Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani vipi? Utalii wa Burigi sasa basi tena?Wengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena.
Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi zimetumika. Napendekeza tuufanye kuwa chuo cha urubani. Serikali na watu binafsi wajenge shule za urubani maeneo hayo. Nchi inahitaji marubani, kuanzia ndege ndogo za kunyunyiza dawa mashambani na kuua nzige hadi wa kurusha dreamliner.
Naona hilo litakuwa ni matumizi mazuri ya uwanja ule.
" ginius" ndo nini we .........?Kama kwa Sasa mnauona hauna maana,baadae mtajua jamaa alikuwa ginius,sio Kama ww unayewaza umbali wa mita moja.aliye leta mada ni ginius pia ,sio Kama ww popoma!!
Ishu sio wa Kati uwezo wa kupanda ndege wanaoKatoro hata huijui ndo mji wa kibiashara! Hapo kuna wafanya biashara wengi wa kati!
Kuna watu hawaheshimu makubaliano kabisaTULiKubaliana sehemu ya mifugo kupumzikia, au tumebadili matumizi tuliyokubaliana.
Sio rahisi hivyo!!yaani uwanja kama huo ujengwe sehemu ambako shughuri za kiuchumi ziko nyuma, tena ulijengwa kutokana na siasa tu, uufanye uwe na manufaa kiuchumi?!!na sio uwanja tu, hayo majumba tu ya biashara ambayo watu walikimbilia kuwekeza huko sasa wanalia, sembuse kiwanja cha ndege chenye hadhi hiyo?!!kupanga ni kuchagua, tukichagua uwe na manufaa utakuwa na tukiamua kuususia itakuwa hivyo, of course ni issue ya ukosefu wa mipango kwa viongozi wetu kutokana na wengi kujali matumbo yao tu. Kwa ukubwa wa nchi yetu, wingi wa rasilimari zetu tulizojaliwa pia kwa umri wa nchi yetu tulionao tokea kupata uhuru, issue ya miundombinu ya viwanja vya ndege ilibidi iwepo kila wilaya tena viwanja yenye hadhi ya kimataifa ya wastani.
hiyo inaweza kufungua fursa kwa maeneo mengine pia, sababu hadi leo hii usafiri wa ndege bongo ni anasa kitu ambacho kwa longterm plans za kiuchumi hakitakiwi kuwa hivyo... Chato ni sehemu ya Tanzania na waliopo pale ni Watanzania regardless kwa yaliyofanywa huko nyuma.... Bado hatma ya kuutumia uwanja huo kiuchumi au kisiasa ipo mikononi mwetu... Ni vile hatuja-turn huko sababu miundombinu ya kawaida tu ya barabara bado tunasua sua ndio maana hatabww unaamini huko itakuwa ni misuse of plans kufikiria kukitumia kiuchumi.Sio rahisi hivyo!!yaani uwanja kama huo ujengwe sehemu ambako shughuri za kiuchumi ziko nyuma, tena ulijengwa kutokana na siasa tu, uufanye uwe na manufaa kiuchumi?!!na sio uwanja tu, hayo majumba tu ya biashara ambayo watu walikimbilia kuwekeza huko sasa wanalia, sembuse kiwanja cha ndege chenye hadhi hiyo?!!
tunahitaji akili kubwa kama hizi... Big up Expert Member.Wengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena.
Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi zimetumika. Napendekeza tuufanye kuwa chuo cha urubani. Serikali na watu binafsi wajenge shule za urubani maeneo hayo. Nchi inahitaji marubani, kuanzia ndege ndogo za kunyunyiza dawa mashambani na kuua nzige hadi wa kurusha dreamliner.
Naona hilo litakuwa ni matumizi mazuri ya uwanja ule.