nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,032
- 2,952
Kanda ya Ziwa, kwa hiyo unasemaje ?
DPP, IGP, CDF, AG, Pay master, wote hawa wanatoka wapi?
DPP, IGP, CDF, AG, Pay master, wote hawa wanatoka wapi?
Hivi kulikuwa na haja ya Mkuu wa nchi kumchagua mpwa kuwa paymaster general? Je uwanja wa ndege kujengwa na watu wenye uhusiano na rais!? Undugunaizesheni ni ufisadi in camouflages kwa sababu mnajiweka wenyewe ili mle keki ya nchi peke yenu.Mkuu Coaster2015 , naomba nisijibu specific case ya SHIRECU, lakini lets be realistic, enzi zile za kuanzishwa vyama vya ushirika, kila chama kilikuwa dominated na watu wa eneo husika, KNCU, walikuwa Wachagga, NCU, na Shirecu, Wasukuma, Bukop, Wahaya, etc, sina uhakika kama watu wa makabila mengine walikuwa wanabaguliwa. Ukabila mbaya ni pale wewe ukiwa Top Boss, unaajiri watu wa kabila lako tuu!. Fanya utafiti wa ma mashirika yenye ma Top Boss Wasukuma, angalia idadi ya Wasukuma kwenye shirika hilo, compared to kama top boss ni Mchagga au Mhaya!.
Enzi zile, kuna Mhaya mmoja alikuwa Top, shirika fulani, amini usiamini, Kihaya ndio kilikuwa lugha ya ofisi, kuanzia walinzi, wafagiaji, wahudumu, ma masanja, madereva, ma secretary, wote ni kabila moja, na walikuwa very proud kuzungumza Kihaya ofisini, kuna ofisi yoyote ya umma umewahi kwenda ukakuta Wasukuma wanazungumza Kisukuma hapa jijini Dar or Dodoma?.
Sio wengi wamejibu hoja za msingi za bandiko hili, ikitokea wewe ni Mkuu wa nchi, kuna nafasi ya uteuzi, akatokea mtu wa kabila lako ana sifa ya uteuzi, utaogopa kumteua kwasababu watu watasema ni ukabila?.
Acheni hizo!.
P
Mkuu umeongea vizuri, huyu paskali ni zoba asiyejitambua, ni kweli KNCU ilikuwa na mafanikio makubwa kiasi kwamba ilionekana tishio na kwamba watawala walihofia kwamba inaweza ikajigeuza na kuwa watawala wa eneo lile. wakawafanyia figisu za kuwadhoofisha, na hata huyu rais wa sasa alipoingia tu madarakani kazi yake ya kwanza ilikuwa ni kuivuruga kanda ya kaskazini, (naamini kuna maneno ya chuki alilishwa na wazee wa kwao, unajua maskini kawaida huwa wanakimbilia kufikiri kwamba umaskini wao umesababishwa na waliotajirika, sasa huanza kwa kuwachukia) unakumbuka alivyoanza kwa kuwafungua biashara watu wa Bureau ?, kuhusu mwasele umetutukana na wengineHivi kulikuwa na haja ya Mkuu wa nchi kumchagua mpwa kuwa paymaster general? Je uwanja wa ndege kujengwa na watu wenye uhusiano na rais!? Undugunaizesheni ni ufisadi in camouflages kwa sababu mnajiweka wenyewe ili mle keki ya nchi peke yenu.
Wala usitetee shirecu ukailinganisha na KNCU/BCU/KCU nk. SHIRECU walienda mbali ya ukabila wakaingia kwenye undugu wa kujuana "ngwanambate" jamaa walinichekesha nilipoapply kazi ya uhasibu waliponipigia kutaka kupata taarifa zangu jamaa aliongea kisukuma tupu na kuniuliza na nayakumbuka maneno hayo ingawaje miye siyo msukuma " Ng'wana nani wewe?" nikashindwa na sikuitwa tena baada ya kushindwa na kuitwa "kakabila". Wasukuma ni watu hatari sana linapokuja suala kibarua na "mkabila". Paskal huko unakotolea mfano kama KNCU walikuwa professional na walifika mbali hadi wakawa tishio kwa serikali kwa nguvu ya organisation na kiuchumi. Kwa vile uliwahi kueleza kwenye jamvi hili kuwa mzazi wako alikuwa TISS utaelewa walifanyiwa nini wale wachaga ili kupunguza spidi yao.
Wasukuma walibakia kuchoma magineri walipoona auditors wanaenda kwao tena maauditor "makabila". Wameua Shirecu, na kubaki na kijiji chenye magofu ya nyumba kilichojulikana kama kijiji cha shirecu kule Mwasele.
Mpwa wa Rais ni CPA holder na mavyeti mengine mengi ya kumfanya awe paymaster, so hakuna hoja hapo. Shirecu na nyanza walikuwa na haki ya kufanya hivyo kwa kuwa vile vilikuwa vyama vya wakulima wa pamba na wakulima wa pamba ni wasukuma. Vyama vile vilikuwa na secondari school zake zilisomesha watoto wao ili waje kutumikia chama cha wazazi wao. Buluba Sekondari ni zao la ushirika. Hata KNC na KCU ziliajiri watoto wa wakulima wa kihaya na kichaga.Mifano hai ya mazao ya wasomi wa vyama vya ushirika ni familia ya Paulo Bomani, SIR George Kahama na Marealle.Hivi kulikuwa na haja ya Mkuu wa nchi kumchagua mpwa kuwa paymaster general? Je uwanja wa ndege kujengwa na watu wenye uhusiano na rais!? Undugunaizesheni ni ufisadi in camouflages kwa sababu mnajiweka wenyewe ili mle keki ya nchi peke yenu.
Wala usitetee shirecu ukailinganisha na KNCU/BCU/KCU nk. SHIRECU walienda mbali ya ukabila wakaingia kwenye undugu wa kujuana "ngwanambate" jamaa walinichekesha nilipoapply kazi ya uhasibu waliponipigia kutaka kupata taarifa zangu jamaa aliongea kisukuma tupu na kuniuliza na nayakumbuka maneno hayo ingawaje miye siyo msukuma " Ng'wana nani wewe?" nikashindwa na sikuitwa tena baada ya kushindwa na kuitwa "kakabila". Wasukuma ni watu hatari sana linapokuja suala kibarua na "mkabila". Paskal huko unakotolea mfano kama KNCU walikuwa professional na walifika mbali hadi wakawa tishio kwa serikali kwa nguvu ya organisation na kiuchumi. Kwa vile uliwahi kueleza kwenye jamvi hili kuwa mzazi wako alikuwa TISS utaelewa walifanyiwa nini wale wachaga ili kupunguza spidi yao.
Wasukuma walibakia kuchoma magineri walipoona auditors wanaenda kwao tena maauditor "makabila". Wameua Shirecu, na kubaki na kijiji chenye magofu ya nyumba kilichojulikana kama kijiji cha shirecu kule Mwasele.
Asante sana fact remains to be fact always but the truth sometimes hurts.Niliishi shinyanga miaka ya zamani kulikuwepo na kamsemo "Ng'wanambate" kule shirecu bila kuwa msukuma unayejulikana hupati kazi. Jamaa yangu mhaya alifukuzwa uweka hazina wa wilaya ya shinyanga kwa tuhuma za kubumba madiwani "wakamuazimia" mojawapo ya maneno yaliyosemwa kwenye kikao cha full council ni " huyu aende halmashauri za kwao". Haya yote magufuli anayofanya yanathibitisha mengine na zaidi!
Rwanda walianzaga hivi hiviUnatuonea bure, sio kosa letu bali ndio tulio wengi!.
Kati ya Wagombea 176 wa Kawe, kulikuwa na Wasukuma zaidi ya 40!.
Kwenye top 20 tumeingia Wasukuma zaidi ya 10!, yule No. 1 wa Kawe, Furaha Dominic ni wetu, Gwajima, Benjamin Sita, Paul Mashauri, Francis Nanai, just to mention but few!.
P
Anasaka teuzi mwenzioHatari Sana. Ukiona MTU mwenye Akili timamu anazungumza habari za makabila muogope kama ukoma. Sorry unajishushia adhi Bora ungekaa kimya. Ni serikali hii wasukuma ndio wengi au ni serikali hii imegunduwa wasukuma ndio wengi. Aibu aibu Sana. Hata wanao kujuwa naiman wanashangaa.
Huyu after 2025 itakuwa Kwisha habari yakeUna kazi sana kujenga reputation uliyoiharibu mwenyewe!
Tupe mifano hai ya msukuma aliyewahi kufanya kazi KNCU au KCU na nafasi aliyowahi kuishika. Acha upotoshaji vyama vilikuwa vya kikabila na ndiyo maana serikali ilivitupilia mbali kwani vingesumbua sana kujenga umoja wa watanzania. Wasukuma msingewagusa kwa wingi wao na ushirika wao. Fikirieni nje ya box acheni chuki za kishua. kwa msiojua VICTORIA FEDERATION iliyokuwa ya mikoa ya shinyanga na mwanza ilikuwa na President wake, aliyeheshimika zaidi ya mkuu wa nchi. Hebu someni historia kuliko kukaa mnashambulia awamu ya 5 kizezeta namna ile.Unahangaika na Paschal?? Mimi ni msukuma pure,nimesoma Buluba shule ya Shirecu...
Najua kupata kazi Shirecu ilikua sio rahisi sana kama wewe sio Msukuma.. Kina Paul Ng'wani Family waliifanya Shirecu kama mali ya familia yao! Waliiba kila kitu! Gunneries zote zimekufa,majumba ya Shirecu mwasele na uzunguni yamebaki magofu! Pale usukuma kwanza ndiyo ulikua utaongoza,taaluma yako baadae!!
Mbona hata Unyamwezini kuna majina ya Maganga.Mbona kuna wagogo wanaitwa Maganga au ni watoto wa wasukuma?
Tupe mifano hai ya msukuma aliyewahi kufanya kazi KNCU au KCU na nafasi aliyowahi kuishika. Acha upotoshaji vyama vilikuwa vya kikabila na ndiyo maana serikali ilivitupilia mbali kwani vingesumbua sana kujenga umoja wa watanzania. Wasukuma msingewagusa kwa wingi wao na ushirika wao. Fikirieni nje ya box acheni chuki za kishua. kwa msiojua VICTORIA FEDERATION iliyokuwa ya mikoa ya shinyanga na mwanza ilikuwa na President wake, aliyeheshimika zaidi ya mkuu wa nchi. Hebu someni historia kuliko kukaa mnashambulia awamu ya 5 kizezeta namna ile.
Umeelezea vizuri mkuu lakini hawa majogori sidhani watakuelewa.Mpwa wa Rais ni CPA holder na mavyeti mengine mengi ya kumfanya awe paymaster, so hakuna hoja hapo. Shirecu na nyanza walikuwa na haki ya kufanya hivyo kwa kuwa vile vilikuwa vyama vya wakulima wa pamba na wakulima wa pamba ni wasukuma. Vyama vile vilikuwa na secondari school zake zilisomesha watoto wao ili waje kutumikia chama cha wazazi wao. Buluba Sekondari ni zao la ushirika. Hata KNC na KCU ziliajiri watoto wa wakulima wa kihaya na kichaga.Mifano hai ya mazao ya wasomi wa vyama vya ushirika ni familia ya Paulo Bomani, SIR George Kahama na Marealle.
Kanda maalumu ya ziwa ni kanda maalumu kwa sababu kubwa kwamba ni kanda yenye idadi kubwa ya watu kwa takwimu za sensa ya 2012. Mikoa ya kanda ya ziwa ilikuwa na population ya 11,834,518 out of 44,million. Out of 11,834,518 idadi ya wasukuma ilikuwa kuwa 7,632,495 kwa sensa ya 2012. Kanda ya ziwa inabeba 30% ya idadi ya idadi ya watanzania, huku kabila la wasukuma likibeba 16% ya watanzania wote.
Bahati nzuri wasukuma hawana tabia ukabila, kama ingetokea ukabila ukatamalaki, basi nchi hii 50% ingeongozwa na wao.
Bahati nyingine nzuri kwa sasa ni kwamba hawa jamaa wameamua kusoma na kusomesha so kwa idadi hiyo ya population tegemea kuwaona kila sehemu. Bahati nzuri ni wachapa kazi sana na ni wa bunifu kikazi ndiyo maana kila wanapopewa nafasi wanaleta matokeo chanya kwa nchi, Mifano iko mingi na mnaijua. Jamaa hawa wameibuka kuwa watafutaji wa mali kwa njia ya halali, kwa sasa ndiyo wamiliki wa migodi mingi nchini midogo midogo ya dhahabu na almasi, ndiyo wafugaji wakuu wakifuatiwa na wamasai, ni wakulima wakubwa wa mazao ya nafaka kama mahindi na mpunga. Ndiyo maana kwenye mabonde yenye rutuba utawakuta wamechukua fursa. Hongera yao wasukuma kwa kujipambanua kwa utafutaji wa mali kwa njia halali
Hivi kulikuwa na haja ya Mkuu wa nchi kumchagua mpwa kuwa paymaster general? Je uwanja wa ndege kujengwa na watu wenye uhusiano na rais!? Undugunaizesheni ni ufisadi in camouflages kwa sababu mnajiweka wenyewe ili mle keki ya nchi peke yenu.
Wala usitetee shirecu ukailinganisha na KNCU/BCU/KCU nk. SHIRECU walienda mbali ya ukabila wakaingia kwenye undugu wa kujuana "ngwanambate" jamaa walinichekesha nilipoapply kazi ya uhasibu waliponipigia kutaka kupata taarifa zangu jamaa aliongea kisukuma tupu na kuniuliza na nayakumbuka maneno hayo ingawaje miye siyo msukuma " Ng'wana nani wewe?" nikashindwa na sikuitwa tena baada ya kushindwa na kuitwa "kakabila". Wasukuma ni watu hatari sana linapokuja suala kibarua na "mkabila". Paskal huko unakotolea mfano kama KNCU walikuwa professional na walifika mbali hadi wakawa tishio kwa serikali kwa nguvu ya organisation na kiuchumi. Kwa vile uliwahi kueleza kwenye jamvi hili kuwa mzazi wako alikuwa TISS utaelewa walifanyiwa nini wale wachaga ili kupunguza spidi yao.
Wasukuma walibakia kuchoma magineri walipoona auditors wanaenda kwao tena maauditor "makabila". Wameua Shirecu, na kubaki na kijiji chenye magofu ya nyumba kilichojulikana kama kijiji cha shirecu kule Mwasele.
hakuna lolote hao ni kikabila kwa kwenda mbele ndo maana walipewa jina wasuWanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...
Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...
Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...
Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.
Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.
Wasalaam.
Paskali
Ng'wana nani wewe? Jibu Ng'wana siasa! Jipendekeze ngosha uhondomole wakati ni huu! By the way wachaga ni mkusanyiko wa vikabila zaidi ya 11 wenye tabia na lugha tofauti. Babeli ilishaingia huko mapema sijui utautafuta wapi ukoo wako uupendelee.Na wewe mangi unarusha tuhuma za ukabila kwa msukuma tena kwenye suala la ajira?
Kuna mtu ambaye anajari watu wa kabila lake linapokuja suala la ajira nchii hii Kama mchaga?????????
Kwanza tunapoongelea ukabila kwenye taifa hili, mchaga awe ni mtu wa mwisho kabisa kuwanyooshea wenzake vidole.
Nyie ni watu hatari sana mara 1000000 ya wasukuma.
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Siungi mkono utetezi wako ila nalaumu yeyote anayeweka hoja ya ukabila, udini, jinsi au tofauti yoyote ya ubinadamu humu JF au popote pale kuwa ni mtu mwovu na anastahili kuhukumiwa kama mbaguzi.Wanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...
Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...
Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...
Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.
Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.
Wasalaam.
Paskali
Ñdio Nini Hiki ulichoandika???Ng'wana nani wewe? Jibu Ng'wana siasa! Jipendekeze ngosha uhondomole wakati ni huu! By the way wachaga ni mkusanyiko wa vikabila zaidi ya 11 wenye tabia na lugha tofauti. Babeli ilishaingia huko mapema sijui utautafuta wapi ukoo wako uupendelee.
Anyway usisahau kwenda kutafuta ajira kwenye stiglers gorge! bombardier wewe ongea kisukuma tu utahila ng'wanangwa