Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Acha wivu..kwani mtu akienda kumatathon kwa bed Kuna tofauti gani na yule anayekimbia barabarani.
IMG_20200302_121206.jpg
 
Gym na marathon sasa ndio machimbo rasmi ya udangaji. Yani unakuta mwanamke kavaa tight fupi see-through nae yupo gym anafanya mazoezi akiambiwa inama mambo yote wazi. Sikuhizi ukiona mwanaume kakazana jumatatu hadi jumamosi gym dada kama ni mumeo fanya tu uunge tela maana utamkuta mwana si wako.
 
Ninapokaa Mimi wakati Kikundi cha Jogging kikianza kulikuwa hakuna Kesi za Usaliti ila hivi karibuni tu nimeshuhudia Wake za Watu kama 5 hivi wakija Kugombana na Wanawake waliopo Kikundini lakini pia nimeweza Kushuhudia Waume za Watu kama 3 hivi wakija Kugombana na Viongozi wa Kikundi na Wanaume baadhi Wakimbiaji. Na hata Maambukizi ya VVU / UKIMWI katika hicho Kikundi kwa sasa yanaongezeka kutokana na Ufuska unaoendelea ila unafichwa kwa Kisingizio cha Jogging Club. Najua Dada yangu kwa hili wengi hawatakuelewa na wanaweza hata Kukudhihaki ila nakubaliana na ulichokiandika hapa kwa 99.9% kwani nakiishi na nayaona 24/7.
Hivyo ni Vilabu vya kutakatisha ufuska...watoto wa mjini ndio wanazitumia kuopoa madanga yani mtu anaishi magomeni ila anakimbia jogging club za Masaki na Oysterbay akifikiria kwamba Mabaharia hatutausoma mchezo.🤣🤣🤣

Kama kuna watu wanatafuta urahisi katika maisha at any cost ni hawa freedom fighters wa mjini bongo DSM.
 
Ahahahahah...kwel kabisaa..huwa sibishi tena ule usemi flan kwamba "watu wasio na hela huwa wakali wakali halaf wakoloni koloni kinoma".

🤣🤣🤣muda wote wako tayari kupambana namtu hahhaa...hahahhhaa..sasa nini kifanyike mkuu🤣🤣..lol
 
Back
Top Bottom