Lazima hatua zichukuliwe.Sumu aliyomwaga Askofu Rashid Gwajima siyo ya kitoto,yaani bila kutia chumvi ni kwamba hakuna kiongozi yoyote wa CCM na Serikali anayeitetea chanjo anaweza kuaminika kwa wananchi. Gwajima kaupiga mwingi sana.
Gwajima ana 'watu' ujue siyo mchezo.Lazima hatua zichukuliwe.