Tuhuma dhidi ya JK zaikoroga CCM

Tuhuma dhidi ya JK zaikoroga CCM

kama unataka kumuuzi MAKAMBA mwambie mafisadi ni watu WABAYA ndani ya CCM, hapo uswahiba utakua umekoma.
 
Si lazima atetee ili apate kuendelea ulaji? Msifie kafiri upate kula yako (mh nisijechukuliwa juu juu simaanishi rais ni kafiri ni msemo tu huo!!)
 
Makamba anazidi kukididimiza CCM kizidi kuonekana ni chama cha wahuni! Huko nyuma TANU na CCM ni vyama vilivyokuwa vikiheshimika sana hapa nchini, nchi jirani, Afrika na hata kwingineko duniani. Katibu Mkuu wa CCM akianza kuwaita wanachama wake "wehu" pale wanapotoa mawazo yao (ambayo ni haki yao ya kikatiba) basi tuelewe kwamba CCM sasa kimekuwa chama cha wahuni na yeye Katibu Mkuu wa CCM ndiye anaonekana "mwehu" kwa kutoa kauli kama hiyo!
 
Makamba makamba makamba, unazidi kuzeeka vibaya sana. angalia sana maneno yako yatakuhukumu. Redet inajulikana ni tawi la kikwete sema source nyingine. Utafikti wenyewe wa redet unafanyika kwenye vijiwe vya ccm sasa unategemea nini? mkuu wa redet ni mwanamtandao na ameshindwa kuiongoza udsm. Je ataweza kweli kufanya utafiti makini?


Onother Kingunge?? Kesha choka zamani.... Tatitizo la wanasiasa hawakubali kuambiwa!!!!

Hawataki kuambiwa ukweli. Ila hawa jamaa kama kweli wako serious kwa nini wasifanye kweli? Kwani wanataka kusema SISIEM in mama yao? Waanzishe movement ya uhakika na wananchi lazima watawaunga mkono na hakika 40+ ya kura watakuwa na uhakika nazo badala ya kutupigia blah blah tu hapa!!
 
Kazi sana katika siasa za Tanzania maana kila kukicha kuna vitu kibao vya ajabu sana
 
Natamani Tanzania tuje tumpate Bingu wa Mutharika wetu. Unakikimbia chama ukiwa Rais, au unafanya jambo kama hili na kuwaachia chama chao. SISIEM hakifai, nimeamini.

Eti wanapanua JNIA kwa kuwavunjia wananchi nyuma zao na kuwalipa peanuts. Jana nimesikia ni mpango endelevu. Yaani, baada ya Kipawa wanakwenda Kiwalani, Kipunguni, n.k. ili kuongeza utalii. Nadhani hadi stesheni ya Tazara itavunjwa kupanua airport.

Yaani, ardhi yoooote hii hawaioni, hadi wawavunjie watu nyumba zao? Hivi kwa mpango huu, kuna kuhamia DODOMA kweli?
 
Makamba anazidi kukididimiza CCM kizidi kuonekana ni chama cha wahuni! Huko nyuma TANU na CCM ni vyama vilivyokuwa vikiheshimika sana hapa nchini, nchi jirani, Afrika na hata kwingineko duniani. Katibu Mkuu wa CCM akianza kuwaita wanachama wake "wehu" pale wanapotoa mawazo yao (ambayo ni haki yao ya kikatiba) basi tuelewe kwamba CCM sasa kimekuwa chama cha wahuni na yeye Katibu Mkuu wa CCM ndiye anaonekana "mwehu" kwa kutoa kauli kama hiyo!

Kwa kanuni hii vyama visivyoheshimika ni Vingi Tanzania...Kauli kama hii au zaid ilitolewa na Mwandishi Kibanda kwa wafuasi/wapenzi wa Zitto.
 
makamba........makamba...........watz asilimia10 tu ndio waliojiandikisha na kupiga kura..................ukipata 93% ya wale 10 ni jambo la kujisifu? SIKU ZOTE WANASEMA WENGI WAPE.........LAKINI HUWEZI KUWAPA WENGI WAKATI NI WEHU.
makamba bado anaamini jk anaaminika wakait sio.....................
chunga sana nchi imeoza........jk hawezi kuendesha nchi anaweza kubembea tu.................
 
makamba alisha jikatia tamaa....................majaliwa yake yanategemea zaidi uwepo wa kikwete madarakani ili aendelee kuwemo madarakani........wana ccm walisha attempt kumng'oa japo walisha zimwa na jk
Yusuf Makamba ni sawa na mpiga filimbi wa Amelin. Hata akijua Kikwete anaboronga yeye yuko radhi kumsifia. Mtu mweledi hawezi kuzikiliza pumba za Makamba maana zinatia kichefuchefu.
 
ikitokea kaweza kuishawishi? Maana yeye ni rais wa kwanza kuarikwa white house na obama hivi obama anaarika marais wadhaifu?


sababu za kualika watu ikulu zipo nyingi,

1. Ujirani mwema
2. Comon interest
3. Ombaomba
4. Kujigonga/kujichekelesha
5 ....

sasa obama hasimami kama obama anapokutana na jk,

yupo kama marekani kwa interest za usa

jirani kama amegombana na baba yako atamtumia nani kumpa

taarifa flani babayo? Lazma atakua mmoja wa familia yenu upo

hapo? Lakini haimaanishi huyo mwana familia ni mwenye busara

sana, au akili sana, au mwelewa sana, au ni kiongozi bora sana

wa familia, ni basi tu kwasababu yupo karibu na baba yenu.


 
hii mada kila inapoletwa inanitia uchungu................haiwezekani rais aaminiwe na watu kiasi kile afu aboronge namna hii.....aibu hata kusema afu makamba anasema hakuna kama jk..........................2010 makamba kaahidiwa uspika .......................sitta atakoma
inaonekana hufuatilii mambo...watu wameanza kupigia kelele udhaifu wa jk tangu siku za kwanza ......hawajaanza leo....

na werevu walijua tangu mwanzo kuwa ni BOMUUU!!
 
nasikia kichefu chefu kujadili uwezo wa kikwete kuongoza nchi.........................................babu seya...........liyumba........kazi ipo
 
lazima amekata tamaa si anajua bado ana miaka minne tu ya ku....
 
makamba alisha jikatia tamaa....................majaliwa yake yanategemea zaidi uwepo wa kikwete madarakani ili aendelee kuwemo madarakani........wana ccm walisha attempt kumng'oa japo walisha zimwa na jk


Wafa maji hawaishi kutapa tapa..Kuogelea huwezi wajaribu kumwokoa mwenzio..! Hawa wesha zisoma alama za Nyakati tokea kabla hakuje pambazuka !!!
 
Hivi unadhani kwa nini Kikwete (Mzee wa ku-smile hata wakati anapotakiwa kutoa majibu ya maswali magumu) alimtoa Mangula kama katibu wa CCM na kumteua Makamba? Alijua Makamba ni mwehu hivyo anaweza kumuendesha atakavyo. Makamba ni zaidi ya mwehu, hana hadhi ya ku-critisize chochote alichokiongea Qures au Nkangaa
 
Hivi mnategemea ma rope kwenye mambo ya jk aseme tofauti na haya?
Mimi nilijua kuwa ni lazima ma rope ajibu maana yeye ni kila kitu sisi m. Yeye ndiye mkuu na mwenezi. Na nilijua atajibu pumba hizi hizi maana huwa hana pointi!
Akili yake na ya SS ni sawa tu. Wakapimwe Milembe.
 
Jamaani mbona viongozi wetu na watu mashuuri tanzania siku hizi ni matusi tuu! Kiswahili akina maneno mazuri jamaani.. sasa kuwaita wenzake wehu yeye ni nani?
 
Hivi unadhani kwa nini Kikwete (Mzee wa ku-smile hata wakati anapotakiwa kutoa majibu ya maswali magumu) alimtoa Mangula kama katibu wa CCM na kumteua Makamba?

hivi ni yeye aliyemteua au aliambiwa amteue na king maker?
 
Back
Top Bottom