Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

mbali sana asee,maisha yale acha tu.

Kwanza nikikumbuka fimbo za mwl wa Biology (Ngwada)..........hapo ndipo nipatapo hasira na Boarding school.
asante.
 
Dogo Madame B ulisababisha niingie chit chat bila kujielewa baada ya kukumbana na kero za kina Malaria Sugu na Faiza Fox jukwaa la siasa! HONGERA DOGO.
 
Last edited by a moderator:
I loved you, I am in love and I will always love you Madame B. You have made it!!

A year is not mchezo bhana.

CONGRATULATIONS!!
 
Last edited by a moderator:
I loved you, I am in love with you and I will always love you Madame B.

You have made it!!

A year is not mchezo bhana.

CONGRATULATIONS!!
 
Last edited by a moderator:
Dogo Madame B ulisababisha niingie chit chat bila kujielewa baada ya kukumbana na kero za kina Malaria Sugu na Faiza Fox jukwaa la siasa! HONGERA DOGO.

mwaJ mamito,
Chit Chat ni Stress free zone mpenzi.
Nafurahi kusikia kuwa nimekuvuta mpaka umeingia CC.
Nakupenda sana mamito.
 
Last edited by a moderator:
familia yangu mimi na Kipipi tunakutakia maisha marefu yenye furaha hapa jf. uendelee kuwa mtoto mwenye adabu na utii kwa watu wote. Leo ntakutafuta mitaa ya kino nikuhug kama ilivyo desturi yangu ya kuwapongeza wote wanao nijali kama wewe. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom