Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madame B bishanga hakupongezi mpaka ufanye yafuatayo kisha umfuate:
1. Piga chini fasta wafuatao ( in that order): Chimbuvu tedo, Chilli, CHAI CHUNGU, Arusha one, Chibolo.... kiplagati26 huwezi kumpata ni incommunicado ana kazi maalum kenya.
2. Usingonoke nao tena si kwa vitendo tu bali pia kwa maneno na kwa mawazo
3. Weka picha yangu full time kwenye mkoba wako
4. Tumia perfume ambazo nimekununulia mimi na si nyingine
5. Hicho kimkoko uchwara alichokununulia Arushaone tupa kurrrreee,kuna rav4 brand new inakusubiri international motor mart,kaichukue
6. Tumba,marimba,magitaa,saxaphone na mazagazaga mengine ya @ chimbuvu tupa dampo
7. Mkopo uliiomba pride kau cancel,mi nna hela banaa
8. Ushoga na gfsonwin stop,siutaki,anakupeleka kwa vigagula
9. Koma kumsikiliza Mamndenyi
10. Jifunze kumenya ndizi
Ukishatimiza hayo kachukue tiketi yako klm ,kwea pipa utanikuta Amsterdam Radisson hotel
am humbled dear................
sipati picha khaa!
Ila watu wengine bana . . . .
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Anyways . . . kila la kheri Madam.
hahahahaha. Tutaongea
Angalia sifa hizo.....
Hongera mpenzi wangu.Nilipojiunga JF miaka 6 iliyopita nilisubiri kwa muda wa miaka 5 hadi nilipokutana na wewe.Sikuamini kama JF ingenipatia mke.JF imelipatia taifa First Lady!
Mpenzi Madame B,My love for you will never die
need not to ask more
toka uanze kunywa kavu kavu inakupeleka vibaya eeh.
My dear Ben Saanane,.......... naamini Mungu ana makusudi yake makuu kunileta humu JF,
Kwani ningeendelea kubaki uraiani kamwe nisingekutana na Mume mwema kama wewe.
Hakika wewe kwangu una thamani kubwa kuliko mboni ya jicho langu.
Naamini jicho langu halikukosea kukuona na kukupenda wewe.
Ulisubiri kwa miaka mitano, lakini sasa unaishi kwa furaha milele.
Naahidi kukupenda na kuwa na wewe mpaka kifo kitakapotutenganisha,
Ni mimi wako Kipenzi,
Madame B.
![]()
Celine Dion - I Love You - YouTube
My dear Ben Saanane,.......... naamini Mungu ana makusudi yake makuu kunileta humu JF,
Kwani ningeendelea kubaki uraiani kamwe nisingekutana na Mume mwema kama wewe.
Hakika wewe kwangu una thamani kubwa kuliko mboni ya jicho langu.
Naamini jicho langu halikukosea kukuona na kukupenda wewe.
Ulisubiri kwa miaka mitano, lakini sasa unaishi kwa furaha milele.
Naahidi kukupenda na kuwa na wewe mpaka kifo kitakapotutenganisha,
Ni mimi wako Kipenzi,
Madame B.
![]()
Celine Dion - I Love You - YouTube
Sema sana Madame B kwa mpenzi wako Ben Saanane,
piga kelele kila mtu asikie kuwa umempata ajuaye kukupenda
achana kabisa na Bishanga tena mwambie mapenzi na pesa
ni mbali mbali kama ilivyo mbingu na nchi.
Copy: The secretaryumri huu kitendea kazi nitakiweza?