Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
- Thread starter
-
- #61
i think mingo zako zimebuma,
by the way utazunguka jiji zima hutampata mteja wa bidhaa yako (gari lako la T ---DZZ) na ukitoka huko Pasiansi pitia hapa Diamond kona ya bwiru alau nikupe hata bia mbili upotezee muda then ukalale.
Ha ha haa!..ungejua!..NDIO.
Tunajipodoa sababu tuna hela...
Nyie hamna hela, maisha magumu muda wa kujipodoa mtaupata wapi...
Acheni USHAMBA.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Utachoka zaidi pale mwanaume anapojitapa na kuringia mali za wanaume wenzie.
Ukute yeye hata huto tugari tubayatubaya hana.
Wanaume wa Dar wanamatatizo sana.
Mnisamehe sipendagi kutumia haya maneono(Mwanaume wa Dar)lakini leo imebidi.
yawezekana hata baiskeli huna afu unajidai dar kuna hammer
We kama ni msomi hewa!! Umekuja Mwanza kufanya utafiti wa aina ya magari? Unafaidika na nn?Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Nimetoka jijini mara moja nimekuja mikoani huku kwa majukum ya kiofisi...
Kitu nilicho notice ni kuwa :
Nilipoiacha Chalinze tuu, kuanzia pale kuelekea morogoro mpaka huku Mwanza....
Sioni magari mazuri mazuri kama Dar es Salaam.....
Yaan tugari twa huku (private cars) tubaya tubaya tuu, tumechakaa chakaa, twa kizamani zamani....
Tugari twingi twa huku mikoani ni T443 ACK.... T407 AZQ Saana labda utakuta T553 BBD. Na mifano mingine kama hiyo...
Finding a car with plate number like T553 DHF is a NIGHTMARE!!!!!
SASA MAZEE :
Ndo kusema mabox kama Range, BMW, Prado nakadhalika yapo Dar pekee?????
YAAN ndio kusema kuwa NYIE WANAUME WA MIKOANI ni masikini kiasi hicho jaman???
Nimezunguka hapa wanapaita jijini Mwanza.. Gari kali kabisa ni NOAH.. Ndio wafanya biashara wakubwa wakubwa naona wanamiliki....
Ctaki kusema mimi nina gari ama sina, na kama ninalo ni aina gani....
ISSUE NI KUWA :
Wanaume wa Mikoani acheni ushamba basi, jichangeni muachane na hutu tugari tubaya tubaya..
Njooni Dar muone gari nzuri nzuri, kali kali na mpya mpya mazee....
Sababu leo niko free:
Ngoja niende Mecco nikaendelee na research yangu... Nikitoka huko namalizia Kirumba, Bwiru then Pasiansi.
I am out.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Acha kutafuta kiki mkuu!!ACHA UBOYA.
Nimewashinda akili kwa sababu najua kutafuta hela na namna ya kuzitumia, sio kuzichimbia ardhini mpaka ma greda yanakuja kuwa aibisha..
Nimewashinda elimu sababu mie ni Engineer.. Huko mikoani hakuna ma Engineer, engineer karibu wote tuko Dar, mikoani tunakuja kufanya kazi then tunarud dar....
Uko hapo????
Kifupi ni kuwa nimewazidi karibu kila kitu, ingawa sio wote....
ACHENI USHAMBA
NUNUENI magari mazuri mazuri bana.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
tushawazoea mkuu....bosi hajiendeshi ungepewa dereva kama kweli we ni chief engineerFAZA.
Home kwangu nina magari mawili...
Langu na la kampuni..
My private car nalitumia mara moja moja sana, most of the time natumia gari la kampuni...
Karibu dar utoe tongo tongo la ushamba...
Kuna magari mazuri, nyumba kali, pamba kali, madem wakali... Kila kitu kikali..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Mnanunua Ma Prado used mil 40, sisi tunanunua Matrekta mapya mil 65. Hizo Noah tunabebea Magunia ya Hela. Huko Buzuruga kuwa makini utaolewa...kunawatu wanapesa za samaki balaaaaa
Wanaume wa dar unaona gar ndio kitu cha samani sana chakutolea mfano
Straight to the BankMAGUNIA YA HELA?????
Mnapeleka wapi... Kuchimbia ardhini zioze mpaka magreda yanakuja kutifua????
Hehehehe... Acheni USHAMBA.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Straight to the Bank