Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
KUTOKA kwa Hilda Newton
Baada ya kuona watu wamegoma kwenda kutoa maoni sasa wameanza kufuata watu inbox.
Mnataka watu waje kutoa maoni ili mumsaidie Idd Amin Mama kujua mashaidi ambao anajua wataenda kumkaanga ICC ili awamalize kabla kesi haijaanza.
Kwanza si Idd Amin Mama keshawambia mseme CHADEMA ndo Chanzo cha Maandamano ya Oktoba 29 sasa kwanin mnataka kusumbua watu na msg zenu.?
Watanganyika wenzangu kamwe msithubutu kwenda kutoa maoni yenu kwenye hii Tume ya Othman Chande maana ni Tume ambayo inania OVU.
My Take
Wananchi wameshatishiwa na IGP Wambura kupitia jeshi lake kuwa wasisambaze picha zenye taarifa hizo. Halafu wanatutega tuitumie Tume ushahidi. Sisi tunaona namna ambavyo Polisi wanavyotawala nchi kwa sasa.
Tunawatoa madarakani tuanze upya na kila mtu atafikiwa na mkono wa haki