Mkuu Yericko Nyerere, mlengo tata usiotimilika, unapimika kwa specified time frame iliyowekwa, kama hiyo time haija lapse, huwezi sema usiotimilika, subiria time lapse ndipo ulizungumzie hili!.
Kuhusu ndoto, ni kweli, naweza kuwa naota ndoto mchana kweupe macho wazi na kidole kwenye keyboard, nayo pia ni ndoto!.
Pasco.
Tatizo lenu nawaambia kila siku. Sio kila anayeunga mkono utndaji wa Chadema au CCMbasi ana njaa au mnywa viroba. Nina uhakika kuwa wewe hufikii hata kidogo mapato ya watumishi nilioajiri mimi binafsi. Hivyo suala la sijui viroba usinitajie. Tujadili hoja tuu.Misukule mnaamini kila kitu anachosema Paroko! Hamtaki kusikia kitu mbadala hata kidogo! Kaazi kwelikweli! Ngojeni wenzenu wapige hela nyie mnanyweshwa viroba na maandamano ya kutosha tu! Ha ha ha! Chezea chadema saccos wewe!
Mkuu Mimi baba, honestly nimeipenda objectivity yako kwenye post yako. Post yako, ya 175 ndio ya kwanza kuchangiwa humu ki great mind, japo kuna great mind wengine walichangia ila sio sio ki great mind.
Tukio likitokea, simple mind watawazungumzia wafanya tukio, Mwigamba, Pasco, Mbowe, Dr. Slaa etc.
Ordinary mind, watazungumzia event, ya Mwigamba kusimamishwa, kutumia pen name kupost ukweli mchungu!,
Great Mind wataulizia "the motive behind" kama ulivyofanya hapa!.
Kama unamfahamu vizuri Mwigamba, unasoma makala zake, utakubaliana na mimi he is bold na very brave!. Ukumuona shujaa wa vita anaingia chini ya uvungu wa kitanda kumkimbia panya, simple mind atamzungumzia shujaa, ordinary mind atacheka kwa kitendo cha shujaa kuingia uvunguni, great mind ata find out the reasons behind shujaa huyu kuogopa panya!.
Nilipolisoma tuu bandiko lake humu jf na mtu yoyote genuine, atakubaliana na mimi Mwigamba amesema kweli tupu!. Kwa ushujaa alionao, unajiuliza what is his motive behind?!, why aogope panya mpaka kujigeuza maskini kulima!. Ndipo nikaelewa Mwigamba was a "caged bird", ndege tunduni!. Chadema should " let the caged bird sing" na kwa walio ndani ya Chadema, nadhani ni Prof. Mwesiga Beregu na ZZK tuu ndio wenye ujasiri huo!. Mimi sio Chadema na kama unadhani ni CCM pia your wrong!.
Kuna wrong notion kuwa kila anayeishambulia Chadema, haitakii mema!. Nimezisima hoja za Mwigamba they are truth!, isipokuwa hili la uchakachuaji katiba ndilo mimi nimelipick kulitafuti`a ukweli, japo limeisha kanusha kuwa ni uwongo na uzushi, bado nasubiria uthibitisho!.
Ukinisoma baadhi ya mabandiko yangu mengi ni kweli naishambulia sana Chadema, kuwa kama ni kweli, inataka Watanzania tuiaminie tuikabidhi nchi come 2015, its seriously needs to change tangu juzi na jana na leo ndio mwisho, kesho might be too little too late!.
Kutokana na wengi humu kuwa na mapenzi makubwa na Chadema, karibu wote mnachelea kuiambia ukwel;i na kubaki kuiimbia nyimbo za sifa na mapambia as if all is well. Angalau Mzee Mwanakijiji hujitahidi tahidi kiaina, mimi huwa sikopeshi, ndiye niliyeanzisha kuwambia JK ni dhaifu, nikawaambia CCM Wamechokwa, nikawaambia Chadema hawajajipanga. If you dig deep into my threads utagundua the motive behind, ni maslahi ya taifa na sio chuki dhidi ya Chadema!. Kuweza kunisoma in beyween the lines, nako kuna hitaji level fulani ya uelewa, naamini Dr. na wachache humu, wananielewa fikawanajua fika ninaulizia nini na my motive behind iko open!. 2015, nchi haiwezi kukabidhiwa kwa Chadema kwenye kikombe cha chai!, kwa mwendo huu Chadema inaokwenda nao, naiona kabisa jinsi nchi tunavyoikabidhi tena CCM huku sisi tusio na vyama tumejinyamazia tuu!. Nimeamua kujitolea kuwaambia loud and clear, ili ikifika 2015, niwakumbushe nilicho waambia!.
Pasco.
Pasco nimesoma mjadala ulioanzisha na majibu ya Dr Slaa. Kabla ya kusoma mjadala huu, niliitikia mwito wa Mtoi kwenye Jukwaa la Wanamabadiliko na nikaandika kwa kirefu kuhusu suala hili ambalo mimi nilishiriki kwa karibu sana nikiwa sehemu ya timu zote tatu zilizohusika na mchakato wa kukusanya maoni ya wanachama kwa ajili ya kuandika katiba, kanuni, itifaki na maadili ya chama pamoja na miongozo ya mabaraza ya chama. Naomba Mods muuweke waraka huo ambao nitawatumia kwa barua pepe au mnaweza kuuchukua kutoka huko. Nimekubaliana na katibu mkuu kuna marekebisho kwenye majibu yake ya awali, katiba ya mwaka 2004 iliondolewe katika orodha ya katiba alizozitaja. Suala la kwamba kuna kipengele kiliondolewa kinyemela halina ukweli, na kilichofanyika 2006 ni kuandika katiba upya kama ambavyo nimeeleza kwenye majibu hayo. Baada ya majibu hayo kusomwa, kama kuna masuala yanahitaji ufafanuzi wa kichama kuhusu suala hili la katiba na mengine au maoni yangu binafsi nitafanya hivyo leo kati ya saa 9 mpaka 10 Jioni. Niko kwenye kikao, baada ya hapo nitakuwa kwenye mkutano. Nikihitajika baadae nitarejea tena. Mjadala mwema. JJWanabodi,
Uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, unaongozwa na sheria, taratibu na kanuni. Ikithibitika pasipo shaka kuwa chama fulani, kinakiuka sheria, taratibu na kanuni, kinapaswa kuwajibishwa, kuadhibiwa hata kufutwa, kutegemeana na tuhuma halisi!.
Miongoni mwa masharti ya usajili wa vyama vya siasa, ni kwa vyama hivyo, kuwasilisha katiba yake iliyopitishwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni, ikithibitika pasipo shaka kuwa katiba ya Chadema iliyowasilishwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ni Katiba "Fake" na sio ile katiba halisi ilipitishwa na Vikao Halali vya Chadema!, hili ni kosa kubwa linaweza kupelekea chama kufutwa!.
Tuhuma yenyewe ni hii na ilitolewa rasmi jana humu jf na mwana jf huyu.
Mara baada ya mwajf huyu kuzishusha tuhuma hizi humu, uongozi wa Chadema umemsimamisha mmoja wa viongozi wake kwa kosa la kuutoa ukweli huu nje!.
Maswali ambayo ni lazima Chadema wayajibu ni haya!.
Baada ya kushushwa tuhuma nzito kama hizi, dawa sio kumsimamisha uongozi mtoa tuhuma, bali kutoa majibu ya kina kuhusiana na tuhuma hizi.
- Jee ni kweli Chadema inaendeshwa kwa katiba fake na sio ile iliyopitishwa na vikao halali?!.
- Jee ni nani alikinyofoa kipengele cha demokrasia ya ukomo wa uongozi ndani ya chama ili kutoa nafasi kwa uongozi wa kifalme na kisultani?.
- Ikithibitika kuna mtu alikinyofoa kipengele hicho kwa makusudi, atachukuliwa hatua gani?.
- Je mabadiliko ya "unyofoaji huo" yaliwasilishwa kwa Msajili wa Vyama?.
- Ikithibitika pasipo shaka kuwa Chadema walikiuka sheria taratibu na kanuni, jee watafanywa nini? (Masajili)
Namna rahisi ya kuthibitisha ni kupatikana kwa miniti za kikao kilichopitisha kipengele hicho cha ikomo wa uongozi.
Kisha zipatikane miniti za kikao chochote halali kilichopitisha unyofoaji huo!.
Kisha kwenda kwa Msajili kuthibitisha mabadiliko hayo yalifanyika.
Naandika haya nikiwa ni mwananchi tuu wa kawaida asiye mwanachama wa chama chochote cha siasa, bali mwenye mamlaka kamili kuhoji jambo lolote kuhusu chama chochote, na sababu ni mimi pia ndiye ninayegharimia fedha za uendesha wa Chadema kupitia kodi yangu inayolipwa Chadema kama ruzuku!.
Pia naelewa fika kinachowakuta wakosoaji wowote wa chama "kitakatifu" humu jf, ila kwa vile hoja zangu ni za kweli, nasimama kwenye kweli, na ni ukweli tuu ndio utakao kiweka huru Chadema na sio timua timua au fukuza fukuza!.
Angalizo wa wapenzi wa Chadema, sijasema chama chenu kinafutwa, nimetoa tuhuma, ambazo zikithibitishwa, Chadema mtaadhibiwa!.
Pasco.
Mkuu Dr. W. Slaa, kwanza, heshima yako!, maana ile kujibiwa tuu na mtu wa calibre yako pekee, ni heshima kwangu na kwa thread hii, hivyo majibu yako, nayaunganisha pale mbele ya thread as an authority.
Uwongo ukisemwa sana na kuachwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli. Sambamba na tuhuma hii, mtoa tuhuma pia ameweka tuhuma nyingine nyingi, zenye kuhitaji majibu ya kina kama haya uliyonijibu hapa.
Kwa vile CCM ndicho chama tawala, Chadema kiko kwenye mizani ya tukiaminie mwaka 2015 au bora kuendelea na CCM tuliyoizoea!, hivyo haya makando kando yoyote kuihusu Chadema, lazima yajibiwe ipasavyo kama hivi ulivyofanya hapa.
Asante sana kwa hili.
Kwa vile maelezo haya yako ni ya upande mmoja, nasubiri verification ya data toka kwa msajili, then niufunge rasmi huu mjadala.
Nashukuru tena.
Pasco.
Katiba ni mali ya chama husika na sio mali ya mamlaka husika!. Baada ya chama husika, kuitunga katiba yake na kuipitisha kwenye mkutano mkuu wake, huipeleka kwa Msajili wa vyama vya siasa, ili isajiliwe, kazi ya msajili sio kuiingilia katiba bali kuhakikisha haiendi kinyume cha masharti, malengo na katiba ya nchi.Ok tukubali kwamba katiba ya CDM imechakachuliwa na "viongozi", wewe unatafuta ushahidi hutaupata kwa sababu haupo; lakini kwa nini mamlaka husika hazijaliona hili? Ni kwa sababu au niwazembe au kwa sababu hakuna kasoro.
Hili la CCM kunikuna nalo neno!, hebu unisome hapa jinsi ninavyoisifia CCM, kama uthibitisho huku ndiko kukunwa kwenyewe,Pamoja na heshima yote, uwe na chama usiwe nacho ebu uamini angalau kuwa CCM inakukuna na utajitahidi kutoa mchango wako bila kuisaliti.
Asante sana JJ. Mnyika, nitajitahidi kutembelea kule ili kujiridhisha, ila kwa vile mzizi wa fitna kwenye uzi huu ni katiba ya 2004, kama unayo, nitashukuru tukiipata, tukaufunga huu mjadala rasmi.Pasco nimesoma mjadala ulioanzisha na majibu ya Dr Slaa. Kabla ya kusoma mjadala huu, niliitikia mwito wa Mtoi kwenye Jukwaa la Wanamabadiliko na nikaandika kwa kirefu kuhusu suala hili ambalo mimi nilishiriki kwa karibu sana nikiwa sehemu ya timu zote tatu zilizohusika na mchakato wa kukusanya maoni ya wanachama kwa ajili ya kuandika katiba, kanuni, itifaki na maadili ya chama pamoja na miongozo ya mabaraza ya chama. Naomba Mods muuweke waraka huo ambao nitawatumia kwa barua pepe au mnaweza kuuchukua kutoka huko. Nimekubaliana na katibu mkuu kuna marekebisho kwenye majibu yake ya awali, katiba ya mwaka 2004 iliondolewe katika orodha ya katiba alizozitaja. Suala la kwamba kuna kipengele kiliondolewa kinyemela halina ukweli, na kilichofanyika 2006 ni kuandika katiba upya kama ambavyo nimeeleza kwenye majibu hayo. Baada ya majibu hayo kusomwa, kama kuna masuala yanahitaji ufafanuzi wa kichama kuhusu suala hili la katiba na mengine au maoni yangu binafsi nitafanya hivyo leo kati ya saa 9 mpaka 10 Jioni. Niko kwenye kikao, baada ya hapo nitakuwa kwenye mkutano. Nikihitajika baadae nitarejea tena. Mjadala mwema. JJ
Pasco, Pamoja na marekebisho niliyoeleza kuhusu majibu ya Dr Slaa kwamba katiba ya 2004 iondolewe kwenye orodha kama nilivyochangia hapo awali. Katiba ya mwaka 2004 haiwezi kuwa ushahidi wa hayo madai yasiyokuwa ya kweli. Katiba ya mwaka 2004 mimi ninayo hapa nilipo, kwenye kifungu cha 6.3.2 kina kipengele cha 'muda usiozidi vipindi viwili katika cheo kimoja kwa ngazi moja'. Hata hivyo, huu sio ushahidi wa kwamba kipengele hiki kimeondolewa 'kinyemela'. Hii ni kwa sababu tatu; Mosi, 2006 hatukuwa tunafanya marekebisho ya katiba kwa maana ya kuondoa au kuacha kifungu cha katiba ya mwaka 2004. Tuliandika katiba upya, ndio maana tarehe 13 Agosti 2006 pale PTA tukafanya uzinduzi wa katiba mpya ya CHADEMA. Kwenye mchakato wa kukusanya maoni ya katiba mpya na hatimaye maandalizi ya rasimu ya katiba mpya, hili suala halikuingia kabisa. Halikupitishwa kwenye mapendekezo ya sekretariati, kamati kuu, baraza kuu na hata mkutano mkuu kwa kadiri ya kumbukumbu zangu. Hivyo huwezi kuzungumzia 'kuondoa kinyemela' kipengele ambacho hakikuingia. Pili, ushahidi wa jambo hili kuwa kimeondolewa kinyemela ni kuleta hapa rasimu ya katiba kama ilivyopitishwa na kupelekwa kwa msajili, katiba mpya ya 2006 (Dr Slaa amekupa changamoto ya kwenda kukagua) au kumbukumbu za mkutano mkuu husika au toleo la kwanza la katiba ya mwaka 2006 ambalo wanachama wanalo nakala zake. Uonyeshe kwamba kifungu kilikuwa hivi sasa kinyemela kikaondolewa vile. Imewekwa humu katiba ya mwaka 2006, haina hicho kipengele cha ukomo. Tatu, kama suala hili lingekuwa hivi kwa ukubwa wake na katiba imetumika toka mwaka 2006 kwenye chaguzi za ndani za marudio maeneo mbalimbali, uchaguzi mkuu wa mwaka 2009 wa ndani ya chama nchi nzima lingeshaibuka kwa maana ya watu kuwawekea pingamizi waliokaa vipindi viwili au kulalamikia kifungu hicho kuondolewa. Haijaibuka kwenye chaguzi zote za marudio za ndani 2012 na hata kwenye uchaguzi mkuu wa ndani ya chama ulioanza nchi nzima toka mapema mwaka 2013, linaibuka sasa kuelekea uchaguzi mkuu wa taifa mapema mwaka 2013. Kuna maswali ya kujiuliza. Kuna tofauti kati ya kutoa maoni ya kutaka marekebisho kifungu hicho kiwepo na kutoa madai kwamba kiliondolewa kinyemela. Hoja hii watuhimiwa wa kwanza hawawezi kuwa Mbowe na Dr Slaa walioendesha vikao vya maamuzi, watuhumiwa wakuu tutakuwa kamati tulizohusika na suala la katiba mpya ya ndani ya chama ambayo upande mmoja ni mimi na Profesa Baregu kwa upande wa kurasa za falsafa na itikadi na upande mwingine ni muasisi wa chama Mzee Kimesera, Mkurugenzi Benson Kigaila na mimi kwa upande wa maeneo mengine ya kwenye katiba. Majibu niliyotoa Jukwaa la Wanamabadiliko yana maelezo ya ziada. JJKatiba ni mali ya chama husika na sio mali ya mamlaka husika!. Baada ya chama husika, kuitunga katiba yake na kuipitisha kwenye mkutano mkuu wake, huipeleka kwa Msajili wa vyama vya siasa, ili isajiliwe, kazi ya msajili sio kuiingilia katiba bali kuhakikisha haiendi kinyume cha masharti, malengo na katiba ya nchi.
Chadema ilipeleka katiba fulani mwaka 2004 ambayo mpaka sasa sijafanikiwa kuipata. Ndani ya katiba hiyo, inadaiwa kulikuwa na kipengele cha ukomo wa uongozi kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano.
Mwaka 2006 wakafanya mabadiliko ya katiba yao kihalali kabisa, katika mkutano huo mkuu, walifanya marekebisho mengi, ila kati ya marekebisho hayo yote, kifungu cha ukomo wa uongozi, hakikujadiliwa wala kufanyiwa mabadiliko yoyote!, lakini katiba iliyopelekwa kusajiliwa kwa msajili, ikawa imenyofolewa kifungu hicho kinyemela!.
Kama ni kweli, katiba ya 2004, kipengele hicho kilikuwepo, na wamefanya mabadiliko ya kukiondoa rasmi kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni, then its ok!. Lakini kama ni kweli kifungu hicho kilikuwepo, mabadiliko ya kifungu hicho hayakuletwa kwenye mkutano mkuu kujadiliwa, wala kubadilishwa, then all over a sudden, kikanyofolewa kinyemela, then katiba hiyo ya 2006 is "fake" kwa sababu kwa mujibu wa muundo wa Chadema, hakuna kikao chochote chenye mamlaka ya kunyofoa kifungu cha katiba bila bila mkutano mkuu kujadili na kuridhia!.
Kinachosubiriwa hapa ni kuipata tuu hiyo katiba ya 2004 kuudhibitisha uongo wa Mwigamba.
.
Mkuu Samson Moses, katiba za vyama ni mali za vyama, hata ikitamka kiongozi ni kipindi chote cha uhai mpake afe, msajili atairidhia!.
Hoja yangu ni kuwa ku na katiba ya Chadema ya 2004 inadaiwa iliweka bayana muda wa uongozi ni vipindi viwili vya miaka mitano mitano.
Hii ndio katiba halali, kisha chama kina haki ya kuibadili wakati wowote ila mabadiliko haya yaliza yapitie process ya kichama na kuwasilishwa kwa msajili, ukishawasilisha katiba mpya, ile ya zamani inabatilishwa automatically.
Hoja ya Mwigamba ni kuwa katika kupitisha katiba mpya ya Chadema ya 2006, kuna kipengele cha ukomo, kilinyofolewa kinyemela, hivyo katiba iliyopelekwa haina kipengele hicho!.
Kitendo cha kufanya mabadiliko ya katiba, bila kukizungumzia kipengele fulani, au kukifuta rasmi na badala yake kukichomoa kinyemela, ndiko kunakopelekea, katiba hiyo kuwa fake!.
Bado naisubiria katiba ya Chadema ya 2004 ili kulithibitisha hili!.
Pasco.
Mkuu JJ. Mnyika, hoja zako zimeufunga rasmi huu mjadala, kiukweli nimemuelewa vizuri sana Mwingamba, ingawa ni kweli he is wrong kuwa kipengele hicho kimeondolewa kinyemela, he was very right kuwa kilikuwepo kwenye katiba ya 2004, na kwa vile kilikuwepo by specific intentions, na kwenye katiba ya 2006 hakikuletwa kabisa, kitendo cha ule mkutano wenu mkuu kutokukisoma na kukipitisha, kulitafsiriwa na Mwingamba ndio kunyofolewa kwenyewe kinyemela!.Pasco, Pamoja na marekebisho niliyoeleza kuhusu majibu ya Dr Slaa kwamba katiba ya 2004 iondolewe kwenye orodha kama nilivyochangia hapo awali. Katiba ya mwaka 2004 haiwezi kuwa ushahidi wa hayo madai yasiyokuwa ya kweli. Katiba ya mwaka 2004 mimi ninayo hapa nilipo, kwenye kifungu cha 6.3.2 kina kipengele cha 'muda usiozidi vipindi viwili katika cheo kimoja kwa ngazi moja'. Hata hivyo, huu sio ushahidi wa kwamba kipengele hiki kimeondolewa 'kinyemela'. Hii ni kwa sababu tatu; Mosi, 2006 hatukuwa tunafanya marekebisho ya katiba kwa maana ya kuondoa au kuacha kifungu cha katiba ya mwaka 2004. Tuliandika katiba upya, ndio maana tarehe 13 Agosti 2006 pale PTA tukafanya uzinduzi wa katiba mpya ya CHADEMA. Kwenye mchakato wa kukusanya maoni ya katiba mpya na hatimaye maandalizi ya rasimu ya katiba mpya, hili suala halikuingia kabisa. Halikupitishwa kwenye mapendekezo ya sekretariati, kamati kuu, baraza kuu na hata mkutano mkuu kwa kadiri ya kumbukumbu zangu. Hivyo huwezi kuzungumzia 'kuondoa kinyemela' kipengele ambacho hakikuingia. Pili, ushahidi wa jambo hili kuwa kimeondolewa kinyemela ni kuleta hapa rasimu ya katiba kama ilivyopitishwa na kupelekwa kwa msajili, katiba mpya ya 2006 (Dr Slaa amekupa changamoto ya kwenda kukagua) au kumbukumbu za mkutano mkuu husika au toleo la kwanza la katiba ya mwaka 2006 ambalo wanachama wanalo nakala zake. Uonyeshe kwamba kifungu kilikuwa hivi sasa kinyemela kikaondolewa vile. Imewekwa humu katiba ya mwaka 2006, haina hicho kipengele cha ukomo. Tatu, kama suala hili lingekuwa hivi kwa ukubwa wake na katiba imetumika toka mwaka 2006 kwenye chaguzi za ndani za marudio maeneo mbalimbali, uchaguzi mkuu wa mwaka 2009 wa ndani ya chama nchi nzima lingeshaibuka kwa maana ya watu kuwawekea pingamizi waliokaa vipindi viwili au kulalamikia kifungu hicho kuondolewa. Haijaibuka kwenye chaguzi zote za marudio za ndani 2012 na hata kwenye uchaguzi mkuu wa ndani ya chama ulioanza nchi nzima toka mapema mwaka 2013, linaibuka sasa kuelekea uchaguzi mkuu wa taifa mapema mwaka 2013. Kuna maswali ya kujiuliza. Kuna tofauti kati ya kutoa maoni ya kutaka marekebisho kifungu hicho kiwepo na kutoa madai kwamba kiliondolewa kinyemela. Hoja hii watuhimiwa wa kwanza hawawezi kuwa Mbowe na Dr Slaa walioendesha vikao vya maamuzi, watuhumiwa wakuu tutakuwa kamati tulizohusika na suala la katiba mpya ya ndani ya chama ambayo upande mmoja ni mimi na Profesa Baregu kwa upande wa kurasa za falsafa na itikadi na upande mwingine ni muasisi wa chama Mzee Kimesera, Mkurugenzi Benson Kigaila na mimi kwa upande wa maeneo mengine ya kwenye katiba. Majibu niliyotoa Jukwaa la Wanamabadiliko yana maelezo ya ziada. JJ
Katiba ni mali ya chama husika na sio mali ya mamlaka husika!. Baada ya chama husika, kuitunga katiba yake na kuipitisha kwenye mkutano mkuu wake, huipeleka kwa Msajili wa vyama vya siasa, ili isajiliwe, kazi ya msajili sio kuiingilia katiba bali kuhakikisha haiendi kinyume cha masharti, malengo na katiba ya nchi.
Chadema ilipeleka katiba fulani mwaka 2004 ambayo mpaka sasa sijafanikiwa kuipata. Ndani ya katiba hiyo, inadaiwa kulikuwa na kipengele cha ukomo wa uongozi kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano.
Mwaka 2006 wakafanya mabadiliko ya katiba yao kihalali kabisa, katika mkutano huo mkuu, walifanya marekebisho mengi, ila kati ya marekebisho hayo yote, kifungu cha ukomo wa uongozi, hakikujadiliwa wala kufanyiwa mabadiliko yoyote!, lakini katiba iliyopelekwa kusajiliwa kwa msajili, ikawa imenyofolewa kifungu hicho kinyemela!.
Kama ni kweli, katiba ya 2004, kipengele hicho kilikuwepo, na wamefanya mabadiliko ya kukiondoa rasmi kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni, then its ok!. Lakini kama ni kweli kifungu hicho kilikuwepo, mabadiliko ya kifungu hicho hayakuletwa kwenye mkutano mkuu kujadiliwa, wala kubadilishwa, then all over a sudden, kikanyofolewa kinyemela, then katiba hiyo ya 2006 is "fake" kwa sababu kwa mujibu wa muundo wa Chadema, hakuna kikao chochote chenye mamlaka ya kunyofoa kifungu cha katiba bila bila mkutano mkuu kujadili na kuridhia!.
Kinachosubiriwa hapa ni kuipata tuu hiyo katiba ya 2004 kuudhibitisha uongo wa Mwigamba.
Hili la CCM kunikuna nalo neno!, hebu unisome hapa jinsi ninavyoisifia CCM, kama uthibitisho huku ndiko kukunwa kwenyewe,
CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!
Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!
Yametimia!, CCM Imechokwa!, Chadema Njia Nyeupe 2015 ...
Mapungufu ya JK: Ni Rais Daifu"-Weak President!.
Ila tatizo langu kubwa mimi ni realist, sio dreamer wala wishful thinker wa I wish, this and that, ukiwa realist, unaukubali ukweli jinsi ulivyo, kwa mwendo huu Chadema inaokwenda nao, uchaguzi wa 2015, naiona CCM ikirudi madarakani kwa ulaini kwa sababu Chadema is not doing the right thing, na hata pale inapofanya the the right thing, it doesn't do it right! na mkiambiwa mnakuja juu!.
Kuelekea 2015: Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ...
Pasco.
Mkuu naona umepata majibu ya authority za CHADEMA i.e JJ. Mimi bado nina wewe tuache utani wewe unaipenda CCM ambayo si dhambi. Hizo nukuu ulizoweka nilizisoma baadhi nilizijibu. Labda mjadala sasa ubadirike kwa sababu mwenzangu wewe ni mwanasheria tujiulize NAFASI YA KATIBA ZA VYAMA TUNAPOELEKEA KWENYE KATIBA YA NCHI KUNA UTAIFA KIASI GANI?
Dondoo
1. Utekelezaji wa sera ya mali asili
2. Tunu za Taifa
3. Demokrasia na haki za kibinadamu
4. Maadili ya Uongozi
5. Haki ya huduma za kijamii
6. Haki za kibinadamu na Msaada wa Kisheria
7. Sera ya Mambo ya nje
8. Ongezea
Mimi naona haziko exhaustive kwa vyama vote, kwa sababu Katiba ya Kitaifa haipo na haiwadai wadau yaani vyama vya kisiasa kuzingatia hayo. Niliyoyaainisha hapo juu ni kuwa kukiwepo mabadiriko ya chama tawala kuna mambo ya kitaifa hayatakiwi kubadirika
Mkuu Mimibaba, ni kweli majibu haya ya authority yamefunga mjadala, natumaini umenote tofauti ya majibu ya JJ.Mnyika na Dr. Slaa kuhusu kipengele husika, mjadala umefungwa ila bado naitafuta hiyo katiba ya Chadema ya 2004, kuona ni kuamini!.Mkuu naona umepata majibu ya authority za CHADEMA i.e JJ. Mimi bado nina wewe tuache utani wewe unaipenda CCM ambayo si dhambi. Hizo nukuu ulizoweka nilizisoma baadhi nilizijibu.
Wanabodi,
Uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, unaongozwa na sheria, taratibu na kanuni. Ikithibitika pasipo shaka kuwa chama fulani, kinakiuka sheria, taratibu na kanuni, kinapaswa kuwajibishwa, kuadhibiwa hata kufutwa, kutegemeana na tuhuma halisi!.
Miongoni mwa masharti ya usajili wa vyama vya siasa, ni kwa vyama hivyo, kuwasilisha katiba yake iliyopitishwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni, ikithibitika pasipo shaka kuwa katiba ya Chadema iliyowasilishwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ni Katiba "Fake" na sio ile katiba halisi ilipitishwa na Vikao Halali vya Chadema!, hili ni kosa kubwa linaweza kupelekea chama kufutwa!.
Tuhuma yenyewe ni hii na ilitolewa rasmi jana humu jf na mwana jf huyu.
Mara baada ya mwajf huyu kuzishusha tuhuma hizi humu, uongozi wa Chadema umemsimamisha mmoja wa viongozi wake kwa kosa la kuutoa ukweli huu nje!.
Maswali ambayo ni lazima Chadema wayajibu ni haya!.
Baada ya kushushwa tuhuma nzito kama hizi, dawa sio kumsimamisha uongozi mtoa tuhuma, bali kutoa majibu ya kina kuhusiana na tuhuma hizi.
- Jee ni kweli Chadema inaendeshwa kwa katiba fake na sio ile iliyopitishwa na vikao halali?!.
- Jee ni nani alikinyofoa kipengele cha demokrasia ya ukomo wa uongozi ndani ya chama ili kutoa nafasi kwa uongozi wa kifalme na kisultani?.
- Ikithibitika kuna mtu alikinyofoa kipengele hicho kwa makusudi, atachukuliwa hatua gani?.
- Je mabadiliko ya "unyofoaji huo" yaliwasilishwa kwa Msajili wa Vyama?.
- Ikithibitika pasipo shaka kuwa Chadema walikiuka sheria taratibu na kanuni, jee watafanywa nini? (Masajili)
Namna rahisi ya kuthibitisha ni kupatikana kwa miniti za kikao kilichopitisha kipengele hicho cha ikomo wa uongozi.
Kisha zipatikane miniti za kikao chochote halali kilichopitisha unyofoaji huo!.
Kisha kwenda kwa Msajili kuthibitisha mabadiliko hayo yalifanyika.
Naandika haya nikiwa ni mwananchi tuu wa kawaida asiye mwanachama wa chama chochote cha siasa, bali mwenye mamlaka kamili kuhoji jambo lolote kuhusu chama chochote, na sababu ni mimi pia ndiye ninayegharimia fedha za uendesha wa Chadema kupitia kodi yangu inayolipwa Chadema kama ruzuku!.
Pia naelewa fika kinachowakuta wakosoaji wowote wa chama "kitakatifu" humu jf, ila kwa vile hoja zangu ni za kweli, nasimama kwenye kweli, na ni ukweli tuu ndio utakao kiweka huru Chadema na sio timua timua au fukuza fukuza!.
Angalizo wa wapenzi wa Chadema, sijasema chama chenu kinafutwa, nimetoa tuhuma, ambazo zikithibitishwa, Chadema mtaadhibiwa!.
Pasco.
Update !.
Mkuu Dr. W. Slaa, kwanza, heshima yako!, maana ile kujibiwa tuu na mtu wa calibre yako pekee, ni heshima kwangu na kwa thread hii, hivyo majibu yako, nayaunganisha pale mbele ya thread as an authority.
Uwongo ukisemwa sana na kuachwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli. Sambamba na tuhuma hii, mtoa tuhuma pia ameweka tuhuma nyingine nyingi, zenye kuhitaji majibu ya kina kama haya uliyonijibu hapa.
Kwa vile CCM ndicho chama tawala, Chadema kiko kwenye mizani ya tukiaminie mwaka 2015 au bora kuendelea na CCM tuliyoizoea!, hivyo haya makando kando yoyote kuihusu Chadema, lazima yajibiwe ipasavyo kama hivi ulivyofanya hapa.
Asante sana kwa hili.
Kwa vile maelezo haya yako ni ya upande mmoja, nasubiri verification ya data toka kwa msajili, then niufunge rasmi huu mjadala.
Nashukuru tena.
Pasco.
Update 2: JJ.Mnyika.
[/FONT][/FONT]
Asante sana JJ. Mnyika, nitajitahidi kutembelea kule ili kujiridhisha, ila kwa vile mzizi wa fitna kwenye uzi huu ni katiba ya 2004, kama unayo, nitashukuru tukiipata, tukaufunga huu mjadala rasmi.
Kama unachosema wewe ndio right, kuwa ile katiba ya 2006 sio marekebisho ya katiba ya 2004, bali ni katiba mpya, hata kama ni kweli, katiba ya 2004 ilikuwa na kipengele tajwa, na katiba ya 2006 ikawa haina, then at this juncture, I put my hands down, mjadala umekwisha, kwa sababu katiba ya 2006 ni mpya, na kwa vile ni kitu kipya, then its ok kama haina kipengele hicho!. Hii inamaanisha hata ikipatikana hiyo katiba ya 2004, its immaterial, ila for interest, bado naitafuta hiyo Katiba ya 2004, "kuona ni kuamini.
Pasco.
Aliyetoa tuhuma hizi sio mimi, ni kiongozi mwandamizi wa Chadema, mimi nimetoa tuu angalizo kama ni kweli, what might hapenkwa Chadema!. Kwa sasa ni kweli huu ni upuuzi usio na kichwa wa miguu, ila utakuwa umenisaidia sana kama utanipatia hiyo katiba ya 2004!.
Pasco.
kama hili likidhibitika basi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nayo iwajibike pia hiki ndio kipindi ambacho chadema wanatakiwa kuwa makini pamoja na ushirikiano kwani wanapitia katika wakati mgumu.Wanabodi,