Hao ni kulimbikiziwa kazi za ovyo ovyoJe, madaktari wa intern wa kiume huombwa nini??
Katika andiko hili nimependa vitu viwili.
1. Umeandika kwa mtiririko mzuri
2. Hujaona haya kuwataja MAJINA. Nadhani mpaka sasa Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki watakuwa wamezifahamu tabia zao mbaya.
Hongera sana
Hahaha akutafute au sio?Kwanza nakupa pole sana maana mimi ni mdau mzuri wa pale hospitali inshort ni mkazi wa Mbeya mjini.
Peleka malalamiko yako ofisi ya takukuru kimyakimya au ikiwezekana nitafute mimi tusaidiane kuwawekea mitego pamoja na maafisa wa takukuru.
Mbona simple sana yani ulitakiwa kusema mapema maana mimi mwenyewe ni baba wa watoto 2 wakike wanasoma kwahiyo nimeumia sana.
Awamu hii ya 5 itawanyosha kama bado upo hapo rufaa nicheck inbox tuanze kazi.
Kama huyu dogo wa upasuaji yumo humuPia kuwa makini na wanaotaka kukusaidia. Kumbuka JF veryfied members ni wachache.
Unaweza kudhani kuwa wanataka kukusaidia kumbe ni haohao wanataka kujua mleta tuhuma ni nani.
TRUST NO BODY
Aisee, kweli kichwa cha chini kikitawala cha juu, kinaleta aibu, chuki, maisha kuharibika na hatimaye kifo.Hao ni kulimbikiziwa kazi za ovyo ovyo
Siwezi kufanya hilo kosa. Nimetafakari sana kabla ya kufikia uamuzi wa kulileta hili humu ndani. Naelewa pia hata baadhi ya hao washenzi niliowataja ni members humu.Pia kuwa makini na wanaotaka kukusaidia. Kumbuka JF veryfied members ni wachache.
Unaweza kudhani kuwa wanataka kukusaidia kumbe ni haohao wanataka kujua mleta tuhuma ni nani.
TRUST NO BODY
Pamoja na kiswahili fasaha.1. Umeandika kwa mtiririko mzuri
Pole sana, kama kweli uliliport pccb na wakaweka mtego ukafyatuka kwa Afisa kuvujisha siri, please nakuomba ufike pccb makao makuu ukiwa na malalamiko yako, wachunguzi watatoka HQ kulifanyia kazi so nakushauri malalamiko yako yasiishie hapa!Ahsante sana.
Lakini sio rahisi kama unavyosema, wakati bado nikiwa hapo hospitali tuliwahi ripoti TAKUKURU tukaweka na mtego vizuri, lakini mtego ulifyatuka,haukufanikiwa na inasemekana walikua tipped off na mmoja wa maafisa wa TAKUKURU aliekua anafahamu huo mchezo.
Kumbuka hawa ni madaktari bingwa,wamefanya kazi hapo Mbeya muda mrefu,wana connections za kutosha, kama ujuavyo tena kwa madaktari nadhani utaelewa kuwa ni rahisi wao kuwa na connections kiasi hiki. Inahitaji uchunguzi wa haki na wa uhakika na mipango dhabiti ili haki itendeke.
Nimeamua kulileta hapa nikiamini kuwa humu JF wahusika wa serikali na/au wizara ya afya wapo, wanaweza kufanya uchunguzi wao wa kimya kimya na kuchukua hatua.
Nilichosikitika zaidi ni hao TAKUKURU, wanafanya mambo ya kisenge sana, yaani hawa jamaa hata wao ni tatizo kubwa sana. Viongozi mnaopita pita hum, fanyieni kazi inshu kama hizi
Ebu fanya kumtag mkuuKama huyu dogo wa upasuaji yumo humu
Ahsante kwa mawazo yako.Bila ushahidi hakuna atakayekuelewa ulitakiwa kwenda takukuru ungeeleweka zaidi, la sivyo unawasingizia
Hahahaha, ujumbe utakuwa umemfikia.....hapo anajitahidi kumjua mleta mada.Kama huyu dogo wa upasuaji yumo humu