aikaruwa1983
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,398
- 1,500
hahaaa sikupanga Ku comment lakini katika hili hapan aisee"" kweli wamelewa sifa ..,naona bimkubwa amekuwa queen of sheba!?....ama miriam makeba !?Ohoo tandale wamelewa sifa
View attachment 721123
Nani anatumia id yako hapa mkuu.Yuko mtu mmoja tu anayeweza kuamua na jambo likatekelezeka...na ninajua wakati ukifika ataamua na kutoa maelekezo na Tanzania haitaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu....Muda huo utafika soon or little later ila ni lazima utafika tu.
hiyo haiwezi kuwa sababu yakuidharau mamlaka....wamjua Michael Jackson alikuwa nimtu Mwenye power kubwa mnooo wakti wa uhai wake ..lakini alipokutwa na tuhuma za ubakaji aliburuzwa mahakamani kama kawa..na zile kesi zilimuharibia mnooo status yake ..mwisho wasiku akashuka kiuchumi kwa kasi haswaaa ..ijapokuwa kuna msemo usemao tembo akikonda hawezi kiwa ndama...lakini serikali ilimuonyesha jeuri yakeHili lilikuwa limeniptia. Kuna ukweli hapo?
Kama ndiyo Wizara ilifaa impesapoti kubwa na hasa ya Utalii. cc @ Mhe.Kigwangwala
Watu tumesugua bench ccm hata Katibu mwenezi wilaya hatujawi Patafungua mada nyingine hii haina uhusiano na hoja zake..
Diamond na team yake sio wajinga,kuna jambo kubwa nyuma ya Pazia usiwe mwepesi wa kuhukumu,time will tell then utakuja kukana kauli yako kuhusu Chibu D Chibude kuwa mtovu wa nidhamu kuna mchezo mkuba sana unachezwa na Shonza kaingia kichwa kichwa.Mimi ni shabiki wake Diamond lakini kwenye hili kateleza sana tena yeye ndio alitakiwa kuwa wa kwanza kwenda BASATA kufatilia jambo lake kama wenzie....kumjibu vile waziri kwakweli tena kwa kejeli na majigambo vile sio jambo jema....
Huyo shonza afukuzwe kwenye Chama chetu
Haiwezekan apate uwaziri wakati ameingia Juzi tu ndani ya Chama chetu
Audio ina tatizo gani? Na ile haleluya video ina tatizo gani? Naona umeuvaa uccm sasa.Hebu nieleze jinsi Clouds wanavyo muangusha au mshusha Diamond....
Kwa hiyo video za diamond hazina tatizo?
hiyo haiwezi kuwa sababu yakuidharau mamlaka....wamjua Michael Jackson alikuwa nimtu Mwenye power kubwa mnooo wakti wa uhai wake ..lakini alipokutwa na tuhuma za ubakaji aliburuzwa mahakamani kama kawa..na zile kesi zilimuharibia mnooo status yake ..mwisho wasiku akashuka kiuchumi kwa kasi haswaaa ..ijapokuwa kuna msemo usemao tembo akikonda hawezi kiwa ndama...lakini serikali ilimuonyesha jeuri yake