Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
- Thread starter
-
- #21
clear revelation of your stupidity. a mature boy you sit out there and post this rubbish!! You don't have anything sensible to do? most likely you do not own even a bike. mkiitwa mataahira mnalalamika.
Si kwamba Gari zote zenye namba za d ni mpya.,nyingine ni kuu kuu tu! Zimebadili namba.ufahamu wa mtoa Uzi inawezekana sio mkubwa juu LA hili.
Na [emoji193] roadwadhaif nyie akpta scopion mnajficha uvungun mwa ktandanda,
Mwanza mbona gari nzur zipo kibao
Me nazani huyu jamaa uengeneer wake ni wa uchizi yaani umetoka dar unaenda mikoni kuchunguza magari me nahisi pale kwa mtogole unapokaa pamekuchizisha. Jaribu kukua mkuu watu hawashindani magar wanashindana kuwekeza bro.
Wamikoani wananunua matrekta na malory kwa ajili ya kilimo
Tupia picha ya gari yako hapa tuione kwanza, chief eng
Huyu, kwanza bado mtoto, halafu ni mshamba kuliko hao anaowaita wa mikoani, na la mwisho, hata Think capacity yake ni low!
Kwani amejiona hao anaowaita wa mikoani kama vile yeye anaishi mbinguni kwa mtazamo wake amewashinda nn?
Akiri?
Elimu?
Mali?
Na, au amewashindaWote? Kwa vyote?
Dah! Ushamba mwingine
Gari la "njemba" wa darACHA UBOYA...
Nimesema nipo mikoani kiofisi...
Kwa sababu leo niko free ndio nimeamua kufanya hii simple research....
Gari la kampuni, mafuta ya kampuni... Muda ninao ndio Maana nafanya utafiti huu....
Ndio nyie mnachimbia hela ardhini magreda yanakuja kuzifukua...
Badala mnunue magari makali....
ACHENI USHAMBA.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Dogo naona umekuja kushangaa gari za mikoani kwa mwanza kama unataka kushangaa magari mazuri makubwa simama hapo garden/kemondo barabara ya airport, kaplpoint, bwiru kule chini.Ziko wapi.. Mbona naangaza hazionekani?????
Butimba, Nyasaka, buswelu, mabatini, buzuruga, nyegezi au wapi zilipo!!!!!!
ACHENI USHAMBA.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
0brnACHA UBOYA.
Nimewashinda akili kwa sababu najua kutafuta hela na namna ya kuzitumia, sio kuzichimbia ardhini mpaka ma greda yanakuja kuwa aibisha..
Nimewashinda elimu sababu mie ni Engineer.. Huko mikoani hakuna ma Engineer, engineer karibu wote tuko Dar, mikoani tunakuja kufanya kazi then tunarud dar....
Uko hapo????
Kifupi ni kuwa nimewazidi karibu kila kitu, ingawa sio wote....
ACHENI USHAMBA
NUNUENI magari mazuri mazuri bana.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
mkuu vp unalo la kwako au unajidaia gari za bakhressa
Thread zingine kweli hazina msaada, hapa sijajifunza chochote cha maana