Tuhuma za rushwa ya ngono kwa madaktari bingwa Hospitali ya Rufaa ya kanda Mbeya

Tuhuma za rushwa ya ngono kwa madaktari bingwa Hospitali ya Rufaa ya kanda Mbeya

Status
Not open for further replies.
Itabidi ifike mahali wanafunzi wa kike vyuoni wafundishwe na walimu wa kike tu. Maana tuhuma kama hizi zitakuwa haziishi.
 
Pia kuwa makini na wanaotaka kukusaidia. Kumbuka JF veryfied members ni wachache.

Unaweza kudhani kuwa wanataka kukusaidia kumbe ni haohao wanataka kujua mleta tuhuma ni nani.

TRUST NO BODY
Ni kweli, hata Mimi nimesita kumwambia aniPM kuepuka mambo hayo lakini kwa malalamiko haya ninaona urahisi wa kuyashughulikia so afike TAKUKURU HQ
 
Tatizo mabinti na nyie mnawashawishi Wasimamizi wenu, mabinti wengi wanapenda kusaidiwa kufaulu na muda mwingine mnaumalizia kwenye smartphone zenu ikifika muda wa mitihani mambo hayaendi mnakuwa mnataka slope, Hafu napo mjiangalie mahusiano yenu mnapenda sana kuchekacheka na Lecturers na kuwatega na wao ni binadamu.
Wapo wachache wanaopenda mtelemko ila sio wote.....mabinti wengine ni vichwa hatari.
 
Pole Sana Kama kweli yamekukuta.

Lakini nimefanya kazi na intern wengi siku hizi mmekuwa wazinguaji tu.

Hamtimizi majukumu na pale mkubwa wako anapokaza wanawake mnadai mnaombwa rushwa ya ngono.

Sasa sijui wanaume huwa wanaombwa Nini?
Huu udaktari wa siku hizi vyuo vimekuwa havina walimu na wanafunzi wanatoka hawajui kitu. Na akifika internship hajui na haoneshi hata juhudi za kutaka kujua.

Ni majanga tu.

Nakupa pole Kama yamekukuta lakini utakuwa fa.la Sana Kama umewachafua madaktari na familia zao sababu ya madhaifu yako.
 
Hawa watu sijui walikuaga ni madomo zege mtoto wa kike unamtongoza akikukatalia unaachana nae tu sio lazima ukubaliwe na kila demu
Una akili sana mkuu.
Hata mimi kuna kadem ofisini kamenibania nikakashit tu yasiwe makubwa.
 
Siwezi kufanya hilo kosa.

Nimetafakari sana kabla ya kufikia uamuzi wa kulileta hili humu ndani. Naelewa pia hata baadhi ya hao washenzi niliowataja ni members humu.

Kitu pekee ambacho i hope kitatokea ni kwamba serikali/wizara ya afya itapata tuhuma hizi na kufanya uchunguzi wake huru na kuchukua hatua.

Najua nguvu ya JF.
Uko sahihi na Mimi sikushauri kukutana na mtu anaekwambia atakusaidia but ushauri wangu peleka malalamiko PCCB HQ yatafanyiwa kazi bila wewe kujulikana! Nimeona hapo juu kwamba mbeya walilifanyia kazi ndio maana nakushauri fika HQ
 
Bila ushahidi hakuna atakayekuelewa ulitakiwa kwenda takukuru ungeeleweka zaidi, la sivyo unawasingizia

Ukiisha tuhumiwa hapo moja kwa moja unaweza kuhojiwa na ushahidi utautoa mwenyewe kwa maswali utakayopewa na wapelelezi
Haya ni masuala makubwa sana na kuna kesi ya kujibu
Naifuatilia kwa karibu nione mwisho wake
Kama watu wana taaluma zao hivyo na wanafanya mambo ya kijinga hivi inakera sana na hawa sidhani kama watabaki hapo trust me
 
Aibu kubwa kabisa hii kwa familia ya hao madaktai kisa kuendekeza tamaa. Alijisemea shekhe mmoja kuwa "UCHI" haushibi na hapa ali wali Ref wanaume.Sasa toka awepo hapo kwy hyo kazi mpk leo si ungekua umeshiba? Mwisho wa siku ni kupeleka ukimwi nyumbani kweli ni masikitiko.
 
Pole sana Dkt....taarifa ni nzuri naamini wenye maamuzi wataipata hii.
Hawa wakware siku zao zinahesabika. Wengine ni member humu naamini saa hizi wanatetemeka lakini hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Mtoa maada Hongera kwa kuweka wazi.Ila Angalizo tu ni kwamba tayari umeshatangaza vita.maana kama hao uliowataja kwamba walikufanyia unyanyasaji tayari washakujua.Hivyo jihadhari kabla ya hatari.
 
hehehe isakwisa ma Audi kwa iyo akawa anawaomba dudu😂😂😂😂 anyway poleni sana madakitari je vipi na yule intern aliekua anaruka nae yule mwenye meno ya chiki yameungua sijui jina la mwisho ni lema sijui 😂😂😂 akawa anatuvimbia mpk intern wenzie😂😂😂😂
 
Pole sana, kama kweli uliliport pccb na wakaweka mtego ukafyatuka kwa Afisa kuvujisha siri, please nakuomba ufike pccb makao makuu ukiwa na malalamiko yako, wachunguzi watatoka HQ kulifanyia kazi so nakushauri malalamiko yako yasiishie hapa!
Siamini unafanya kazi PCCB maana hujui jinsi inavyofanya kazi. Kawaida kama hii washainyaka na watafanyia kazi baadala ya yeye kwenda.
 
Hizi ni serious allegations kwmy baadhi ya nchi hata za hapa hapa Africa.
 
Pole sana mkuu, ila hongera sana kwa ujasiri wa kutiririka hapa jukwaani. Wanawake wengi wanapitia hizi changamoto ila wengi hawasemi kitu, wanakaa kimya sababu ya hofu, aibu au sababu nyingine wanazozijua
 
Pole sana. Ni kweli wapo watu washenzi kama hao unaowatuhumu.

Lakini pia tukubali ukweli wapo watoto wa kike wasiotaka kujibidisha lakini wapate marks nzuri. Huo mwanya hutumiwa na washenzi hao hadi wanajenga tabia.
 
Pole Sana
Tunapata shida Sana, darasa la Saba kuna mwalim alikuwa ananitoa darasani mchana nakaa juani wakati anafundisha hadi kipindi chake kiishe alikuwa na vipindi viwili kwa kimoja, pia kazini nilikaa miaka mitano bila kiongezewa mshahara na nilipitwa mshahara hadi na wahudumu wa ofisi, wiki kabla hajaondoka baada ya mkataba kuisha nilimfuata na kumweleza ukweli akajifanya hajui, nilichomwambia nimekusamehe basi, nadhani aliongea na MD baada ya kuondoka tu nikaitwa na kuambiwa natakiwa kwenda chuo chochote ninachotaka mimi, nilifanya hivyo.
 
Siamini unafanya kazi PCCB maana hujui jinsi inavyofanya kazi. Kawaida kama hii washainyaka na watafanyia kazi baadala ya yeye kwenda.
Ni wapi niliposema nafanya kazi pccb? Akili yako ikoje kushauri ni kufanya kaz PCCB? Anaekwambia tuhuma inafanyiwa kazi bila ushahidi nani? Acha porojo Mkuu!
 
Mleta amani usiende kienyeji huko, changanya na akili zako ili hao jamaa wanyooke
We jamaa nahakika unaongozwa na hisia tu kuliko ukweli, kumbuka hapo juu amesema pccb mbeya walipata na wakaanzisha uchunguzi so ndio maana kuna mahali nimemwambia aende HQ inafanyiwa kazi tokea juu sasa wewe unaleta habari za ujuaji
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom