Tuhuma za Rostam Aziz zichunguzwe. Wawekezaji walikuwa wanaikimbia Tanzania na kama tusingewapokea ungekuwa ujinga

Labda kuna makando kando mengine yamesababisha lakini sidhani rushwa itamzuia huyo jamaa kuwekeza, mtu aliyezoea kuwekeza kwenye mojawapo wa mataifa ya Kiafrika hawezi akashindwa kuwekeza Kenya kisa rushwa maana ni tatizo la kote na lazima aliyajua hayo, kwanza huyo hapo anasema alikua na access ya rais Uhuru moja kwa moja. Anyway tusubiri kitaeleweka maana hiyo hela ni ndefu, hainingii akili akataliwe kuwekeza hela yote hiyo kizembe bila ya mengine nyuma ya pazia.

Kenya tumepindisha pindisha na kugeuza sheria ili kuandaa mazingira rafiki kwa wawekezaji, tumekua tukiwavutia hata kwa kubembeleza, iweje tukatalie hela yote hiyo.....
Rushwa Kenya imekithiri na pia tatizo la kuwa na wafanyabiashara madarakani wanaishia kulinda maslahi ya kampuni zao, hawataki ushindani!

Business mogul Dangote faults Kenya over corruption​

Business mogul Dangote faults Kenya over corruption

By Africanews
Last updated: 07/04/2018

KENYA

Africa’s richest man Aliko Dangote has faulted Kenya’s leadership for their greed and persistent failure to place matters of national interest first when it comes to development.

Speaking to a renowned Kenyan journalist Jeff Koinange, he shelved his plans to build a mega cement factory in Kenya after being put off by top decision makers in the country whom he described as “more corrupt than Nigerians.”

Speaking on his breakfast show in a local FM station, Jeff shared a private conversation he had with Dangote when he attended the billionaire’s daughter’s wedding in Nigeria last month.

“I asked him, ‘Al Hajj when are you coming back to Kenya?’ and he said ‘Jeff, there are people in that place (Kenya) who put greed and personal interest ahead of national interest. I didn’t think Kenya would be more corrupt that Nigeria.‘” Koinange narrated on air.

Dangote, who has been estimated to be Sh1.5 trillion by Forbes, visited Kenya in September 2013 as part of a high-powered delegation of 50 wealthy Nigerian businessmen accompany the country’s then president President Goodluck Jonathan.

The Nigerian tycoon recently pushed the factory’s entry to Kenya to 2021, having earlier planned to build a cement factory in the local market next year.

Dangote is widely known for using lower pricing to gain market share in new markets and its delayed entry will give some reprieve to existing players in a market that is already witnessing stiff competition.

Kwa jinsi ninavyoijuwa Kenya itakuwa walimuomba rushwa kubwa rostam .
 
Watoto Azzi alizaliwa igunga Tabora akamza Rostamu. Akawa mbunge wa igunga kwa miaka 15 ni mwanachama wa CCM tangu 1977 akiwa shule. Anakifaamu kinyamwezi kuliko wananyamwezi wa kisasa. Utajiri wa Rostam aliupata kwa baba yake kuhuza asali na tumbaku
 
Rostam Aziz hana nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Ni mwekezaji Tanzania na dollar bilionea tangu 2013. Amewekeza katika nishati na madini kwa muda mrefu. Amekuwa kada wa ccm ile ya magamba, na amewahi kuwa mhasibu wa ccm na mbunge wa jimbo la kwo igunga. ni kati ya wale mafisadi papa waliosumbua tanzania. Magufuri aliwanyoosha wakaanza kuwekeza na kuanza kulipa kodi za serikali
rostam-pic-data.jpg
 
Ila huyo jamaa ni mwizi na fisadi mkubwa sana. Utajiri wake kaupata kwa njia za haramu kwa kujiweka karibu na Viongozi wa ccm na Serikali.
Rostam kaingia kwenye siasa tayari akiwa na noti, baada ya kifo cha mbunge Charles shija kabeho jamaa alikuwa bado yanki tu naalikuwa anabiashara zake kwenye migodi mikubwatu hapa nchini.
 
Rostam kwao Tabora maeneo ya Mwisi jirani na sehemu paitwapo Nkinga pia, jamaa ni mburushi.

Naomba kufahamu kama kuna yeyote kwenye ukoo wake ambaye ameolewa au kuoa Mtanganyika mweusi.....
Yale yale tu...
 
Ila huyo jamaa ni mwizi na fisadi mkubwa sana. Utajiri wake kaupata kwa njia za haramu kwa kujiweka karibu na Viongozi wa ccm na Serikali.
UTAPELI ulianzia kwa WATU WEUPE, ndio ukaja AFRIKA. Kwahiyo hawa wenzetu wana njia nyingi sana za kujipatia fedha, hivyo inakupasa hata wewe kuwa makini.
 
Huyu siye miongoni waliotajwa kwenye List of Shame (Mafisadi) pale Mwembeyanga na Dr.Slaa?
Kama sikosei huyu ni mmoja wa Mafisadi ambao wameihujumu Tanzania kwa miaka mingi! Kwa hiyo kwa Mwendazake asingefurukuta kufanya hayo.
 
Tumemaliza kesi kwa NairobiWalker kuwafariji kwamba huyo Rostam ni Msukuma wa Mwanza....... sema tu wewe Msukuma mweusi nenda ujaribu kuoa binti wake hata kama unamiliki migodi na unazo hela kama zote, au kama vipi jaribu kuoa mhindi yeyote hapo Bongo hata kwa wasio matajiri, yaani wale wenye maduka tu hapo mjini....hehehehe

Wenyewe mnakiri ni mpigaji, hivyo lazima kuna sababu kwanini kazuiwa, hapa Kenya huwa tunawakaribsha sana wawekezaji, tunawahitaji, tuna kiu yao, ila ukiwa kajanja inabidi upigwe pini.
Tatizo Wahindi na Waarabu wametafuna sana Tanzania na kuifanya shamba la bibi hadi nyie wengine wote mumeachwa kuwa maskini wa kutupwa, wao ndio wanamiliki uchumi, ukiangalia matajiri kumi bora Tanzania ni hao hao Wahindi na Waarabu huchuma wakielekeza kwao Bombay, sasa tatizo wakija Kenya wanategemea tuwe mazwazwa pia, ila wanakuta tupo macho, inabidi wabaki huko Bongo.

967a13246c1a8650f12d5f20835ad383.png

Hey MK254, I didn't get any feedback from my subordinates.​
 
Tumemaliza kesi kwa NairobiWalker kuwafariji kwamba huyo Rostam ni Msukuma wa Mwanza....... sema tu wewe Msukuma mweusi nenda ujaribu kuoa binti wake hata kama unamiliki migodi na unazo hela kama zote, au kama vipi jaribu kuoa mhindi yeyote hapo Bongo hata kwa wasio matajiri, yaani wale wenye maduka tu hapo mjini....hehehehe

Wenyewe mnakiri ni mpigaji, hivyo lazima kuna sababu kwanini kazuiwa, hapa Kenya huwa tunawakaribsha sana wawekezaji, tunawahitaji, tuna kiu yao, ila ukiwa kajanja inabidi upigwe pini.
Tatizo Wahindi na Waarabu wametafuna sana Tanzania na kuifanya shamba la bibi hadi nyie wengine wote mumeachwa kuwa maskini wa kutupwa, wao ndio wanamiliki uchumi, ukiangalia matajiri kumi bora Tanzania ni hao hao Wahindi na Waarabu huchuma wakielekeza kwao Bombay, sasa tatizo wakija Kenya wanategemea tuwe mazwazwa pia, ila wanakuta tupo macho, inabidi wabaki huko Bongo.

9cae14e5ba6e83eba83d652ee47ef62f.png

Hey MK254! You can also enroute to Kigali, if you wish!​
 
Tumemaliza kesi kwa NairobiWalker kuwafariji kwamba huyo Rostam ni Msukuma wa Mwanza....... sema tu wewe Msukuma mweusi nenda ujaribu kuoa binti wake hata kama unamiliki migodi na unazo hela kama zote, au kama vipi jaribu kuoa mhindi yeyote hapo Bongo hata kwa wasio matajiri, yaani wale wenye maduka tu hapo mjini....hehehehe

Wenyewe mnakiri ni mpigaji, hivyo lazima kuna sababu kwanini kazuiwa, hapa Kenya huwa tunawakaribsha sana wawekezaji, tunawahitaji, tuna kiu yao, ila ukiwa kajanja inabidi upigwe pini.
Tatizo Wahindi na Waarabu wametafuna sana Tanzania na kuifanya shamba la bibi hadi nyie wengine wote mumeachwa kuwa maskini wa kutupwa, wao ndio wanamiliki uchumi, ukiangalia matajiri kumi bora Tanzania ni hao hao Wahindi na Waarabu huchuma wakielekeza kwao Bombay, sasa tatizo wakija Kenya wanategemea tuwe mazwazwa pia, ila wanakuta tupo macho, inabidi wabaki huko Bongo.

03a1f468c25598f3857eb2a946604093.png

Travel in NITROGENIC with MASHCOOL 😁😁😁​
 
Nacheka kwa dharau! Aha! Aha! Ahaa!
 
Tumemaliza kesi kwa NairobiWalker kuwafariji kwamba huyo Rostam ni Msukuma wa Mwanza. Sema tu wewe Msukuma mweusi nenda ujaribu kuoa binti wake hata kama unamiliki migodi na unazo hela kama zote, au kama vipi jaribu kuoa mhindi yeyote hapo Bongo hata kwa wasio matajiri, yaani wale wenye maduka tu hapo mjini. Hehehehe!

Hawa WATU WEUPE [ WAARABU, WAHINDI na WAZUNGU ] ni MATAPELI sana. Huwa wana mbinu nyingi za kujipatia fedha, hata wewe inakubidi kuwa nao makini kama umeshindwa kuwaepuka kabisa.
 
Tumemaliza kesi kwa NairobiWalker kuwafariji kwamba huyo Rostam ni Msukuma wa Mwanza. Sema tu wewe Msukuma mweusi nenda ujaribu kuoa binti wake hata kama unamiliki migodi na unazo hela kama zote, au kama vipi jaribu kuoa mhindi yeyote hapo Bongo hata kwa wasio matajiri, yaani wale wenye maduka tu hapo mjini. Hehehehe!

Wenyewe mnakiri ni mpigaji, hivyo lazima kuna sababu kwanini kazuiwa, hapa Kenya huwa tunawakaribsha sana wawekezaji, tunawahitaji, tuna kiu yao, ila ukiwa kajanja inabidi upigwe pini.

Tatizo Wahindi na Waarabu wametafuna sana Tanzania na kuifanya shamba la bibi hadi nyie wengine wote mumeachwa kuwa maskini wa kutupwa, wao ndio wanamiliki uchumi, ukiangalia matajiri kumi bora Tanzania ni hao hao Wahindi na Waarabu huchuma wakielekeza kwao Bombay, sasa tatizo wakija Kenya wanategemea tuwe mazwazwa pia, ila wanakuta tupo macho, inabidi wabaki huko Bongo.

dd8cbde80f8ac5f443e7ffb71da5410d.png

Unaona hiyo picha ya nakala ya gazeti hapo juu? Taarifa kubwa kwenye ukurasa wa mbele ni kuhusu timu ya mpira wa miguu inayoitwa YANGA SC.

Hao ni kama wadhamini wa YANGA SC kwa nyakati tofauti tofauti! Nasema nyakati tofauti tofauti kwa sababu hawakuwahi kutokea kuwa pamoja kwa kipindi kimoja.

Picha ya mtu wa katikati ni mwekezaji aliyelalamika kushindwa kuwekeza kwenye nchi ya KENYA kwa sababu alizoziweka wazi mwenyewe kwenye mkutano wa wawekezaji baina ya TANZANIA na KENYA.

Sasa subiri uone kitakachofuata YANGA SC, ni UTAPELI tu ambao kwa timu YANGU ya SIMBA SC hauwezi kufanyika.

Waliojaribu kuleta UTAPELI kama huu kwa timu YANGU ya SIMBA SC walilawitiwa na orodha ni ndefu maana watalawitiwa wengi sana hapo, mpaka watakimbia wenyewe.
 
Naomba kufahamu kama kuna yeyote kwenye ukoo wake ambaye ameolewa au kuoa Mtanganyika mweusi.....
Yale yale tu...
Yupo ndugu yake anaitwa Jambeck ameoa mtoto wa pastor shaushi wa Nkinga.
 
Kama kweli, utakuta ni huyo mmoja kwa uwiano wa Watanganyika milioni ishirini kwa mhindi mmoja, na ukifuata utakuta kasemwa balaa na kutia ukakasi.
 
Back
Top Bottom