Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa

Yaani wewe Paschal unaijua vizuri katiba ta CDM kuliko Mnyika? wakati mwingime Paschal huwa unalazimisha kutukanwa humu kwenye group
Kwa kuanzia, soma hapo Dr. Slaa akiizungumzia katiba ya Chadema.
P
 
Yaani wewe Paschal unaijua vizuri katiba ta CDM kuliko Mnyika? wakati mwingime Paschal huwa unalazimisha kutukanwa humu kwenye group
Soma hapo JJ Mnyika anapozungumzia katiba ya Chadema. Kisha uniambie kama ume notice tofauti yoyote kati ya taarifa ya Dr. Slaa, JJ. Mnyika na hoja yangu?.
P
 
Umenena vyema, Paschal wakati anauliza issue ya katiba pale ikulu alikuwa hajui kama katiba ya CHADEMA ina mapungufu? ukimtoa Dotto Buledu hakuna mwandishi mwingine Tanzania wengine wote ni wasaka tonge.
Mkuu Babati, mimi nimeizungumzia sana katiba ya Chadema, angalia tarehe za mabandiko haya


P
 

Hicho kipengele ulicho “attach” Mbona hakiisapoti hoja yako kuwa ukomo wa uongozi ni vipindi viwili vya miaka mitano? We mtu bhana sometimes sijui ukoje.

 
Unapenda sana mada ndefu zisizo na mantiki.
CHADEMA haifi.
 
We byembalilwa wee...!, unataka kuizungumzia katiba ya Chadema...
tembelea kwanza mitaa hii...



P
 
R.I.P
 
Rest in peace
 
Kaka Pasakli,
Huo ufake wake nani mwenye mamlaka ya kuuthibitisha?
 
Yule Mrundi katili muuwaji naye Mungu amekulipia, yupo jehenamu ajibu madhambi yake.

Mungu ni Fundi.
 
Vipi, msajili wa vyama ameshakifuta CHADEMA kwakutumia katibafake?
Kwako Pascal Mayalla
 
Kaka Pasakli,
Huo ufake wake nani mwenye mamlaka ya kuuthibitisha?
Ni ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
  1. Wakati Chadema inasajiliwa ile 1992 katiba ya Chadema iliyowasilishwa kwa Msajili ilikuwa na kipengele hicho.​
  2. Lengo la uwepo wa kipengele hicho lilielezwa vizuri kabisa na Edwin Mtei kuwa ili kuzuia viongozi kung'ang'ania madaraka na kusisitiza, no matter how good you are, 10 years is enough, ili kufanya dynamism kwenye leadership ya Chadema.​
  3. Mwaka 2006 Chadema ikafanya merekebisho ya katiba.​
  4. Ukifanya marekebisho ya katiba, kitu chochote kilichopo kwenye katiba utakacho kirekebisha ni lazima kijadiliwe na kurekodiwa kwenye randama​
  5. Kwenye mabadiliko hayo walibadili mambo mengi ikiwemo kuibadili lugha katiba yao kutoka English into Swahili​
  6. Katika mabadiliko hayo ya 2006, kipengele cha ukomo wa madaraka hakikujadiliwa kabisa na yeyote!​
  7. Unaporekebisha katiba, sheria, taratibu na kanuni. Kipengele chochote ambacho hakikujadiliwa, kurekebishwa au kubadilishwa, kinaendelea kuwepo kwenye katiba iliyorekebishwa.​
  8. Lakini katiba iliyorekebishwa na kuwasilishwa kwa Msajili ile 2006, haikuwa na kipengele hicho cha ukomo wa uongozi.​
  9. Hivyo kipengele hicho just vanished into thin air bila kujadiliwa na yeyote, bila kuondolewa na yeyote, ni kimejiondokea chenyewe kwa kuyeyuka!.​
  10. Kwa sasa mtu anaweza kuwa kiongozi wa Chadema for his entire life!, till God decides!.​
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…