Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano


Mnaniharibia jamani nataka anza kwenda gym


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ni magumu sana jmnπŸ˜‚πŸ˜‚medali akose na danga nalo asipate!
 
Juzi kuna malaya redstone alianza kumchamba hawara wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba akamsumbue mkewe anaompikia michicha aachane nayeye.

Jamaa kwa aibu likaanza kumvuta nywele yule malaya mara chupa zikapasuliwa! 🀣🀣🀣

Hii inaashiria kwamba kuna ukweli juu ya watu wanaenda kwa malengo ya kufanya picnic na ufuska tofauti kabisa na Marathon yenyewe!
 
Hivi kweli event kama ile unategemea wataenda wanariadha tu?! Kuna walioenda kukimbia na wengine wameenda kula bata.
 

alafu kuna ule muda wa kufanya mazoezi ya kiuno kukizungushaa yaan full umalayaa mxiewww


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malalamiko ya design hii yamekuwa yanatolewa mara kwa mara na watu wenye vitambi wanaotamani kuupunguza mwili ila wanayakwepa mazoezi kwa justification zenye msukumo wa uvivu na wivu.

NB:
Kama ulikua hujui, wanaume asilimia kubwa akiwepo mwanaume wako wakiwa katika safari yoyote nje ya mji anaoishi lazima watafute mechi ya ugenini hata ya kununua.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…