Tugari twa mikoani tubaya tubaya tuu... Hii imekaaje mazee!!!!

Tugari twa mikoani tubaya tubaya tuu... Hii imekaaje mazee!!!!

i think mingo zako zimebuma,
by the way utazunguka jiji zima hutampata mteja wa bidhaa yako (gari lako la T ---DZZ) na ukitoka huko Pasiansi pitia hapa Diamond kona ya bwiru alau nikupe hata bia mbili upotezee muda then ukalale.

ACHA UJINGA.
Engineer nimekuja mikoani kikazi.
Cjaja kunywa pombe.... Kama ni bia nimeziacha makao makuu ya TBL na Serengeti Dar es Salaam...

Nimekuja kuwatoa ushamba na kuwa janja rusha kuwa pelekeni dampo huto tugari tubaya tubaya, njooni dar mnunue gari nzuri nzuri.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Utachoka zaidi pale mwanaume anapojitapa na kuringia mali za wanaume wenzie.
Ukute yeye hata huto tugari tubayatubaya hana.
Wanaume wa Dar wanamatatizo sana.
Mnisamehe sipendagi kutumia haya maneono(Mwanaume wa Dar)lakini leo imebidi.


Wanawake wa mikoani bana...

Mimi naongea na wanaume wa mikoani, wewe cjui umekula MAHARAGWE YA WAPI WEWE unavurumuka tuu na povu mdomoni....

Au niwachane nanyie wanawake wa mikoani USHAMBA wenu niloukuta huku????

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
yawezekana hata baiskeli huna afu unajidai dar kuna hammer

FAZA.
Home kwangu nina magari mawili...
Langu na la kampuni..

My private car nalitumia mara moja moja sana, most of the time natumia gari la kampuni...

Karibu dar utoe tongo tongo la ushamba...
Kuna magari mazuri, nyumba kali, pamba kali, madem wakali... Kila kitu kikali..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...

EBANA SAWA :
Nimetoka jijini mara moja nimekuja mikoani huku kwa majukum ya kiofisi...

Kitu nilicho notice ni kuwa :

Nilipoiacha Chalinze tuu, kuanzia pale kuelekea morogoro mpaka huku Mwanza....
Sioni magari mazuri mazuri kama Dar es Salaam.....
Yaan tugari twa huku (private cars) tubaya tubaya tuu, tumechakaa chakaa, twa kizamani zamani....

Tugari twingi twa huku mikoani ni T443 ACK.... T407 AZQ Saana labda utakuta T553 BBD. Na mifano mingine kama hiyo...
Finding a car with plate number like T553 DHF is a NIGHTMARE!!!!!

SASA MAZEE :
Ndo kusema mabox kama Range, BMW, Prado nakadhalika yapo Dar pekee?????

YAAN ndio kusema kuwa NYIE WANAUME WA MIKOANI ni masikini kiasi hicho jaman???
Nimezunguka hapa wanapaita jijini Mwanza.. Gari kali kabisa ni NOAH.. Ndio wafanya biashara wakubwa wakubwa naona wanamiliki....

Ctaki kusema mimi nina gari ama sina, na kama ninalo ni aina gani....

ISSUE NI KUWA :
Wanaume wa Mikoani acheni ushamba basi, jichangeni muachane na hutu tugari tubaya tubaya..
Njooni Dar muone gari nzuri nzuri, kali kali na mpya mpya mazee....

Sababu leo niko free:
Ngoja niende Mecco nikaendelee na research yangu... Nikitoka huko namalizia Kirumba, Bwiru then Pasiansi.

I am out.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
We kama ni msomi hewa!! Umekuja Mwanza kufanya utafiti wa aina ya magari? Unafaidika na nn?

Inaonekana huna ajira, njoo hapa kamanga ujifunze kuvua samaki..
 
ACHA UBOYA.

Nimewashinda akili kwa sababu najua kutafuta hela na namna ya kuzitumia, sio kuzichimbia ardhini mpaka ma greda yanakuja kuwa aibisha..

Nimewashinda elimu sababu mie ni Engineer.. Huko mikoani hakuna ma Engineer, engineer karibu wote tuko Dar, mikoani tunakuja kufanya kazi then tunarud dar....
Uko hapo????

Kifupi ni kuwa nimewazidi karibu kila kitu, ingawa sio wote....

ACHENI USHAMBA
NUNUENI magari mazuri mazuri bana.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Acha kutafuta kiki mkuu!!
 
FAZA.
Home kwangu nina magari mawili...
Langu na la kampuni..

My private car nalitumia mara moja moja sana, most of the time natumia gari la kampuni...

Karibu dar utoe tongo tongo la ushamba...
Kuna magari mazuri, nyumba kali, pamba kali, madem wakali... Kila kitu kikali..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
tushawazoea mkuu....bosi hajiendeshi ungepewa dereva kama kweli we ni chief engineer
 
Wanaume wa dar unaona gar ndio kitu cha samani sana chakutolea mfano
 
Mnanunua Ma Prado used mil 40, sisi tunanunua Matrekta mapya mil 65. Hizo Noah tunabebea Magunia ya Hela. Huko Buzuruga kuwa makini utaolewa...kunawatu wanapesa za samaki balaaaaa
 
Wanaume wa Mwanza Bwabwa hilo, japokua hajalipia tangazo lake, mimi ntamlipia, wanaume wa Dar wamefuata ukuni wa kweli wa mkoani,... Ashughulikiwe huyo.... Duuh! Dar hapana mwanaume aisee! [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mnanunua Ma Prado used mil 40, sisi tunanunua Matrekta mapya mil 65. Hizo Noah tunabebea Magunia ya Hela. Huko Buzuruga kuwa makini utaolewa...kunawatu wanapesa za samaki balaaaaa


MAGUNIA YA HELA?????
Mnapeleka wapi... Kuchimbia ardhini zioze mpaka magreda yanakuja kutifua????

Hehehehe... Acheni USHAMBA.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Wanaume wa dar unaona gar ndio kitu cha samani sana chakutolea mfano


MKUU...
Gari ndio kipimo direct cha maendeleo ya mtu.
Mambo ya nyumba na balance ya bank account ni siri ya mtu...
Lakin gari tunaiona, ile pale na tunaweza kuithaminisha...

Acheni USHAMBA wanaume wa mikoani.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Nilipokuona tu, nilijua wewe ni mwanaume wa Dar. Ulikuwa umevaa kisuruali kama cha kike kimebana sana pia kimechanwa chanwa! Ulikuja kuulizia chipsi pale kirumba mi nikiwa pembeni napiga dona sangara! Ulinihuzunisha sana!!
 
ha ha hii mada imenikumbusha moshi na Arusha..baadhi ya wadau unakuta ana kagari kabovu ka zamani kamapigwa rim za sport.mziki mkubwa na mataa ya fuso...burdani sana!

Yote kwa yote..

huduma ya usafiri mtu anaipata hivyo maisha yanasonga.
 
Back
Top Bottom