Sitakosa tena chimbo hilo,mleta uzi umenifungua macho.Wakuu mliopita za nyuma mlifaidi kumbe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo wivu, yaonekana umekosa hata wa kukusalimia so unaamua kumwaga mboga. Wacha watu wafurahie uumbaji wa Mungu Mwenye enzi yoye, Watu wanapunguza pia mastress, huwezi kila siku unakunywa coca, kunakipindi unatamani angalau ston tangawizi😎
hahahahah na wala bata ndio wengi kuliko wakimbiajiHivi kweli event kama ile unategemea wataenda wanariadha tu?! Kuna walioenda kukimbia na wengine wameenda kula bata.
Kumbe ndio maana warembo walikuwa wamevaa vicondomndo maana nimeclose chapter manake marathon na gym ndo chaka jipya la ufuska
Sent using Jamii Forums mobile app
Malalamiko ya design hii yamekuwa yanatolewa mara kwa mara na watu wenye vitambi wanaotamani kuupunguza mwili ila wanayakwepa mazoezi kwa justification zenye msukumo wa uvivu na wivu.
NB:
Kama ulikua hujui, wanaume asilimia kubwa akiwepo mwanume wako wakiwa katika safari yoyote nje ya mji anaoishi lazima watafute mechi ya ugenini hata ya kununua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tushike lipi enyi wanaumeUkiona mwanaume anatoka nje, ujue ndani kuna shida....(Tumefunga maada)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umeona nini mama?Natumaini wote mu wazima,
Mama lao sina maneno mengi ila tuseme tu ukweli Kili Marathon ishapoteza mvuto sio kama zile Kili za zamani tulizokuwa tunazosikiaa kipindi hicho. Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano, kila ufuska huwa unafanyika Moshi
Yaani kuna kudanga na kudangwa sio kila mtu anaenda kwa ajili ya Marathon ila wanatumiaa mgongo wa Marathon kwenda Moshi kujivinjari
Hasa Wanaume manake unakuta mtu anaaga nyumbani kuwa anaenda kwa Marathon kumbe kashaandaa kiburudishi pembeni same applied to wadangaji nao washafanya ni chimbo la kupatiaa Wanaume.
Thats why unakutaa siku hizi kilaa mtu anajifanya anapenda Marathon.
Jamani Wanawake wenzangu kuweni macho na haya ma-marathon ya kila siku ambao yameshakuwa kama fashooooni mjini haya mama, marathon 25% ndo wapo kimarathon zaidi but the rest 75% ni kwa ajili ya kwenda kusaka na kusakwa niliyo yaona Moshi yanatoshaa jaman
[emoji3]ndo ujiulizeee hapo anakusanya wale wastaafu wa mwishoni mwishoni wasiojuaa kukimbia kama yeye[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mabaharia tufaidi madem za watuNatumaini wote mu wazima,
Mama lao sina maneno mengi ila tuseme tu ukweli Kili Marathon ishapoteza mvuto sio kama zile Kili za zamani tulizokuwa tunazosikiaa kipindi hicho. Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano, kila ufuska huwa unafanyika Moshi
Yaani kuna kudanga na kudangwa sio kila mtu anaenda kwa ajili ya Marathon ila wanatumiaa mgongo wa Marathon kwenda Moshi kujivinjari
Hasa Wanaume manake unakuta mtu anaaga nyumbani kuwa anaenda kwa Marathon kumbe kashaandaa kiburudishi pembeni same applied to wadangaji nao washafanya ni chimbo la kupatiaa Wanaume.
Thats why unakutaa siku hizi kilaa mtu anajifanya anapenda Marathon.
Jamani Wanawake wenzangu kuweni macho na haya ma-marathon ya kila siku ambao yameshakuwa kama fashooooni mjini haya mama, marathon 25% ndo wapo kimarathon zaidi but the rest 75% ni kwa ajili ya kwenda kusaka na kusakwa niliyo yaona Moshi yanatoshaa jaman
😂😂😂😂Maisha ni magumu sana jmn😂😂medali akose na danga nalo asipate!
Mekuz ingekuwepo sjui pngekuwajeMkuu mimi nipo hapa Moshi miaka yote naona kinachoendelea. Mfano juzi majority ya washiriki walikuja moshi ijumaa wakakesha na kushinda kwenye kumbi za starehe, loji na hoteli wakibanjuka. Watu mkesha wa marathon wanalala night club asubuhi wanaamkia uwanjani eti kukimbia..! Hapo kuna marathon kweli??
Bado hujatusaidiaJamani Wanawake wenzangu kuweni macho na haya ma-marathon ya kila siku ambao yameshakuwa kama fashooooni mjini haya mama, marathon 25% ndo wapo kimarathon zaidi but the rest 75% ni kwa ajili ya kwenda kusaka na kusakwa niliyo yaona Moshi yanatoshaa jaman
sawa mkuu tumekusikianiliyo yaona Moshi yanatoshaa jaman
baada ya hapo madai yao wanakandana kuondoa uchovu yaan wanaume wa kibongo kufunga zipu ni ngumi saana kwao
Sent using Jamii Forums mobile app