Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

toka uanze kunywa kavu kavu inakupeleka vibaya eeh.

 
Ila watu wengine bana . . . .
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!

Anyways . . . kila la kheri Madam.

Ushauri mzuri ila uliyempatia huo ushauri sasa....., heri ungekaa nao ushauri wako ili usijutie kuupoteza...BTW mbona umeadimika sana...
 
Angalia sifa hizo.....


Hongera mpenzi wangu.Nilipojiunga JF miaka 6 iliyopita nilisubiri kwa muda wa miaka 5 hadi nilipokutana na wewe.Sikuamini kama JF ingenipatia mke.JF imelipatia taifa First Lady!

Mpenzi Madame B,My love for you will never die


My dear Ben Saanane,.......... naamini Mungu ana makusudi yake makuu kunileta humu JF,
Kwani ningeendelea kubaki uraiani kamwe nisingekutana na Mume mwema kama wewe.
Hakika wewe kwangu una thamani kubwa kuliko mboni ya jicho langu.
Naamini jicho langu halikukosea kukuona na kukupenda wewe.
Ulisubiri kwa miaka mitano, lakini sasa unaishi kwa furaha milele.

Naahidi kukupenda na kuwa na wewe mpaka kifo kitakapotutenganisha,
Ni mimi wako Kipenzi,
Madame B.



Celine Dion - I Love You - YouTube
 
Last edited by a moderator:
Nipo Madame B. Ninakupenda pia, unasaidia sana kuchangamsha majukwaa kwa comments/replies zako.

May God Bless You.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

asante sana rafiki yangu Sumu,......
Nakushukuru kwa kutambua mchango wangu humu.
asante.
 
Last edited by a moderator:

naota,
Naota,
Nadanganywa!
Sos
 
Last edited by a moderator:

naota,
Naota,
Nadanganywa!
Sos: mbaraka mwinshehe mwaruka
Kopi aione CHAI CHUNGU
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…