Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Gym na marathon sasa ndio machimbo rasmi ya udangaji. Yani unakuta mwanamke kavaa tight fupi see-through nae yupo gym anafanya mazoezi akiambiwa inama mambo yote wazi. Sikuhizi ukiona mwanaume kakazana jumatatu hadi jumamosi gym dada kama ni mumeo fanya tu uunge tela maana utamkuta mwana si wako.

Mnaniharibia jamani nataka anza kwenda gym

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ni magumu sana jmn😂😂medali akose na danga nalo asipate!
 
Juzi kuna malaya redstone alianza kumchamba hawara wake 😂😂😂 kwamba akamsumbue mkewe anaompikia michicha aachane nayeye.

Jamaa kwa aibu likaanza kumvuta nywele yule malaya mara chupa zikapasuliwa! 🤣🤣🤣

Hii inaashiria kwamba kuna ukweli juu ya watu wanaenda kwa malengo ya kufanya picnic na ufuska tofauti kabisa na Marathon yenyewe!
 
Hivi kweli event kama ile unategemea wataenda wanariadha tu?! Kuna walioenda kukimbia na wengine wameenda kula bata.
 
True
IMG-20200302-WA0026.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gym na marathon sasa ndio machimbo rasmi ya udangaji. Yani unakuta mwanamke kavaa tight fupi see-through nae yupo gym anafanya mazoezi akiambiwa inama mambo yote wazi. Sikuhizi ukiona mwanaume kakazana jumatatu hadi jumamosi gym dada kama ni mumeo fanya tu uunge tela maana utamkuta mwana si wako.

alafu kuna ule muda wa kufanya mazoezi ya kiuno kukizungushaa yaan full umalayaa mxiewww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malalamiko ya design hii yamekuwa yanatolewa mara kwa mara na watu wenye vitambi wanaotamani kuupunguza mwili ila wanayakwepa mazoezi kwa justification zenye msukumo wa uvivu na wivu.

NB:
Kama ulikua hujui, wanaume asilimia kubwa akiwepo mwanaume wako wakiwa katika safari yoyote nje ya mji anaoishi lazima watafute mechi ya ugenini hata ya kununua.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom