanana nae.
Mm sifanani na mambo hizo.
NB
life langu tu ni killi marathon tosha kabisaa
Najua utasema fanta orange zinaniharibu !!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
Najua utasema fanta orange zinaniharibu !!
Ahahhaha
Ahahahahah...kwel kabisaa..huwa sibishi tena ule usemi flan kwamba "watu wasio na hela huwa wakali wakali halaf wakoloni koloni kinoma".Nimewaza mbali...dah..una umagufuli wewe kwako mkuu
Ahahahahah...kwel kabisaa..huwa sibishi tena ule usemi flan kwamba "watu wasio na hela huwa wakali wakali halaf wakoloni koloni kinoma".
Ah!!hapa basi unadhani kuna cha kufanyika zaid ya kutafuta hela mkuu?!🤣🤣🤣muda wote wako tayari kupambana namtu hahhaa...hahahhhaa..sasa nini kifanyike mkuu🤣🤣..lol
Ah!!hapa basi unadhani kuna cha kufanyika zaid ya kutafuta hela mkuu?!
Nadhan tuzingatie utafutaji tu hakuna namna.!au unaonaje?
Basi sawa.Killi marathon ijayo na mm nitakuwepo bila shaka nika test mitambo.i wll book a ticket for u as well.Umenena mkuu