Tugari twa mikoani tubaya tubaya tuu... Hii imekaaje mazee!!!!

Jipu ww na pengine ulipo si kanda ya ziwa usiongelee Ndinga za kiDon Rock city zipo za kusaza tuu Nichek 0712 135745 nikuoneshe jiji na BMW X5 nikupeleke mitaa ambayo watoto Wa Mwanza tunafanya yetu kapri point,kirumba,bwiru,Rufiji,Nyakato,Bugando,Sahara na mitaa flan mabatini uswahilin uone ndinga za kileo zilivyonyuti then ntakuachia Verrosa urudi nayo ulikotoka ukawaambie imetoka Mwanza jiji lenye miamba........View attachment 1476215783909.jpg
 
Vita ya vijana wa Arusha na Mwanza inaendelea safari hii jina la Dar es salaam linatumika kuiponda Mwanza
 
Mkuu Verosa imeshapitwa na wakati bora ungekaa kimya
 
Utachoka zaidi pale mwanaume anapojitapa na kuringia mali za wanaume wenzie.
Ukute yeye hata huto tugari tubayatubaya hana.
Wanaume wa Dar wanamatatizo sana.
Mnisamehe sipendagi kutumia haya maneono(Mwanaume wa Dar)lakini leo imebidi.
Tumia tu dadangu kuitwa mwanaume wa Dar ni fahari kubwa tz.Ni sifa kubwa inayomtofautisha mwanaume wa kijijini na mjini
 
Haaaa haaa hakuna kitu kinawakera wajomba wa mkoani kama maumivu ya kuiangalia Dar kwenye Tv hapa lazima waje kile kimsemo chao kinachowafariji na wana hasira hao wakiuza au kukopa mbio wanajazana kwa wajanja wajifunze burudani.
 
Ukiona hivyo ujue wanaume wa mkoani tulianza kumiliki ndinga kitambo, tangu kipindi kile unapanda daladala kwa fisi tu(50Tshs) sisi tunayakwetu.

Tangu ununue toyota vitz mkuu hatulali!!!
 
Ndioo mawazo ya baadh ya wanaojiita wasomi
 
Wanaume wa mkoani wakiona Land Cruiser wanajua ni gari la wanyonya damu.Wakiona watalii wamevaa smart glass wanasema wanachunguliwa sehemu za siri.Wananikumbusha enzi za kina Zinjanthropus.
 
Umedhalilisha sana taaluma ya uhandisi aiseee looooooooh!
 
lugha unayotumia inaonyesha nawe ni wa mkoani hasa Mkoani Mbeya


MKUU....
Mi mtoto wa town babu.... Huoni tu swagger zangu mzee???
Njoo hapa Nyakato mecco uone madem wa Mwanza wanavo nishobokea, mpaka nimeamua nikimbie nirud zangu hotelini nikalale tuu..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 


Basi hiyo kapripoint mnaitegema kishenz kujitunisha kuwa nanyie mna mitaa classic kama ya Jijini Dar.....
Nimezunguka mitaa yote uliotaja hapo hamna kitu, naona tu Noah Noah tu ndio tumejaa...

Acheni USHAMBA wanaume wa mikoani.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
MKUU....
Mi mtoto wa town babu.... Huoni tu swagger zangu mzee???
Njoo hapa Nyakato mecco uone madem wa Mwanza wanavo nishobokea, mpaka nimeamua nikimbie nirud zangu hotelini nikalale tuu..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Ahahahah! haina shida Injinia endelea kutujuza yanayojiri maana hao vijana wa mikoani wanajisifia kula vyakula vigumu kisha kwenda kujisaidia vitu vigumuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kumbe kabla ya kuhongwa huwa mnapima thamani za magari
 
Kumbe unajua kuna mitaa Classic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…