✍️📝👍👌👏👊🤝🙏💐🎁🛡️Ni kweli ulichoandika!
Lakini sababu kuu ni kukosa ajira na msongo wa mawazo ndio vinawasumbua wengi has vijana!!
Swira aliekatwa mkia hugonga chochote kilicho mbele yake!!
Tufanye mapema kuokoa janga Hilo kabla keyboard warriors hawajawa road warriors na kuleta vurugu na tafrani Kwa taifa!!
Nafikiri
Kwahiyo Lissu anasema Uongo!??Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika ingekuwa tofauti, Watanzania wengi tudanganywa na Wanaharakati wanaoeneza uongo, uzushi, kupandikiza chuki, kupandikiza fitina na chuki kwa Watanzania.
Tuwakatae Wanaharakati ambao kusema uongo ni jadi yao, wanafaidika kea kusema uongo, Tuipende Tanzania yetu, tutaishi na kustawi hapa.
Tuwe Wazalendo, Serikali ipo, Mamlaka zipo, Tanzania iko salama, Wakenya, Wamalawi na wengine wengi wana tamani kuwa Watanzania.
Yupo mtu kazi yake akiamka yeye kutukana viongozi na familia zao, kea sababu anahisi yeye kuwa nje ya Tanzania ni tiketi ya kusema uongo, kudhalilisha watu na kusingizia uongo mkubwa viongozi- amesahau kuna Mungu wa mbinguni
Yupo Mwanasiasa yeye baada ya kuona wenzake hawamweli anataka nini, kufeli kwa michango(upigaji- maana ana ukwasi wa kutosha, kama ni uongo aweke wazi account yake ya benk- miezi kadhaa nyuma kamhamishia mtu kutoka account yake Tsh 500,000,000- kwa Sababu ya Sheria za JF sitataja bank)sasa ameanza kusema uongo na kusingizia vitu vya uongo,
Yupo mwingine huko X kazi ya ni kutukana Serikali hii toka enzi za Mwalimu, wakati baba yake amekuwa Waziri na anapata benefit zote mpaka sasa, ila kila siku ni kueneza chuki, kuchonganisha, kugombanisha, kufitinisha, kusingizia na kusema uongo ili kuwachafua viongozi na Serikali ya awamu ya sita- ajue tu anaowatukana ni Wazazi, wana familia, wana ndugu, ni Viongozi kama ambavyo aliwahi kuwa baba yake anaye mheshimu.
Ni vyema tukajifunza kukosoa kwa hoja na sio kwa matusi, kuchonganisha, kusema uongo, kudhalilisha viongozi na Serikali ya awamu ya sita, kuchochea ubaguzi etc
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Mkuu Gulenga, Gulenga, Gulenga!!!Inayokopa ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkuu huoni miradi ya Afya na miundo mbinu yake huko mtaani? Miradi ya Elimu, barabara, Etc
Yes anasema uongo, na sio mara ya kwanza kusema uongoKwahiyo Lissu anasema Uongo!??
Weka namba ya Simu mwishoni. Ni ushauri tu.Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika ingekuwa tofauti, Watanzania wengi tudanganywa na Wanaharakati wanaoeneza uongo, uzushi, kupandikiza chuki, kupandikiza fitina na chuki kwa Watanzania.
Tuwakatae Wanaharakati ambao kusema uongo ni jadi yao, wanafaidika kea kusema uongo, Tuipende Tanzania yetu, tutaishi na kustawi hapa.
Tuwe Wazalendo, Serikali ipo, Mamlaka zipo, Tanzania iko salama, Wakenya, Wamalawi na wengine wengi wana tamani kuwa Watanzania.
Yupo mtu kazi yake akiamka yeye kutukana viongozi na familia zao, kea sababu anahisi yeye kuwa nje ya Tanzania ni tiketi ya kusema uongo, kudhalilisha watu na kusingizia uongo mkubwa viongozi- amesahau kuna Mungu wa mbinguni
Yupo Mwanasiasa yeye baada ya kuona wenzake hawamweli anataka nini, kufeli kwa michango(upigaji- maana ana ukwasi wa kutosha, kama ni uongo aweke wazi account yake ya benk- miezi kadhaa nyuma kamhamishia mtu kutoka account yake Tsh 500,000,000- kwa Sababu ya Sheria za JF sitataja bank)sasa ameanza kusema uongo na kusingizia vitu vya uongo,
Yupo mwingine huko X kazi ya ni kutukana Serikali hii toka enzi za Mwalimu, wakati baba yake amekuwa Waziri na anapata benefit zote mpaka sasa, ila kila siku ni kueneza chuki, kuchonganisha, kugombanisha, kufitinisha, kusingizia na kusema uongo ili kuwachafua viongozi na Serikali ya awamu ya sita- ajue tu anaowatukana ni Wazazi, wana familia, wana ndugu, ni Viongozi kama ambavyo aliwahi kuwa baba yake anaye mheshimu.
Ni vyema tukajifunza kukosoa kwa hoja na sio kwa matusi, kuchonganisha, kusema uongo, kudhalilisha viongozi na Serikali ya awamu ya sita, kuchochea ubaguzi etc
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Wewe ni baba wa familiaNi bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika ingekuwa tofauti, Watanzania wengi tudanganywa na Wanaharakati wanaoeneza uongo, uzushi, kupandikiza chuki, kupandikiza fitina na chuki kwa Watanzania.
Tuwakatae Wanaharakati ambao kusema uongo ni jadi yao, wanafaidika kea kusema uongo, Tuipende Tanzania yetu, tutaishi na kustawi hapa.
Tuwe Wazalendo, Serikali ipo, Mamlaka zipo, Tanzania iko salama, Wakenya, Wamalawi na wengine wengi wana tamani kuwa Watanzania.
Yupo mtu kazi yake akiamka yeye kutukana viongozi na familia zao, kea sababu anahisi yeye kuwa nje ya Tanzania ni tiketi ya kusema uongo, kudhalilisha watu na kusingizia uongo mkubwa viongozi- amesahau kuna Mungu wa mbinguni
Yupo Mwanasiasa yeye baada ya kuona wenzake hawamweli anataka nini, kufeli kwa michango(upigaji- maana ana ukwasi wa kutosha, kama ni uongo aweke wazi account yake ya benk- miezi kadhaa nyuma kamhamishia mtu kutoka account yake Tsh 500,000,000- kwa Sababu ya Sheria za JF sitataja bank)sasa ameanza kusema uongo na kusingizia vitu vya uongo,
Yupo mwingine huko X kazi ya ni kutukana Serikali hii toka enzi za Mwalimu, wakati baba yake amekuwa Waziri na anapata benefit zote mpaka sasa, ila kila siku ni kueneza chuki, kuchonganisha, kugombanisha, kufitinisha, kusingizia na kusema uongo ili kuwachafua viongozi na Serikali ya awamu ya sita- ajue tu anaowatukana ni Wazazi, wana familia, wana ndugu, ni Viongozi kama ambavyo aliwahi kuwa baba yake anaye mheshimu.
Ni vyema tukajifunza kukosoa kwa hoja na sio kwa matusi, kuchonganisha, kusema uongo, kudhalilisha viongozi na Serikali ya awamu ya sita, kuchochea ubaguzi etc
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Ooooh! Kumbe akikopa ni serikali ila akitoa pesa za barabara ni pesa za mama Samiah. Unafiki mbaya Sana.Inayokopa ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkuu huoni miradi ya Afya na miundo mbinu yake huko mtaani? Miradi ya Elimu, barabara, Etc
Au umesahau?!haijawahi tokea Tanzania ipate uluru kuna mtu amekataza kutoa mawazo,
Mkuu hali ni ngumu sana sana mtaani, for sure ni mbaya mno, nakukumbusha heshima hailiwi!! Ni hilo tu Mkuu!!!Viongozi lazima wawaheshimu wanchi?
Ndio mfano tu kikokotoo sio wizi,au uporaji? Na kama sivyo je wabunge ,mawaziri , wastaafu marais na mawaziri wakuu, n.k kinawahusu, na vipi posho za wenza wa viongozi zipo na kikokotoo?Watu wamekuwa wakiwalisha maneno bila hata kuchunguza, unaweza thibitisha nini kimeporwa ? 4 7mbatizaji
Mfungulie Mashtaka...Yes anasema uongo, na sio mara ya kwanza kusema uongo
Kwahiyo joe78 kama ni UMMA una haki ya kutukana watu? Una haki ya kuwasingizia watu uongo? Kufitinisha etcIkiwa mwenyewe hujiheshimu, kwanini unaamini unayo haki ya kuheshimiwa?Unafahamu maana ya utumishi wa UMMA?
Sisi Ndio UMMA,tunalipa Kodi,tozo ili mjilipe na kutokutenda haki Kwa wanaokulipia maisha yako?
Ikiwa unaona unatukanwa na kuingiliwa faragha,unaweza kujiuziru.
SawaMfungulie Mashtaka...