Hapa ndio sawa sawa ....waanike udaga ....samaki mapanki mpunga pamba etc....Mbona tulishaomba kiwe kiwanja cha kuanikia/kukaushia mazao kwa Nishati asilia ya Jua
Want rubani Ni lzm alale kwenye fiv [emoji93] hotel as long ni mwanafunzi atala hostel za chato ..acha kukwamisha mawazo ya mwezako et accommodation ndio unachokiwaza wewEndapo uwanja utafanywa kwa matumizi ya ku train pilots,changamoto itakuwa mahala pa kuwaweka hao pilots ie accomodation,best hotels za Chato ni sawa na guest hse za Sinza na Magomeni.
Kabisa. Mifugo ipate pahala bora pa kupumzika. In fact itaongeza thamani ya ng'ombe, mbuzi, na kondoo wa Tanzania soko la dunia.TULiKubaliana sehemu ya mifugo kupumzikia, au tumebadili matumizi tuliyokubaliana.
Huyu mleta mada anataka sisi wananchi wa Chato tukose sehemu ya kuanikia nafaka.Mbona tulishaomba kiwe kiwanja cha kuanikia/kukaushia mazao kwa Nishati asilia ya Jua
Kama vyandarua tulioletewa na mabeberu tulivigeuza ngao ya vifaranga dhidi ya mwenye, tulisokotea kamba za kufungia ndama, tulibebea mazao kutoka sehemu moja kwenda nyingine wakati wa mavuno.Huyu mleta mada anataka sisi wananchi wa Chato tukose sehemu ya kuanikia nafaka.
Umewaza kama mmWengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena.
Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi zimetumika. Napendekeza tuufanye kuwa chuo cha urubani. Serikali na watu binafsi wajenge shule za urubani maeneo hayo. Nchi inahitaji marubani, kuanzia ndege ndogo za kunyunyiza dawa mashambani na kuua nzige hadi wa kurusha dreamliner.
Naona hilo litakuwa ni matumizi mazuri ya uwanja ule.
Ile vile vyandarua vya msaada vina kazi sana. Wanazuia kuku wasile bustani, wanabebea makopo na kamba zake ngumu balaa na haichafuki kirahisi.Kama vyandarua tulioletewa na mabeberu tulivigeuza ngao ya vifanga dhidi ya mwenye, tulisokotea kamba za kufungia ndama, tulibebea mazao kutoka sehemu moja kwenda nyingine wakati wa mavuno.
Sembuse hiki tulichoachiwa na mwenzetu, tutakitumia kwa matumizi yote tutakavyo. Matumizi yatakuwa yanageuka kulingana na msimu
Zinatua sana kware,njiwa ,vipurwe,bata mzinga nkHivi pale ndege hazitui siku hizi?