Tugari twa mikoani tubaya tubaya tuu... Hii imekaaje mazee!!!!

Utachoka zaidi pale mwanaume anapojitapa na kuringia mali za wanaume wenzie.
Ukute yeye hata huto tugari tubayatubaya hana.
Wanaume wa Dar wanamatatizo sana.
Mnisamehe sipendagi kutumia haya maneono(Mwanaume wa Dar)lakini leo imebidi.
 
bahati mbaya kwako ni kwamba Mwanza kuna wanawake wazuri sana
wala hatuhitaji mashoga kutoka Dar kuja kutuhudumia huku,
i think mingo zako zimebuma,
by the way utazunguka jiji zima hutampata mteja wa bidhaa yako (gari lako la T ---DZZ) na ukitoka huko Pasiansi pitia hapa Diamond kona ya bwiru alau nikupe hata bia mbili upotezee muda then ukalale.
 
Utachoka zaidi pale mwanaume anapojitapa na kuringia mali za wanaume wenzie.
Ukute yeye hata huto tugari tubayatubaya hana.
Wanaume wa Dar wanamatatizo sana.
Mnisamehe sipendagi kutumia haya maneono(Mwanaume wa Dar)lakini leo imebidi.
Hawajui kutafuta pesa.ni kujipodoa tu
 
Mainjinia wa Bongo hao. Hata njiti za kuchokonolea meno tunaagiza China lakini yeye yuko bize kuangalia upya na ukuu kuu wa magari. Mwaka 2020 nitampigia kura Eddo kama bado atakuwa na uchungu na Elimu, Elimu, Elimuuuu!
 
Chief eng toka kidogo angalau uende South alafu ukifka uwanja wa ndege angalia magari ya Dar anayoamini ni mapya.! Lazma kesho yake atakuja na uzi mpya wa kuponda magari aliyosema ni mapya.
 
Imba taarabu kabisa... mwanaume wa Dar ktk ubora wako
 
Daah.. Ukosefu wa ajira kwa mainjinia ni janga la taifa.. Sasa kama chief injinia anafanya kazi hizi je fundi mchundo afanye nin?
Huyu ni kilaza. Injinia unategemea ajira au unatengeneza ajira? Amekariri tu huyu
 
Huyu ni ******. Injinia unategemea ajira au unatengeneza ajira? Amekariri tu huyu

BLAZA
Cjaelewa hapo umenitukana mimi au huyo Kodofan....
Kama ni Kodofan you are safe. Lakin kama ni mimi kuna mawili, either unatania au uko serious.
Kama unatania you are safe, kama uko serious kuna mawili....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Chief eng toka kidogo angalau uende South alafu ukifka uwanja wa ndege angalia magari ya Dar anayoamini ni mapya.! Lazma kesho yake atakuja na uzi mpya wa kuponda magari aliyosema ni mapya.

WE nawe umekula MAHARAGWE YA WAPI WEWE..
Mi naongelea magari ya Dar Vs mikoani.. Hapa TZ.
Acha kukapulia macho pasipo Husika.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
BLAZA
Cjaelewa hapo umenitukana mimi au huyo Kodofan....
Kama ni Kodofan you are safe. Lakin kama ni mimi kuna mawili, either unatania au uko serious.
Kama unatania you are safe, kama uko serious kuna mawili....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Tusi gani mkuu?
 
bora hata angekuwa mwanaume wa dar tatizo zaidi ni kavulana ka dar

Acheni USHAMBA.....
Pelekeni dampo huto tugari tubaya tubaya..
Njoooni dar mchukue gari nzuri nzuri..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Hawajui kutafuta pesa.ni kujipodoa tu

NDIO.
Tunajipodoa sababu tuna hela...
Nyie hamna hela, maisha magumu muda wa kujipodoa mtaupata wapi...

Acheni USHAMBA.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…