Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Nimetoka jijini mara moja nimekuja mikoani huku kwa majukum ya kiofisi...
Kitu nilicho notice ni kuwa :
Nilipoiacha Chalinze tuu, kuanzia pale kuelekea morogoro mpaka huku Mwanza....
Sioni magari mazuri mazuri kama Dar es Salaam.....
Yaan tugari twa huku (private cars) tubaya tubaya tuu, tumechakaa chakaa, twa kizamani zamani....
Tugari twingi twa huku mikoani ni T443 ACK.... T407 AZQ Saana labda utakuta T553 BBD. Na mifano mingine kama hiyo...
Finding a car with plate number like T553 DHF is a NIGHTMARE!!!!!
SASA MAZEE :
Ndo kusema mabox kama Range, BMW, Prado nakadhalika yapo Dar pekee?????
YAAN ndio kusema kuwa NYIE WANAUME WA MIKOANI ni masikini kiasi hicho jaman???
Nimezunguka hapa wanapaita jijini Mwanza.. Gari kali kabisa ni NOAH.. Ndio wafanya biashara wakubwa wakubwa naona wanamiliki....
Ctaki kusema mimi nina gari ama sina, na kama ninalo ni aina gani....
ISSUE NI KUWA :
Wanaume wa Mikoani acheni ushamba basi, jichangeni muachane na hutu tugari tubaya tubaya..
Njooni Dar muone gari nzuri nzuri, kali kali na mpya mpya mazee....
Sababu leo niko free:
Ngoja niende Mecco nikaendelee na research yangu... Nikitoka huko namalizia Kirumba, Bwiru then Pasiansi.
I am out.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng