Tufurahi kidogo:Je una historia gani na kuberi?

KUBER ilikua inacheza winga ya kushoto pale kwenye timu ya madawa ya kulevya sema sheria ya ligi yetu ilikua inapinga wachezaji wakigeni kutawala ulevi ndio nambayake ikachukuliwa na mchezaji mzawa bwana UGORO sema nae anakimbiza fresh tu
 
Kitambo sana kwenye msuli tembo wa necta 2001. Nipo na wanangu matoto tundu mida ya saa7 usiku usingizi umenikaba kinyama ila nikiwacheki masela wapo macho kodo!
Mara namwona jamaa akimgusa kibega dogo Jose "oya mpe astue imtoe wenge la mbonji" mi namawenge yangu mzee nikawa natafuna ka bg mate nameza!
Sec 30 nyingi, jasho likaanza kunitoka tumboni kunawaka moto mixer kizunguzungu. Nikazuga kunyanyuka mara chalii nikawa naona darasa linazunguka madawati ni kama yanagongana. Washikaji wakawa wananicheka, mi muda huo nahisia mvurugiko najuta kufakamia starehe za watu...!
Baada ya kama dk 20 hivi nikanyanyuka pale chini huku napepesuka nikatoka nje kuwahi chooni. Sikufika nikarudisha chenji na kuamua kukata gogo karibu na maabara ya chemistry.
Waliosoma Mazengo watanielewa vizuri. Kwa hali niliyokuwa najisikia, haikuwa rahisi kuvifikia vyoo kwa kutokea madarasani.
Yale makitu yalivuruga equilibrium nikafanya mtihani chini ya kiwango make akili ni kama ilikuwa inapokea jambo slowly na kulichakata kwa muda mrefu.
 
😂😂😂 Pole sana mkuu sidhani kama ulijaribu kutumia tena
 
Dah Kuna fala mmoja mtaani alitupa na kutuambia tuweke chini ya ulimi halafu mate tuteme baada ya dakika moja tu vitu vikajipa niliona Dunia inazunguka nikalala nikaona kama mbingu inaniangukia swala la dk 45 lakini hapana Kuna mwana mmoja hakutema mpaka Leo ameamia kwenye ugoro
 
Kuna mshenzi simsahau, alikuwa anaonesha banda la sinema, watoto tuliokuwa hatuna hela ilikuwa anakuwekea kubeli mdomoni ndo unaingia kuangalia movie. Watoto tulikunya hiyo siku 😂😂
Hiyo mechanism ya kuberi na nnya ikoje??
Kila mtu shuhuda yake ni kushusha kimba
 
Kitambo sana kwenye msuli tembo wa necta 2001. Nipo na wanangu matoto tundu mida ya saa7 usiku usingizi umenikaba kinyama ila nikiwacheki masela wapo macho kodo!
Mara namwona jamaa akimgusa kibega dogo Jose "oya mpe astue imtoe wenge la mbonji" mi namawenge yangu mzee nikawa natafuna ka bg mate nameza!
Sec 30 nyingi, jasho likaanza kunitoka tumboni kunawaka moto mixer kizunguzungu. Nikazuga kunyanyuka mara chalii nikawa naona darasa linazunguka madawati ni kama yanagongana. Washikaji wakawa wananicheka, mi muda huo nahisia mvurugiko najuta kufakamia starehe za watu...!
Baada ya kama dk 20 hivi nikanyanyuka pale chini huku napepesuka nikatoka nje kuwahi chooni. Sikufika nikarudisha chenji na kuamua kukata gogo karibu na maabara ya chemistry.
Waliosoma Mazengo watanielewa vizuri. Kwa hali niliyokuwa najisikia, haikuwa rahisi kuvifikia vyoo kwa kutokea madarasani.
Yale makitu yalivuruga equilibrium nikafanya mtihani chini ya kiwango make akili ni kama ilikuwa inapokea jambo slowly na kulichakata kwa muda mrefu.
😅😅🙌
 
Back
Top Bottom