Tuhuma za P-Diddy: Diamond Platnumz alifanywa nini na P-Diddy ambacho anaona aibu kusema mbele ya kamera?

Naomba kuuliza hivi didy kwenye hizo tuzo za grammy yeye anahusika vipi ana power gani?

Power inatokana na ushawishi mkuu alionao mkuu, hao watu wapo kwenye game miaka mingi sana na wana wela ndefu pamoja na connection na watu wazito kwenye mfumo mzima wa hio sanaa yao, usktute pengine nusu ya wahusika wa hizo tunzo either ni washkaji zake au ana uwezo wa kupenyeza rupia na aka influence anachotaka.
 
Bora asiseme😭
 
Huyo angekuwa ameshafanya hiko kitendo,angekuwa amepata Grammy kama wenzake wa West.

Ambaye inasemekana amebanduliwa na Didy ni the giant,bwana burna boy.

Ukikataa akufanye hiko kitendo basi jua kamwe huwezi kupata hiyo tuzo ya Grammy.
Kwani tuzo za grammy diddy ndie mmiliki?
Curious to know
 
Diamond alisema tu mambo mengine aliyoyaona kule ( labda) haifai kuyazungumza hadharani.
Hakusema yeye alifanywa chochote.
Na kama yeye alifanywa jambo baya,asizungumze.
Ni ujinga kwa watu kumpongeza mtu kwa kutoka hadharani kusema alivyodhalilishwa.
Kama mtu anataka kuongea mambo hayo,iwe uamuzi wake.
 
Dah MUNGU asamehe kizazi hiki
 
Huyo angekuwa ameshafanya hiko kitendo,angekuwa amepata Grammy kama wenzake wa West.

Ambaye inasemekana amebanduliwa na Didy ni the giant,bwana burna boy.

Ukikataa akufanye hiko kitendo basi jua kamwe huwezi kupata hiyo tuzo ya Grammy.
Domo anavyopenda sofa unaweza kukuta kafanywa kitambo
 
Uganda kuna mmmoja nikiwa kule tukawa tunapenda sana kwenda na shemeji yako wa kule

Tuukajuana mmmh uwezi amini siku niko na bintmu7 akaenda choonii akaja akaongea amambo ya aibu niko pemben na mwanaoo

Ur lkn....
Nyokonyoko kibao
Miss u. Na n mwanaume

Aisee

Si ahamu nao mpaka kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…