Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ha ha ha !1. Mkurugenzi wa Manunuzi: Nestory Machumbe
2. Mkuu Kitengo Cha Satelite: Karim Chitenda.
au unataka na namba zao na picha kabisa?
Kuna kampuni imeanza fanya kazi TBC since 1999, punguza chuki zisizo kusaidia moyoni mwako.Hizo kampuni zote zilikuwa na mkono wa huyo mungu wenu wakuzimu
Labda nikupe namba zao. Tehetehe. muda wa kutapika waliyokula umefika.Ha ha ha !
Mkuu nimekuvulia kofia kwa hasira yako kwa mafisadi wa ndani 💪💪💪!
Tupe na picha mkuu!
Hii inanikumbusha vijana walioiva wa UVCCM, kama mbwai iwe mbwai!!
BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU
- Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi
This is a political hit job. Angekuwa fisadi mngesubiri hadi atangaze kuacha kazi ndo muanze kumchafua?BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU
- Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake.
jibu sahihi ni kuwa alikuwa anawaamini watendaji wake kupita kiasi. kuna taarifa kuwa huyo Mkurugenzi wa Manunuzi yeye ndie alimleta alipoteuliwa.Haiwezekani hausiki; kwa sisi tuliosoma fraud vizuri tunajua anahusika: 100%.
1. Alikuwa haoni fedha zikitoka? Kama anaona alikuwa hafuatilii matokeo ya fedha kutoka?
2. Alikuwa naona Hivo vifaa bila training and kufungwa; mkurugenzy hajui? Wala Hakuna Vikao kujadili?
3. Hauju policy na taratibu za office yake? Kabisa hajui; utaratibu wa manunuzi yeye hajui kabisa kabisa?
Ni eneo gani la serikali ambalo halina vijana wa TISS? Je hakuna ufisadi? watu wanachomoa pesa hadi benki kuu na TISS wamejazana kibao, mbona nilifikiri una akili kuzidi hii comment yako?This is a political hit job. Angekuwa fisadi mngesubiri hadi atangaze kuacha kazi ndo muanze kumchafua?
TBC is a vital installation. Kuna watu wa TISS wamejazana pale. Giving you benefit of doubt, huo "ufisadi" uliwezekanaje under their watch?
Kasoro mimi!Duh.....Tanzania hakuna asiye fisadi!
Hahusiki, muda mwingi alitumia kuandaa vipindi vya kuongelea Mabeberu japo alikuwa anajificha.Haiwezekani hausiki; kwa sisi tuliosoma fraud vizuri tunajua anahusika: 100%.
1. Alikuwa haoni fedha zikitoka? Kama anaona alikuwa hafuatilii matokeo ya fedha kutoka?
2. Alikuwa naona Hivo vifaa bila training and kufungwa; mkurugenzy hajui? Wala Hakuna Vikao kujadili?
3. Hauju policy na taratibu za office yake? Kabisa hajui; utaratibu wa manunuzi yeye hajui kabisa kabisa?
Mkuu angalia style ya uandishi wako isiendane na unavyoongea. Watakudaka mapema.1. Mkurugenzi wa Manunuzi: Nestory Machumbe
2. Mkuu Kitengo Cha Satelite: Karim Chitenda.
au unataka na namba zao na picha kabisa?
Haaaa mna mambo,ni eneo gani la serikali ambalo halina vijana wa TISS? Je hakuna ufisadi? watu wanachomoa pesa hadi benki kuu na TISS wamejazana kibao, mbona nilifikiri una akili kuzidi hii comment yako?
na kwa taarifa yako kilichosababisha aombe kujiudhuru ni kutokana na mwenendo wa uchunguzi unaoenda kuwatia hatiani maana yeye kama msimamizi na pay master wa serikali lazima awajibike kwa uzembe uwe wa kujua au wa kutokujua.
Watanidaka kwa kosa gani mkuu, maana wao wanavuna walichopanda, huyo Mkurugenzi wa manunuzi kakutwa na madudu mengi TAKUKURU, kuna wakati baada ya kumlipa mzabuni mmoja hapo alinunua IST 10 kaziingiza UBER, kakutwa anajenga ghorofa ambalo haliendani na mshahara na kipato chake, toka August kishaitwa TAKUKURU mara 5, hivyo ni mambo yaliyo wazi na yeye anafahamu kuwa muda wa kulipia dhambi zake ni sasa, na nimeweka mifano ya miradi michache, miradi hewa pale sio chini ya 20 na imegharimu mabilioni ya shilingi.mkuu angalia style ya uandishi wako isiendane na unavyoongea. Watakudaka mapema.
Kama ni mungu wao basi heshimu imani za watu maana hata unaye pia.Hizo kampuni zote zilikuwa na mkono wa huyo mungu wenu wakuzimu
Kishindo cha awamu ya tano.BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU
- Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake.
Ndio maana mvuto wa watu kuangalia TBCCCM ni hafifu.Mwanzilishi wa tunatekeleza tulimuonya mapema sana akatupuuza .
Huwezi kshirikiana na Shetani halafu Mungu akakuacha
BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU
- Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake.
Asante saana wafanyakazi wa TBC kwa taarifa hii...inaonekana jamaa aliwabana saana mpaka mmeamua kumwaga radhi....hii ndio tabu ya kufanya kazi vyombo vya habari...siku yakikukuta watu wanamwaga kila kitu hadharani ...hii taarifa inaonekana wazi imeandaliwa na one of the senior Staff wa TBC na sio mfanyakazi wa kawaida...BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU
- Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake.
- Wasaidizi hao kwa uchache ni Mkurugenzi wa Manunuzi na Mkuu wa Sattelite.