Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

Huyo shonza afukuzwe kwenye Chama chetu
Haiwezekan apate uwaziri wakati ameingia Juzi tu ndani ya Chama chetu
 
Yuko mtu mmoja tu anayeweza kuamua na jambo likatekelezeka...na ninajua wakati ukifika ataamua na kutoa maelekezo na Tanzania haitaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu....Muda huo utafika soon or little later ila ni lazima utafika tu.
Nani anatumia id yako hapa mkuu.
Sikutegemea
 
Hili lilikuwa limeniptia. Kuna ukweli hapo?
Kama ndiyo Wizara ilifaa impesapoti kubwa na hasa ya Utalii. cc @ Mhe.Kigwangwala
hiyo haiwezi kuwa sababu yakuidharau mamlaka....wamjua Michael Jackson alikuwa nimtu Mwenye power kubwa mnooo wakti wa uhai wake ..lakini alipokutwa na tuhuma za ubakaji aliburuzwa mahakamani kama kawa..na zile kesi zilimuharibia mnooo status yake ..mwisho wasiku akashuka kiuchumi kwa kasi haswaaa ..ijapokuwa kuna msemo usemao tembo akikonda hawezi kiwa ndama...lakini serikali ilimuonyesha jeuri yake
 
Yani apa nasubiri na Baba jesca atie neno lake kuhusu huo mtanange
 
from the first time le mutuz anaandika hoja yenye mashiko ...
point kutu kabisa...
Hebu nieleze jinsi Clouds wanavyo muangusha au mshusha Diamond....
Kwa hiyo video za diamond hazina tatizo?
 
Mimi ni shabiki wake Diamond lakini kwenye hili kateleza sana tena yeye ndio alitakiwa kuwa wa kwanza kwenda BASATA kufatilia jambo lake kama wenzie....kumjibu vile waziri kwakweli tena kwa kejeli na majigambo vile sio jambo jema....
Diamond na team yake sio wajinga,kuna jambo kubwa nyuma ya Pazia usiwe mwepesi wa kuhukumu,time will tell then utakuja kukana kauli yako kuhusu Chibu D Chibude kuwa mtovu wa nidhamu kuna mchezo mkuba sana unachezwa na Shonza kaingia kichwa kichwa.
 
Kutunishiana misuli na serikali kutamponza Dayamondi na wapambe nuksi Kama let mutuz ni nuksi tu
 
hiyo haiwezi kuwa sababu yakuidharau mamlaka....wamjua Michael Jackson alikuwa nimtu Mwenye power kubwa mnooo wakti wa uhai wake ..lakini alipokutwa na tuhuma za ubakaji aliburuzwa mahakamani kama kawa..na zile kesi zilimuharibia mnooo status yake ..mwisho wasiku akashuka kiuchumi kwa kasi haswaaa ..ijapokuwa kuna msemo usemao tembo akikonda hawezi kiwa ndama...lakini serikali ilimuonyesha jeuri yake

Soma vizuri! Zile zilikuwa njama! Hata hili sakata kunauwezekano wa Njama za Kimasilahi. La Jackson siyo la Wengine. Duniani kila mmoja na riziki zake-Muumba hutoa nafasi kwa Kila mmoja kwa wakati na zama zake.
 
Back
Top Bottom