Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima tumwamini kwa kuwa anaelezea yale yaliyo msibu chini ya utawala wa dikteta mwehu!Wewe unamwamini Mwingira?
Jinga kweli, mahakama zipi? Hizi za akina tiganga? Majaji na mahakimu wanaotoa maamuzi au hukumu kwa kufuata maelekezo toka juu? This is a shithole country.Kama ulidhulumiwa nenda mahaka mani taja wahusika walio kudhulumu ama kukutisha weka ushahidi wako sheria ichukue mkondowake, sio kuombaomba tensions nchi nzimaisimame kwa sababu za maneno ya kusikia tumieni akili kidogo.
Ni sawa na aliekufanya ulie ,ndio akufute machozJinga kweli, mahakama zipi? Hizi za akina tiganga? Majaji na mahakimu wanaotoa maamuzi au hukumu kwa kufuata maelekezo toka juu? This is a shithole country.
Ajabu kweli kweli.Ni sawa na aliekufanya ulie ,ndio akufute machoz
Hakuna namna.Wewe unamwamini Mwingira?
Bwana alitenda maajabu hapo tarehe 17.3.2021Kama Magu alimfanyia Mwingira hivyo safi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajifariji tu!Bwana alitenda maajabu hapo tarehe 17.3.2021
Safi sana ...yupo wapi huyo magufuli leo
Alaaniwe aalipo kwa damu za watu alizomwaga bila hatia
Katika yote unayohisi nafsi yako inajivunia ni mtu kusingiziwa kesi na kula krismass ndani??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajifariji tu!
Hata baada ya kuondoka gaidi akapigwa ndani na a anakula krismass ndani.
Kufa ni kufa tu dogo!
Usilinganishe Mandela na mavi,!Katika yote unayohisi nafsi yako inajivunia ni mtu kusingiziwa kesi na kula krismass ndani??
Unatia kinyaa wewe.
Mandela kala krismass ngapi gerezani???
Alikufa???
Mbona humzungumzii jaambazi mwenzio SABAYA???
Hata Lissu aliposema Amepigwa Risasi uliuliza swali hiloWewe unamwamini Mwingira?
Hujui tofauti kati ya mfungwa na mahabusu????Usilinganishe Mandela na mavi,!
Sabaya anapata malipo yake! Kwa nini isiwe kwa Mbowe?
Mandela alifungwa kwa sababu alikuwa anapigania haki dhidi ya wahuni!Hujui tofauti kati ya mfungwa na mahabusu????
Sijui ulisoma shule ya kata wapi????
Mandela ni binadamu mbowe ni binadamu hapo napo huelewi?
Sijalinganisha mtu na mavi mm ??
Magufuli na Samia wote ni madikteta au mashetaniMandela alifungwa kwa sababu alikuwa anapigania haki dhidi ya wahuni!
Mbowe yupo mahabusu sababu ya kupigania tumbo lake!
Halafu mandela alikuwa na watu nyuma yake walikufa kwa maelfu wakipigania haki zao. Vipi huyu gaidi wenu wafuasi wake wako wapi? Twitter? [emoji205][emoji205][emoji205]
Na hata dereva wake hakuna hata iliyomchubua hata ngozi tu.mlimimina risasa kibao kwa Tal,zikamwingia mwilini 16 hata hizo hakuna hata moja ilichana mshipa wa fahamu
Hujui chochote kuhusu historia ya wapigania haki wewe. DARASA la saba.Mandela alifungwa kwa sababu alikuwa anapigania haki dhidi ya wahuni!
Mbowe yupo mahabusu sababu ya kupigania tumbo lake!
Halafu mandela alikuwa na watu nyuma yake walikufa kwa maelfu wakipigania haki zao. Vipi huyu gaidi wenu wafuasi wake wako wapi? Twitter? [emoji205][emoji205][emoji205]
🤣🤣🤣 Pumbavu sana wewe,hahahaaaMahakama hizi hizi za Tanganga yule beki wa Tottenham, na mbege za Rau Madukani?