Tuhuma za JWTZ kupiga raia huko Kawe: Tunaomba Waziri wa Ulinzi ajitokezee kukemea, kulaani, na kukataza jeshi kujichukulia sheria mkononi

Hakuna wasichikijua hao unao washauri unapoteza muda tu.
 
Sahau kama kuna waziri au hata Rais wa nchi anayeweza kujitokeza hadharani akalikemea jeshi. Siyo Tanzania tu, dunia nzima.

Sana watakaa chini na wakuu wa jeshi, yamalizwe kidiplomasia. Usiwe na wasiwasi.
Ni hatari sana 😂😂😂
 
Lema alisema kazi ya bodaboda ni laana na hii ilitokana na matukio mengi ya uhalifu yanayofanywa kila siku na hao vijana wasioogopa wala kuheshimu sheria za nchi.
 
Sio Rahisi Kama unavofikiria waulize wataalam wa Maswala ya kiusalama watakuambia Kama Ni Rahisi kiasi hicho Askari ambao tayari walishazoea kupokea mishahara alafu Leo hii uwafukuze waingie street njaa ya Mwezi mmoja tu utaanza kusikia Matukio ambayo jamii ilikuwa imepumzika nayo.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Tuhuma au wamekong'otwa?
 
Nidhamu iatawekwa na kufuatwa.....
Kama itaachwa hivyo kwamba amemuua mwanajeshi na hajafanywa chochote...Kesho itakuwa wewe
Kila mtu ananidham kwa tukio hilo nani hana nidham Kati ya mwanajeshi na uyo dogo?Maana mwanajeshi ameombwa njia then anaenda kumpiga mtu makuofi hata kama unanidham utaweza kuvumilia? Kila mtu anatembea na matatizo yake kichwani
 
Sasa unataka nini ? Raia wamechokoza geshi? ...tuwe subira yatapita ni upepo mbaya tuuu.......karibu kambini tuyajenge
Usifurahie hali ya jeshi kugombana na raia, watakuja kuzalishwa Majasusi wa hatari kutoka uraiani, Jasusi unacheka nae,unakula nae kumbe yuko kwa mission!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…