Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano



Kili Marathon Ni moja ya mashindano makubwa yanayoendelea kupaisha jina la Tanzania ila mara nyingi uambatana na Umalaya ulevi wa ziada kwa washiriki na wengine wanakuwa wanaendesha vyombo vya Moto wanaporejea. Itakuwa Vizuri @tanpol kitengo cha Traffic kikiwa sehemu ya tukio kutoa elimu
 
Wadangaji wanawaharibia sana wenzao, sasa hivi wote walioenda wanaonekana ndio walewale ingawa wapo walioenda kwa nia ya marathoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wala usijichoshe, hakuna mtu anaeenda kwa nia ya marathon ukiacha wakenya na wale wanariadha profesheno. Wengine wote wanaenda ama kumendea wanaume/wanawake, au kupiga picha za kuweka insta/status na kupata cha kujisifia.
 
kuna siku niliona hii kitu kwenye safari channnel,nilivyoona wale washiriki nikasema hivi watu ndo wamekua na mwamko kiasi hiki hasa dada zetu😊😊😊😊😊 leo naona wadau wemleta bango hahahaaa
 
Mkuu wala usijichoshe, hakuna mtu anaeenda kwa nia ya marathon ukiacha wakenya na wale wanariadha profesheno. Wengine wote wanaenda ama kumendea wanaume/wanawake, au kupiga picha za kuweka insta/status na kupata cha kujisifia.
Hahaha mkuu mbona unawahukumu...ila wapo walioenda kwa nia ya dhati bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mkuu mbona unawahukumu...ila wapo walioenda kwa nia ya dhati bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nipo hapa Moshi miaka yote naona kinachoendelea. Mfano juzi majority ya washiriki walikuja moshi ijumaa wakakesha na kushinda kwenye kumbi za starehe, loji na hoteli wakibanjuka. Watu mkesha wa marathon wanalala night club asubuhi wanaamkia uwanjani eti kukimbia..! Hapo kuna marathon kweli??
 
Hahaha wabongo bwana kila sehemu wanaifanya fursa ya kufanyia ufuska

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]..ndo hao wengine magoti yalikataa ikabidi wapande pikipiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…