Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

Sio jambo la kushangaza ukisikia bado kuna watoto wa kiume sio wa kiume.
Naibu Wazir asiyejua uchungu wa kuomba kura anageuka kuwa malkia wa nguvu kuwashinda majasiri waliohama kwa ridhaa zao bila kufukuzwa na wakashinda kwenye box mpaka mahakamani.
 
Inagawa Sipendi malumbano na Wala simfagilii Diamond Kwa Tabia zake kabisa,ila Leo nimegundua kuwa Kumbe wewe una akili za Kikubwa....
Kumbe wewe ni Mkubwa huna akili za kitoto[emoji14] [emoji14] [emoji6] [emoji6]
Mzigua90
Unatongoza kiaina, wajanja tushakustukia.
 
Si Dhabi kama ni sahihi yeye ni waziri na snatekeleza wajibu wake
 
wakimpa huo umalkia wa nguvu bongo fleva mbona itakoma! maana atajiona yuko right kwenye maamuzi yake yote.
 
Marehemu Mbaraka Mwishehe aliamua kuondoka Tanzania na kuishi Kenya Mauti yalipomfika.!
sijui sana kuhusu Simba wa Nyika na less Wanyika.
Kulikuwa na Tetesi za Rose Muhando pia kuhamia Kenya.!
Nimemsikia Diamond platnumz pia akisema kama hali itaendelea hivi bora ahamie Nchi nyingine afanyie muziki wake huko.!
nikakumbuka nyakati zile tulipotaka kuinuka kisoka kwa Timu yetu ya Taifa kufanya vema chini ya Maxio Maximo wakainuka viwavi jeshi na kuangusha morali ya kocha na timu yenyewe!
Leo hii hatuna la kujivunia...

INAKERA NA INAUMIZA MOYO SANA..
NCHI HII HATUFAI KUWA NA VITU VIZURI. ??

Kwanini hatuwezi kuwaenzi nyota wanazaliwa kwetu? Wivu majungu unafiki na chuki zisizo na maana kila kukicha.! Ukimlaumu Diamond kwa sifa anazopata je wewe umemsaidia kutengeneza hizo sifa za jina lake? Au kazitengeneza mwenyewe?

Tumekuwa na lundo la wasanii wa muziki wa Kizazi kipya tangu enzi hizo je yupo yoyote aliyefikia sehemu alipo Abdul Nasib leo?

Tuna kizazj cha watu wa ajabu kwelikweli..
Mkuu mm kama mtz nimegundua alietuloga bado yupo tena anachochea kabisa.
Saa nyingine unajiuliza huu unafiki unatoka wapi jamani!!!? Hapa mtu anashupaa kabisa ooh mnatuaribia watoto na video zenu.
Ukimfatilia vizuri unagundua kumbe nyumbani kwake ana DSTV ambayo chanel zingine zina onyesha video kama hiz ama zaidi ya hiz zilizofungiwa.
Au yeye mwenyewe mavaz yake ni zaid ya hiz videos. Mkuu hatariiii sana twende hivo hivo tu.
 
Mods bwana! Yaani mme-edit kapost kangu, lakini kuna mtu alika-quote, sijui hamjakaona?
 
eti anasema ....halafu anayokea mwanamke mmoja hajui umetafuta vipi Pesa kisha anakuja kufngia nyimbo "" na blaaaaah blaaah kibao ...kumbe hoja yake nikwakuwa zilifngiwa na mwanamke ...ila zingefungiwa na mwanaume angekausha....yule Jamaa bhana hana washauri aiseeee
Ahahaaaaaaaaaaah...
Wewe jamaa bhana..!
Hivi alikufanya nini huyu kijana,usiseme kwamba unamkosoa kwasababu amekosea coz natambua hilo..!
Ila ukosoaji wako sasa,ni kama una tatizo binafsi na huyu kijana..!

PLS: Usinitukane,ni mtazamo tu..!
 
Nani atathubutu kufungia nyimbo zinazopaswa zifungwe za Diamond, watu wana akili mnoo. Kinachopiganiwa kingine zaidi ya tunachokiona. ni mawazo yangu tu.
 
Mkuu na wewe unaunga mkono ? Hivi Shonza wakati anahamia ccm, act ilikiawepo? Maana naona mwandishi anasema watu walitegemea angeenda act wakati kumbukumbu zangh zinaonyesha tofauti.
Mkuu kuanzisha chama ni mchakato!
 
Huyu Diamond anadharau sana wana wake, Please mfungieni kabisa asifanye music,... Alivyosema anatokea "mwanamke mmoja hajui pesa unatafuta vipi anakuja kufungia nyimbo..." hii ni dharau ya kiwango cha juu, amedharau serikali, amedharau mamlaka,
 
Ahahaaaaaaaaaaah...
Wewe jamaa bhana..!
Hivi alikufanya nini huyu kijana,usiseme kwamba unamkosoa kwasababu amekosea coz natambua hilo..!
Ila ukosoaji wako sasa,ni kama una tatizo binafsi na huyu kijana..!

PLS: Usinitukane,ni mtazamo tu..!
sio kweli mkuu umenielewa tofauti na wala siwezi kukutukana kwa sababu nihaki yako kuwa na Mawazo tofauti dhidi yngu ...hatuwezi kuwa sawa kimitazamo ...nakumbuka tulishawahi kufnya covo mimi nawew kuhusu huyu mtu nanilikwambia kuhusu udhaifu wake then finaly ulinielewa .....sasa mimi nilitegemea kuona leo ukinielewa zaidi kwa sbabu kile nilichokuwa nimekwambia kuhusu tabia ya mentor wko leo kimejionyesha "" dhahiri kabisaaa tena bahati nzuri iliyoje kwa upnde wangu na wew umekiri kuwa nikweli amekosea""" huoni kuwa nastahiki pongezi juu ykile nilichokuwa na kueleza ..kabla yakunitolea shutuma nakuniambia kuwa cjui alinikosea nini ulipaswa kunipa pongezi dhidi ya ule mtazamo wangu ambao leo umejidhihirisha kwako """
.anyway ngoja nikujibu hoja yko ....Jamaa yko hajawahi nikosea kitu"" nahata kama ingekuwa amewahi kunikosea basiii nisingekuwa na kinyongo nae ...kwasbabu mpka sasa nimeshawakosea watu wengi na kukosewa na watu wengi lakini wengi kati ya hao Niko peace nao tu ""
kinachonifnya niwe tofauti kimitazamo na huyo Jamaa yko nihiyo tabia yake ambayo nadhani leo hii umeanza kuona inapompeleka """ mimi sio muumini wa majigambo ..dharau. kejeli .mpenda ngono ..matusi . na majivuno ..so usije kutaraj kuniona nikiwa naunga mkono mambo yenye mfanano wa tabia kama hzo ......asante
 
Huyu Diamond anadharau sana wana wake, Please mfungieni kabisa asifanye music,... Alivyosema anatokea "mwanamke mmoja hajui pesa unatafuta vipi anakuja kufungia nyimbo..." hii ni dharau ya kiwango cha juu, amedharau serikali, amedharau mamlaka,
Hahahahah,.dimondi konyo kweli
 
Back
Top Bottom