Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete umbea mzee mana Makonda alituambia Jana 70pct yetu ni wambea na wapenda majungu mie naomba umwagike ilikuajeHuyu Dada alishawahi kudakwa akiiba taulo kwenye hotel aliyokua amefikia sembuse kugawa rushwa?
Unafikiri kwenye michakato hiyo unaweza ukafanyaWatende Haki Kwa Wote
Waliotoa Wakatwe Wote
Ni ccm yote..walichotofautiana ni viwango tuuMarry mwanjelwa ametoa sana rushwa kwa akina mama pale ukumbini sabasaba.
Naunga mkono hoja, huku ni kuingilia the right to privacy ya mtu kinyume cha sheria, ni kosa la jinai.Huyu Mama hata kama ametoa rushwa ambayo ndio utamaduni wa CCM, lakini anafagha yake ambayo inalindwa na na sheria za nchi.
Tukemee Hilo swala ya udukuzi ni mbaya sana hii.
🤣 🤣 mbona jana Dr. Bashiru kawasema sana wale jamaa wa Arusha ambao walilalamika kwamba Mrisho Gambo katoa rushwa kubwakubwa na kukodi ukumbi wa mkutano kwa gharama zake ilhali kazi ya kukodi ukumbi ni ya chama? Ama ilikuwa ni mkwara tu wa hapa na pale.Bashiru hana ubavu huo
Rushwa zipo ccm kwenye level zote na yupo kimya kulinda v8 lake
Tulia nae ni mchafu sana. Kaanza mchezo mchafu Mbeya miaka mingi kidogo, kugawa Bajaj, bodaboda, fedha na kuhudhuria misiba. Kanunua sana wajumbeZa tulia akson za kugawa bajaj na bima za afya mbona hamzungumzii, halafu pascal nakumbuka humu jukwaani uliwahi kusema kwamba endapo lisu atarudi tz na kugombea urais atakuwa ni shujaa zaidi ya Mandela....
Vp msimamo wako bado unao au umebadili?
Majira yanabadilika ndugu, sio kila siku ijumaa.
Nan kakuambia udukuz ni kosa apa nchini?(rejea ya akina kinana,nape na .....)CCM na Rushwa sawa na chupi na makalio, hivyo usishangae.
Walioshinda ndio waliotoa Rushwa kubwa....
Wakati huo huo tuangalie hili swala la udukuzi , hakuna alie salama..Muda wowote za kwetu zinavujishwa.
Naamini mikono mizito imehusika kwenye kuvujisha hizi voice clips.
Huyu Mama hata kama ametoa rushwa ambayo ndio utamaduni wa CCM, lakini anafagha yake ambayo inalindwa na na sheria za nchi.
Tukemee Hilo swala ya udukuzi ni mbaya sana hii.
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.
Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.
Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.
Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.
View attachment 1526552
Du. Rushwa imejaa kwa watz karibu wote. Sisi hatuna vyama tunajua hapa na pale unatoa takrima kiundugu uwahi zangu ya kuingia mahali Nk. Wewe akili yako imekuwa corrupt kiasi hata huwezi kujua tofauti ya nchi na chama.
Kwanza Mama mwenyewe huyo huwa mdhulumaji - kule Dodoma alimdhulumu rafiki yangu mmoja wakati anamsimamia ujenzi wa nyumba zake kwa kugoma kumlipa. Mbaya sana huyo mama!Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.
Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.
Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.
Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.
View attachment 1526552
Siasa Inalipa Faster Ila Kero Zake Ndiyo HizoSwali ni nani aliyedukua simu yake. Daah japo mama alifanya kosa kubwa lakin haikuwa sahihi kudukua faragha yake. Hakuna aliye salama alisema Membe. Mama kajimaliza kisiasa cjui anajisikiaje.
Kuna watu ni wevi kwa asili.Kwanza Mama mwenyewe huyo huwa mdhulumaji - kule Dodoma alimdhulumu rafiki yangu mmoja wakati anamsimamia ujenzi wa nyumba zake kwa kugoma kumlipa. Mbaya sana huyo mama!