Tuhuma za Rostam Aziz zichunguzwe. Wawekezaji walikuwa wanaikimbia Tanzania na kama tusingewapokea ungekuwa ujinga

Tuhuma za Rostam Aziz zichunguzwe. Wawekezaji walikuwa wanaikimbia Tanzania na kama tusingewapokea ungekuwa ujinga

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jamaa anasema alitaka kuwekeza $130 million halafu akazinguliwa, kha kwa namna tunawahitaji wawekezaji na kuwabembeleza kwa kila namna hainiingii akilini huyo Mhindi alitaka kuwekeza hela yote hiyo tukamtupia nje, ichunguzwe kwenye ngazi zote.

Ikumbukwe kwa kipindi cha JPM wawekezaji wengi walipitia magumu sana kule Tanzania na wengi walikua wanatamani kuhamisha biashara zao.

Rais aingilie kati na kuupata ukweli wa nini haswa kilitendeka, aidha jamaa yamkini alitaka too much special treatment kwa mgongo wa kujiita Mtanzania, au sijui nini aisei, ifuatiliwe, chondechonde mheshimiwa rais mualike huyo jamaa ikulu kimya kimya upate kuujua ukweli.

 
Huyo anajua kuwa Rostam siyo mhindi, ila anachofanya humu JF ni propaganda na uzushi dhidi ya TZ Kama ambavyo amekuwa akifanya siku zote, kwa hiyo ni mpumbavu na mjinga pamoja, siyo tusi ndizo sifa alizonazo huyo MK254.

Hana tofauti na Citizen TV ya Kenya inayotangaza habari za uzushi kuwa Rais Samia eti amewaachia wanaosemekana ni wafungwa wa kisiasa 23..ukweli ni kuwa Rais Samia hajawahi kuwaachia wafungwa wa kisiasa 23.

Halafu Tanzania Haina wafungwa wa kisiasa ni habari za uzushi. Kwahiyo Citizen TV Kuna Baadhi ni waongo, wazushi na washenzi, uncivilized, wanatunga habari za uongo, halafu eti wanadai huko Kenya Kuna freedom of the press. Ukweli ni kuwa Kuna uzushi unsoitwa freedom.of the press.
 
Mikenya kweli minyang'au na mibaguzi! Umeshindwa hata kuiuliza google ikwambie Rostam ni Mtanzania na si mhindi? No wonder mpaka mkachinjana kwa ajili ya wanasiasa. Laana ya ubaguzi itawatafuna milele msipoangalia.

Huyo Rostam alikuwa mpigaji tu enzi zile Tz ni shamba la bibi. Ni huyo JPM anayewanyima usingizi aliyemfanya mpaka akaanza kufanya real investments kwa kujenga tenery na depot ya LPG pale Kigamboni. Huo mradi wa LPG ndiyo alitaka kujenga pia Kenya ila kwa roho zenu za korosho mkamzingua kama mlivyomzingua azam.

Wajinga sana nyinyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Get a reliable News from my favorite TV station, there in KENYA 🇰🇪
 
We should not be turning down an investor all willy nilly. We need his money and jobs.
 
Mikenya kweli minyang'au na mibaguzi! Umeshindwa hata kuiuliza google ikwambie Rostam ni Mtanzania na si mhindi? No wonder mpaka mkachinjana kwa ajili ya wanasiasa. Laana ya ubaguzi itawatafuna milele msipoangalia.

Huyo Rostam alikuwa mpigaji tu enzi zile Tz ni shamba la bibi. Ni huyo JPM anayewanyima usingizi aliyemfanya mpaka akaanza kufanya real investments kwa kujenga tenery na depot ya LPG pale Kigamboni. Huo mradi wa LPG ndiyo alitaka kujenga pia Kenya ila kwa roho zenu za korosho mkamzingua kama mlivyomzingua azam.

Wajinga sana nyinyi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tumemaliza kesi kwa NairobiWalker kuwafariji kwamba huyo Rostam ni Msukuma wa Mwanza. Sema tu wewe Msukuma mweusi nenda ujaribu kuoa binti wake hata kama unamiliki migodi na unazo hela kama zote, au kama vipi jaribu kuoa mhindi yeyote hapo Bongo hata kwa wasio matajiri, yaani wale wenye maduka tu hapo mjini. Hehehehe!

Wenyewe mnakiri ni mpigaji, hivyo lazima kuna sababu kwanini kazuiwa, hapa Kenya huwa tunawakaribsha sana wawekezaji, tunawahitaji, tuna kiu yao, ila ukiwa kajanja inabidi upigwe pini.

Tatizo Wahindi na Waarabu wametafuna sana Tanzania na kuifanya shamba la bibi hadi nyie wengine wote mumeachwa kuwa maskini wa kutupwa, wao ndio wanamiliki uchumi, ukiangalia matajiri kumi bora Tanzania ni hao hao Wahindi na Waarabu huchuma wakielekeza kwao Bombay, sasa tatizo wakija Kenya wanategemea tuwe mazwazwa pia, ila wanakuta tupo macho, inabidi wabaki huko Bongo.
 
MK254 nchi zetu za Kiafrika unazijua kwa rushwa, zinafanana. Sitashangaa sana nikisikia kuna baadhi ya watendaji wa serikali ya Kenya walitaka "KITU KIDOGO" kwanza ndipo wamruhusu Rostam Aziz kuwekeza mtaji wake Kenya. Hio ipo Tanzania pia, tuna Tanzania Ivvestment Centre (TIC), hawa wamekuwa kikwazo kwa watu wanaotaka kuwekeza, kwa kuwapatia masharti mengi sana ya biashara na kuwaomba rushwa baadhi ya wawekezaji. Hili lipo. Naamini hata Kenya huenda shida iliku ni hio tu.
 
a125c2fdcadae2a2414e92e0f53da694.png

Have your FREE PASS TICKET with MASHCOOL [ MASHIKU or MAZIKU in SUKUMA pronunciation ] wherever you are in KENYA 🇰🇪.

Nairobi - Nakuru - Kisumu - Busia - Jinja - Kampala daily at 7:00AM.

Kampala - Nairobi daily at 7:00PM.

Please book online at mashpoa.com

Border requirements are a negative covid-19 certificate, yellow fever certificate and national ID or passport.
 
Ila huyo jamaa ni mwizi na fisadi mkubwa sana. Utajiri wake kaupata kwa njia za haramu kwa kujiweka karibu na Viongozi wa ccm na Serikali.
Awamu hii alidhibitiwa vilivyo na yule mwingine kwa jina somaiya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
We should not be turning down an investor all willy billy. We need his money and jobs.

Huyu siyo mtu wa kuwa karibu naye. Na kama unafanya hivyo inabidi kwa umakini sana. Awamu hii ilimdhibiti sana. Lkn sasa naona anaanza kujipenyeza na kwa hawa jamaa waliopo nahisi tunaanza kurudi kule tulikotoka.

Pumzika kwa amani Jembe😭😭😭
 
siamini kama uzi huu umeandikwa na mkenya
If only these dudes in here will have known where is the source of all these regional trade problems is they would have faced the likes of Uhuru for protectionism and stop crying for a lift of working permits in Tanzania! GoK should stop being protectionist that 130 mln investment in gas from Taifa gas would have created at least 1000 jobs for Kenyans! Mind u Azam Bakhresa regional largest milling company and could not get a permit to open a milling plant in Mombasa and instead they went to Durban, Harare and opened their business there!

After this..




The good thing is they are importing maize for Kenya markets a thing that doesn't create jobs for kenyans

Firms behind maize import

SMART HARVEST

By Moses Michira | May 15th 2017​

mxgved3t7nezgrcx1f75918aaf0cb777.jpg

MV IVS Pine Hurst docked with 29,000 tonnes of duty-free maize. [Maarufu Mohamed, Standard]

Nairobi-based billionaire Naushad Merali is linked to the firm that imported the maize that arrived in Mombasa on Thursday.
Agriculture Cabinet Secretary Willy Bett yesterday said Holbud Limited imported 29,900 tonnes of maize, from Mexico.
"I have looked at the manifest of the ship and I have been told that the importer is Holbud," Mr Bett told reporters outside the Grain Bulk Handlers terminal, where the maize was to be received.

The Government has said an additional 30,000 tonnes of maize was expected in two weeks as part of measures to reduce the price of maize flour. However, it is not clear who the importers of this second consignment are.

The total consignment, which is worth about Sh3 billion, is expected to bring down runaway retail maize prices.

Holbud, a United Kingdom company, was at one time awarded a controversial Sh6 billion tender to supply fertiliser on behalf of the Ministry of Agriculture.

Members of the National Assembly's Committee on Agriculture demanded to see Mr Merali during investigations involving the 21,000 tonnes of fertiliser delivered by Holbud.

The committee later cleared the deal and dismissed the quality concerns raised by Kenya Bureau of Standards with a caution that the State should only restrict periods for such large tenders to one-year rather than the three-years given to Holbud Ltd.

Pembe Millers
Holbud, whose chief executive is listed as Hasanain Merali, is described as an international firm that deals in commodities including grains and is a commercial manager of cargo ships and commercial properties, property letting, and share dealing.

Shipping documents seen by The Standard show that four firms bought the maize from Holbud, including Pembe Millers and Kitui Millers.

The other two are Tanzanian-owned Bakhresa Grain Milling and Hydery (P) Ltd.

Bakhresa Grain Milling was reported to have been putting up a Sh5 billion plant in Mariakani, Mombasa, two years ago but it was not immediately possible to determine whether the plant was completed.

Official documents indicate that Hydery (P) Ltd was incorporated more than five years ago as a commodity trading company with nine directors.

Naushad Akberali Merali (not Kenyan business mogul Naushad Noorali Merali) and Roshanali Akberali Merali are among the shareholders of Hydery (P) Ltd. Holbud Ltd, on the other hand, has six directors including Shaukat Akberali Merali and Gulamali Masumali Merali.

Efforts to determine how the directors of either firm were related, the surnames notwithstanding, failed.

From Mr Bett's speech, it is difficult to determine whether Holbud Ltd was the seller, transporter, or simply the importer – with Hydery (P), Bakhresa Grain, Pembe, and Kitui Millers its customers.

Insiders also said that the journey of IVS Pinehurst - the ship ferrying the 29,990 tonnes of maize - to Mombasa started in Durban.

Tracking tools indicate that the vessel departed Port Louis, Mauritius, on April 19 at about 7am Kenyan time, heading to Durban.

It arrived at the South African port city on April 28 at 5am Kenyan time before the cargo was loaded and its journey to Mombasa kicked off.

Some accounts suggest that the vessel picked up the cargo from Durban after another freighter had delivered it there earlier. It was received in Mombasa on Thursday.


Moreover bakhresa is also behind sugar and wheat imports in Kenya from Uganda

Bakhresa Grain Milling (Kenya) Ltd​

Bakhresa Grain Milling Kenya Ltd

This Company was registered in 2003 and has been set up and established initially as a vehicle from which to import Wheat Bran from Bakhresa’s Uganda operation and to re-export this to the international markets. The operation is also involved with commodity trading in

In the next phase of the companies development, Bakhresa Grain Milling Kenya Ltd is to establish a 750 Metric Ton per day capacity Mill over the course of the next 12 to 14 months and will commence it’s operations in 2014

 
MK254 nchi zetu za Kiafrika unazijua kwa rushwa, zinafanana. Sitashangaa sana nikisikia kuna baadhi ya watendaji wa serikali ya Kenya walitaka "KITU KIDOGO" kwanza ndipo wamruhusu Rostam Aziz kuwekeza mtaji wake Kenya. Hio ipo Tanzania pia, tuna Tanzania Ivvestment Centre (TIC), hawa wamekuwa kikwazo kwa watu wanaotaka kuwekeza, kwa kuwapatia masharti mengi sana ya biashara na kuwaomba rushwa baadhi ya wawekezaji. Hili lipo. Naamini hata Kenya huenda shida iliku ni hio tu.

Labda kuna makando kando mengine yamesababisha lakini sidhani rushwa itamzuia huyo jamaa kuwekeza, mtu aliyezoea kuwekeza kwenye mojawapo wa mataifa ya Kiafrika hawezi akashindwa kuwekeza Kenya kisa rushwa maana ni tatizo la kote na lazima aliyajua hayo, kwanza huyo hapo anasema alikua na access ya rais Uhuru moja kwa moja. Anyway tusubiri kitaeleweka maana hiyo hela ni ndefu, hainingii akili akataliwe kuwekeza hela yote hiyo kizembe bila ya mengine nyuma ya pazia.

Kenya tumepindisha pindisha na kugeuza sheria ili kuandaa mazingira rafiki kwa wawekezaji, tumekua tukiwavutia hata kwa kubembeleza, iweje tukatalie hela yote hiyo.....
 
Back
Top Bottom