Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha: Wabunge wa CHADEMA waanza kuhojiwa TAKUKURU

Hii unaandika ni upuuzi
 
Hapa ndo hua nachoka. Mbadala wa Ccm hua ni chama gani kwa Tanzania yetu!
 
Na leo hii yule bosi wa fire waliye msimamisha kwa machachali kwa ubadhilifu kasamehewa na kuahidiwa kupewa kazi nyingine
 
Safi sana
Nyongo ipi wao wanajua walikatwa fedha za mchango kama katiba invyosema lakini hawajui matumizi ya fedha hizo anaejua ni muhasibu ndio anatakiwa kukaguliwa
 
Mkuu labda niulize; hawa JWTZ licha ya kumilikiwa na CCM wamewezaje kujinasua na makucha yao?
Historia inaibeba JWTZ. Baada ya kumkosakosa Baba Makongoro mwaka 1964 lilibadirishwa kabisa kimuundo na kimafunzo ili kujikita zaidi kitaifa kuliko maslahi ya Chama.

Polisi, TISS na Magereza yapo vilevile kama yalivyorithiwa toka kwa mkoloni. Wapo kimaslahi kwa aliye madarakani.
 
😁😁😁😂😀😁

Nimekubali.

Lkn mbona 2001 Zenji inasemekana tofauti?
 
Wachaga kila kwenye upigaji wapi.

Na Mbowe akipona jeraha la kuanguka kwenye ulevi ataitwa Takukuru??
 
tulia dawa ikuingie acha kupapasa matako,
 
swali la msingi ni je? ww unaweza kuishi na mke alaf awe ana hudumia watu wa nje huduma kama unazopewa wewe?? ukishajijibu ndo utajua kwann ukiwa mpinzan utaona kila chombo kinafanya kaz kwa maslah ya silikale
 
Faida za TAKUKURU ni zipi? Ikiwa tangu iwepo Rushwa na ufisadi haijawahi kupungua? Pili hawa TAKUKURU walishasema aliyekuwa waziri wa mambo yandani kabla ya Simbachawene ana kesi ya uhujumu uchumi walishampeleka mahakamani?.Hapa kuna harufu ya siasa tena kubwa sio ndogo.
Siku tukiacha siasa kwa kila jambo tutafanikiwa tena sana.Siasa ni muhimu kwa maisha yetu lkn tusiingize siasa na sehemu zisizo hitaji siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…