Tuheshimu Ikulu, Tuwaheshimu viongozi wote Wateule, ni Watanzania wenzetu, Tuwaheshima kama ambavyo Baba na Mama yako anastahili heshima

Ni kweli ulichoandika!

Lakini sababu kuu ni kukosa ajira na msongo wa mawazo ndio vinawasumbua wengi has vijana!!

Swira aliekatwa mkia hugonga chochote kilicho mbele yake!!

Tufanye mapema kuokoa janga Hilo kabla keyboard warriors hawajawa road warriors na kuleta vurugu na tafrani Kwa taifa!!

Nafikiri
✍️📝👍👌👏👊🤝🙏💐🎁🛡️
 
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.

Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika ingekuwa tofauti, Watanzania wengi tudanganywa na Wanaharakati wanaoeneza uongo, uzushi, kupandikiza chuki, kupandikiza fitina na chuki kwa Watanzania.

Tuwakatae Wanaharakati ambao kusema uongo ni jadi yao, wanafaidika kea kusema uongo, Tuipende Tanzania yetu, tutaishi na kustawi hapa.

Tuwe Wazalendo, Serikali ipo, Mamlaka zipo, Tanzania iko salama, Wakenya, Wamalawi na wengine wengi wana tamani kuwa Watanzania.

Yupo mtu kazi yake akiamka yeye kutukana viongozi na familia zao, kea sababu anahisi yeye kuwa nje ya Tanzania ni tiketi ya kusema uongo, kudhalilisha watu na kusingizia uongo mkubwa viongozi- amesahau kuna Mungu wa mbinguni

Yupo Mwanasiasa yeye baada ya kuona wenzake hawamweli anataka nini, kufeli kwa michango(upigaji- maana ana ukwasi wa kutosha, kama ni uongo aweke wazi account yake ya benk- miezi kadhaa nyuma kamhamishia mtu kutoka account yake Tsh 500,000,000- kwa Sababu ya Sheria za JF sitataja bank)sasa ameanza kusema uongo na kusingizia vitu vya uongo,

Yupo mwingine huko X kazi ya ni kutukana Serikali hii toka enzi za Mwalimu, wakati baba yake amekuwa Waziri na anapata benefit zote mpaka sasa, ila kila siku ni kueneza chuki, kuchonganisha, kugombanisha, kufitinisha, kusingizia na kusema uongo ili kuwachafua viongozi na Serikali ya awamu ya sita- ajue tu anaowatukana ni Wazazi, wana familia, wana ndugu, ni Viongozi kama ambavyo aliwahi kuwa baba yake anaye mheshimu.

Ni vyema tukajifunza kukosoa kwa hoja na sio kwa matusi, kuchonganisha, kusema uongo, kudhalilisha viongozi na Serikali ya awamu ya sita, kuchochea ubaguzi etc

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Kwahiyo Lissu anasema Uongo!??
 
Weka namba ya Simu mwishoni. Ni ushauri tu.
 
Viongozi lazima wawaheshimu wanchi?
Hakuna kiongozi anayetukana Wananchi, hivi kuna kiongozi unaona anahangaikia kutukana Watanzania huko X au kwenye mikutano, Viongozi wanatimiza wajibu wao kwa kuwaletea Watanzania Maendeleo kwa namna walivyojaliwa Ages11
 
Ikiwa mwenyewe hujiheshimu, kwanini unaamini unayo haki ya kuheshimiwa?Unafahamu maana ya utumishi wa UMMA?
Sisi Ndio UMMA,tunalipa Kodi,tozo ili mjilipe na kutokutenda haki Kwa wanaokulipia maisha yako?
Ikiwa unaona unatukanwa na kuingiliwa faragha,unaweza kujiuziru.
 
JAMANI poleni haya maswala ya nchi YETU tuende kwa staha ni muda wa kukosoana kwa hoja na di kwa vioja vya matusi.Mimi binafsi napenda kuwa fair kwa pande zote mbili.Tukijadili jambo letu iwe kwa hoja na si matusi tutafika tu .Si mnaona changes zinavyokuja kwa Kasi hapa nchini? Hivyo tuvute SUBIRA hakika mambo YETU sote yatakwenda VIZURI
 
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.

Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika ingekuwa tofauti, Watanzania wengi tudanganywa na Wanaharakati wanaoeneza uongo, uzushi, kupandikiza chuki, kupandikiza fitina na chuki kwa Watanzania.

Tuwakatae Wanaharakati ambao kusema uongo ni jadi yao, wanafaidika kea kusema uongo, Tuipende Tanzania yetu, tutaishi na kustawi hapa.

Tuwe Wazalendo, Serikali ipo, Mamlaka zipo, Tanzania iko salama, Wakenya, Wamalawi na wengine wengi wana tamani kuwa Watanzania.

Yupo mtu kazi yake akiamka yeye kutukana viongozi na familia zao, kea sababu anahisi yeye kuwa nje ya Tanzania ni tiketi ya kusema uongo, kudhalilisha watu na kusingizia uongo mkubwa viongozi- amesahau kuna Mungu wa mbinguni

Yupo Mwanasiasa yeye baada ya kuona wenzake hawamweli anataka nini, kufeli kwa michango(upigaji- maana ana ukwasi wa kutosha, kama ni uongo aweke wazi account yake ya benk- miezi kadhaa nyuma kamhamishia mtu kutoka account yake Tsh 500,000,000- kwa Sababu ya Sheria za JF sitataja bank)sasa ameanza kusema uongo na kusingizia vitu vya uongo,

Yupo mwingine huko X kazi ya ni kutukana Serikali hii toka enzi za Mwalimu, wakati baba yake amekuwa Waziri na anapata benefit zote mpaka sasa, ila kila siku ni kueneza chuki, kuchonganisha, kugombanisha, kufitinisha, kusingizia na kusema uongo ili kuwachafua viongozi na Serikali ya awamu ya sita- ajue tu anaowatukana ni Wazazi, wana familia, wana ndugu, ni Viongozi kama ambavyo aliwahi kuwa baba yake anaye mheshimu.

Ni vyema tukajifunza kukosoa kwa hoja na sio kwa matusi, kuchonganisha, kusema uongo, kudhalilisha viongozi na Serikali ya awamu ya sita, kuchochea ubaguzi etc

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Wewe ni baba wa familia

Nyumbani kwako mabinti wanabakwa, vijana wako wanalawitiwa wizi wa Kila namna halafu wewe unajisifu baba Bora. Je jamii inayokuzunguka itakupa jina zuri?

Kama jibu sio basi kiongozi wa Unma hawezi kuepuka kupewa jina baya.

Jina baya unaweza liita tusi pia
 
Watu wamekuwa wakiwalisha maneno bila hata kuchunguza, unaweza thibitisha nini kimeporwa ? 4 7mbatizaji
Ndio mfano tu kikokotoo sio wizi,au uporaji? Na kama sivyo je wabunge ,mawaziri , wastaafu marais na mawaziri wakuu, n.k kinawahusu, na vipi posho za wenza wa viongozi zipo na kikokotoo?

Pili leo nani kwamba ambae sio punguani anaweza kataa kwamba maliasili za nchi hii zinagawiwa kama njungu katika kichaka cha uwekezaji,

Leo wajua wapo wananchi mlo wa siku moja ni shida ila serikali nzima imejaa mav8 ya m500 na ni ya kutembelea mtu mmoja tu na dereva wake kisa mkuu wa mkoa ,wilaya ,achana na hao makatibu wakuu na wakurugenzi wa taasisi mbali mbali ,huo ni uporaji au sio uporaji

Tatu rushwa ya kutisha alisema Mzee Butiku ,nani anatoa na atoa wapi kama sio pesa hizi za tozo ambazo huludi kwa kinyume nyume wakati watoto wa maskini wanakosa mpaka mikopo ya vyuo vikuu.

Shida ya nchi hii ukisha kuwa na sehem ya kupata pa kulamba viatu na kupata chochote haya yasemwayo utayaona takataka , ujinga huu

Machawa wote mbigu wahataisikia asema Bwana
 
Ikiwa mwenyewe hujiheshimu, kwanini unaamini unayo haki ya kuheshimiwa?Unafahamu maana ya utumishi wa UMMA?
Sisi Ndio UMMA,tunalipa Kodi,tozo ili mjilipe na kutokutenda haki Kwa wanaokulipia maisha yako?
Ikiwa unaona unatukanwa na kuingiliwa faragha,unaweza kujiuziru.
Kwahiyo joe78 kama ni UMMA una haki ya kutukana watu? Una haki ya kuwasingizia watu uongo? Kufitinisha etc
 
Back
Top Bottom