Tugeuze uwanja wa ndege Chato kuwa Chuo cha Urubani

Mi napendekekeza tuwape wachina tenda waubebe kwa kuuzoa na watuletee mkuranga KIBITI...nina imani mchina hashindwi kitu.. ili tuwe na reserve airport kwa ajili ya JWTZ.
 
Wengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena.

Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi zimetumika. Napendekeza tuufanye kuwa chuo cha urubani. Serikali na watu binafsi wajenge shule za urubani maeneo hayo. Nchi inahitaji marubani, kuanzia ndege ndogo za kunyunyiza dawa mashambani na kuua nzige hadi wa kurusha dreamliner.

Naona hilo litakuwa ni matumizi mazuri ya uwanja ule.
Gud idea
 
Huyu mleta mada anataka sisi wananchi wa Chato tukose sehemu ya kuanikia nafaka.
neema inakuja kwa wana chato, subirini siku ya kuzimwa mwenye mtasikia uamuzi wa chato kuwa mkoa.
 
Kiwe chuo cha kujifunzia udereva wa fisi. Chato wanapenda sana fisi...ninahisi hata kwenye sherehe za kuzima mwenge tutaoneshwa show ya fisi, subirini
 
Wengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena.

Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi zimetumika. Napendekeza tuufanye kuwa chuo cha urubani. Serikali na watu binafsi wajenge shule za urubani maeneo hayo. Nchi inahitaji marubani, kuanzia ndege ndogo za kunyunyiza dawa mashambani na kuua nzige hadi wa kurusha dreamliner.

Naona hilo litakuwa ni matumizi mazuri ya uwanja ule.
Sina utaalamu na maswala yw anga lakin nakubaliana na wazo lako.
 
Uelewa ni mdg kwa mambo ya Anga ila siyo chato tu kuna mikoa pia viwanja vyake vipo tu kama njombe songea tabora na pengine ambapo sijapaona vitumike kwa mazoezi ya ukufunzi huo wa mambo ya anga
 
neema inakuja kwa wana chato, subirini siku ya kuzimwa mwenye mtasikia uamuzi wa chato kuwa mkoa.
Hakuna faida yoyote mkuu hata Chato ikiwa nchi. Bado wewe na familia yako mtapaswa kutafuta mkate wa kila siku kwa nguvu zenu
 
Watu hawajui tu kiwanja hicho kitafanya kazi sana hapo baadae maana mtu hawezi kutoka katoro akapa de ndege mwanza! Lakini vichwa pamzi hawawezi kuona na alhamisi unatangazwa kuwa mkoa!

Hapo baadae lini?
Kwa hiyo hela ya Serikali imedampiwa hapo chato hadi baadae wakati kuna matatizo lukuki ya kiafya , madawati ya wanafunzi nk
 
Wengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena.

Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi zimetumika. Napendekeza tuufanye kuwa chuo cha urubani. Serikali na watu binafsi wajenge shule za urubani maeneo hayo. Nchi inahitaji marubani, kuanzia ndege ndogo za kunyunyiza dawa mashambani na kuua nzige hadi wa kurusha dreamliner.

Naona hilo litakuwa ni matumizi mazuri ya uwanja ule.
*Una nia mbaya wewe! unataka wana kanda ya ziwa waangukiwe na ndege waumie. unataka wanafunz wajifunzie vichwan mwetu sio? hututakii mema wewe, waendelee huko huko dar kwen upande wa bahar
 
Endapo uwanja utafanywa kwa matumizi ya ku train pilots,changamoto itakuwa mahala pa kuwaweka hao pilots ie accomodation,best hotels za Chato ni sawa na guest hse za Sinza na Magomeni.
Ipo moja 4/5 star hotel ilikuwa inajengwa na TANAPA kwa sasa ni pagala la popo! Waikamilishe iwe hostel ya marubani watarajiwa! Hahaha Tanzania ulikuwa imepatwa na mwehu jambawazi!
 
Hili nalo linaweza kuwa matumizi mazuri ya hoteli ile.
 
Back
Top Bottom