Tuhuma za Askofu Josephat Mwingira zimehanikiza umuhimu wa kuundwa haraka kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Taifa

Tuhuma za Askofu Josephat Mwingira zimehanikiza umuhimu wa kuundwa haraka kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Taifa

Hii nchi ina watu Wenye maumivu na msongo wa mawazo Mkubwa usioelezeka, mambo ya hovyo yaliyofanyika awamu ya tano na mengine bado yanaendelezwa na huyu Yezeberi, kama wananchi tuna wakati mgumu sana.
 
Kama ulidhulumiwa nenda mahaka mani taja wahusika walio kudhulumu ama kukutisha weka ushahidi wako sheria ichukue mkondowake, sio kuombaomba tensions nchi nzimaisimame kwa sababu za maneno ya kusikia tumieni akili kidogo.
Jinga kweli, mahakama zipi? Hizi za akina tiganga? Majaji na mahakimu wanaotoa maamuzi au hukumu kwa kufuata maelekezo toka juu? This is a shithole country.
 
Jinga kweli, mahakama zipi? Hizi za akina tiganga? Majaji na mahakimu wanaotoa maamuzi au hukumu kwa kufuata maelekezo toka juu? This is a shithole country.
Ni sawa na aliekufanya ulie ,ndio akufute machoz
 
Kama Magu alimfanyia Mwingira hivyo safi sana
Bwana alitenda maajabu hapo tarehe 17.3.2021
Safi sana ...yupo wapi huyo magufuli leo
Alaaniwe aalipo kwa damu za watu alizomwaga bila hatia
 
Bwana alitenda maajabu hapo tarehe 17.3.2021
Safi sana ...yupo wapi huyo magufuli leo
Alaaniwe aalipo kwa damu za watu alizomwaga bila hatia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajifariji tu!

Hata baada ya kuondoka gaidi akapigwa ndani na a anakula krismass ndani.

Kufa ni kufa tu dogo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajifariji tu!

Hata baada ya kuondoka gaidi akapigwa ndani na a anakula krismass ndani.

Kufa ni kufa tu dogo!
Katika yote unayohisi nafsi yako inajivunia ni mtu kusingiziwa kesi na kula krismass ndani??
Unatia kinyaa wewe.
Mandela kala krismass ngapi gerezani???
Alikufa???
Mbona humzungumzii jaambazi mwenzio SABAYA???
 
Usilinganishe Mandela na mavi,!

Sabaya anapata malipo yake! Kwa nini isiwe kwa Mbowe?
 
Usilinganishe Mandela na mavi,!

Sabaya anapata malipo yake! Kwa nini isiwe kwa Mbowe?
Hujui tofauti kati ya mfungwa na mahabusu????
Sijui ulisoma shule ya kata wapi????
Mandela ni binadamu mbowe ni binadamu hapo napo huelewi?
Sijalinganisha mtu na mavi mm ??
 
Hujui tofauti kati ya mfungwa na mahabusu????
Sijui ulisoma shule ya kata wapi????
Mandela ni binadamu mbowe ni binadamu hapo napo huelewi?
Sijalinganisha mtu na mavi mm ??
Mandela alifungwa kwa sababu alikuwa anapigania haki dhidi ya wahuni!

Mbowe yupo mahabusu sababu ya kupigania tumbo lake!

Halafu mandela alikuwa na watu nyuma yake walikufa kwa maelfu wakipigania haki zao. Vipi huyu gaidi wenu wafuasi wake wako wapi? Twitter? [emoji205][emoji205][emoji205]
 
Magufuli na Samia wote ni madikteta au mashetani
 
mlimimina risasa kibao kwa Tal,zikamwingia mwilini 16 hata hizo hakuna hata moja ilichana mshipa wa fahamu
Na hata dereva wake hakuna hata iliyomchubua hata ngozi tu.
Na dereva alikuwa kakaa kulia kwa Tal
Risasi zote thelasini na upuuzi za SMG zilipigwa kutokea kushoto lakini mguu wa Tal uliopigwa ni wa kulia - sijui risasi zilikuwa zinapiga kona kuukwepa mguu wa kushoto. Na dereva naye sijui mwili ulikuwa unarepell risasi?
 
Mandela alifungwa kwa sababu alikuwa anapigania haki dhidi ya wahuni!

Mbowe yupo mahabusu sababu ya kupigania tumbo lake!

Halafu mandela alikuwa na watu nyuma yake walikufa kwa maelfu wakipigania haki zao. Vipi huyu gaidi wenu wafuasi wake wako wapi? Twitter? [emoji205][emoji205][emoji205]
Hujui chochote kuhusu historia ya wapigania haki wewe. DARASA la saba.
Mbowe hana watu wakati chama chako kupitia chakubanga kilinunua kuanzia mwenyekiti wa kijiji hadi mbunge?
Kuna viongozi wangapi wa ccm na serikali waliopitia kwenye tangu la mbowe?
Unaweza ukataja waliotoka lumumba kuja kwa mbowe???
Mbowe hatafuti pesa za kushibisha tumbo lake kama wewe unayelipwa boku 7 na kuanza kutukana watu. Mbowe kwao ni matajiri toka babako hajamuoa mamake!
Soma historia ya Tanzania umjue babake mbowe!
Hana watu wakati hata akifanya mikutano ndani kwake mnaita policcm??
Nsije nikawa naongea na form four hapa
 
Mahakama hizi hizi za Tanganga yule beki wa Tottenham, na mbege za Rau Madukani?
🤣🤣🤣 Pumbavu sana wewe,hahahaaa

Mnapiga vigelegele kushangilia hukumu ya sabbaya, mnadhani hukumu ilitolewa na mahakama ya nchigani.
Alafu hukumu ikiwaface nyie mnaona mnaonewa na kuanza kubeza sio.
 
HIVI MAMA ALIPOSEMA ANATIBU MAJERAHA KWANZA, TULIMUELEWA SAWASAWA? Ya akina Mwingira siyo maheraha?
 
Back
Top Bottom